Zanzibar: Rais Afanya Teuzi za Wakurugenzi wa Wizara ya Uchumi

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,011
9,879
Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi amefanya teuzi za wakurugenzi katika Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi pamoja na Taasisi zilizo chini yake

Amemteua Dkt. Salum S. Hamed kuwa Mkurugenzi wa Maendeleo ya Uvuvi, Dkt. Makame O. Makame kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Uhifadhi wa Maeneo Baharini na Dkt . Zakaria A. Khamis kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Utafiti na Uvuvi wa Mazao ya Baharini.

Katika Idara ya Uratibu wa Maendeleo ya Uchumi wa Buluu ameteuliwa Capt. Hamad B. Hamad na Sheha Idrissa Hamdani ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mipango, Sera na Utafiti.

Adam A. Makame ameteuliwaa kuwa Mkurugenzi wa ZPRA, Mikidadi A. Rashidi ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa ZPDC, na Dkt. Ameir H. Mshenga ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa ZAFICO.

1619964227639.png
 
Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi amefanya teuzi za wakurugenzi katika Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi pamoja na Taasisi zilizo chini yake

Amemteua Dkt. Salum S. Hamed kuwa Mkurugenzi wa Maendeleo ya Uvuvi, Dkt. Makame O. Makame kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Uhifadhi wa Maeneo Baharini na Dkt . Zakaria A. Khamis kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Utafiti na Uvuvi wa Mazao ya Baharini

Katika Idara ya Uratibu wa Maendeleo ya Uchumi wa Buluu ameteuliwa Capt. Hamad B. Hamad na Sheha Idrissa Hamdani ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mipango, Sera na Utafiti

Adam A. Makame ameteuliwaa kuwa Mkurugenzi wa ZPRA, Mikidadi A. Rashidi ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa ZPDC, na Dkt. Ameir H. Mshenga ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa ZAFICO
View attachment 1771200
asante
 
Umeona eeeh,,, hao wazanzibar vichogo bapa ni hamnazo, uzuri tu uko kwa dada zao, yaani they are so sweeeet,

...jaribu kuwafukuzia, utayakumbuka maneno yangu

Overrr
Mambo ya Zanzibar sidhani kama yanatuhusu
 
Back
Top Bottom