Makamu wa Rais Dk. Mpango tuombe Radhi!

Lombo

JF-Expert Member
Jan 21, 2011
4,808
2,000
Mh.Makamu wa Rais wewe ndiye ulikuwa Mchumi namba moja wa Awamu ya Tano!

Wewe ndio ulikuwa unatudadavulia kisomi mafanikio ya kiuchumi ya mwendazake!

Wewe ndio ulituelimisha kuhusu uchumi wetu kukua kwa 7%.

Wewe ndio ulituambia kuhusu ATCL kupata faida Hadi kutoa gawio kwa Serikali.😨

Leo miezi miwili tu inaonekana ndivyo sivyo!

Mama anasema Sasa uchumi upo 4% kisa ni Covid 19 Ambapo tuliambiwa tumeishinda!

Katika Hali ya kawaida tunaweza kusema Serikali ilikuwa inatudanganya!

Sasa Mh.VC wewe Kitaalamu si inakudhalilisha!

Najua kwenye Siasa inawezekana ,lakini kwa Mamlaka uliynayo Sasa ni Busara ukatubu!
 
At Calvary

JF-Expert Member
Aug 22, 2018
3,848
2,000
Mh.Makamu was Rais wewe ndiye ulikuwa Mchumi namba moja wa Awamu ya Tano!
Wewe ndio ulikuwa unatudadavulia kisomi mafanikio ya kiuchumi ya mwendazake!
Wewe ndio ulituelimisha kuhusu uchumi wetu kukua kwa 7%.
Wewe ndio ulituambia kuhusu ATCL kuoata faida Hadi kutoa gawio kwa Serikali.
Leo miezi miwili tu inaonekana ndivyo sivyo!
Mama anasema Sasa uchumi upo 4% kisa no Covid 19 Ambapo tuliambiwa tumeishinda!
Katika Hali ya kawaida tunaweza kusema Serikali ilikuwa inatudanganya!
Sasa Mh.VC wewe Kitaalamu si inakudhalilisha!
Najua kwenye Siasa inawezekana ,lakini kwa Mamlaka uliynayo Sasa ni Busara ukatubu!
Itoshe kusema huna akili.
 
Manton

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
1,017
2,000
Ikiwa serikali itudanganya, world bank nayo ili idanganya dunia kuhusu uchumi wa Tanzania kuimarika kipindi cha korona?
 
Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
3,365

Binafsi niliwahi kumsikia Hayati akisema kutokana na janga la Corona uchumi wetu umekuwa kwa 4% japo nimejaribu kweli kuisaka ile hotuba sijaipata na sikumbuki aliongea akiwa wapi.

Alichozungumzia Mama ni report hiyohiyo ambao wanaanda wataalam wake wa BOT na sio yeye mwenyewe ni same na Hayati, na hapo ujue amezungumzia kwa mwaka wa fedha 2020/2021 ambapo report zake ziko tayari sio 2018/2019 kabla ya ujio wa Corona ambapo ukuaji wa uchumi ulikuwa unakuwa kwa 6.8%- 7% kama alivyosema yeye mwenyewe Mama.

Hivo basi kitendo cha mama kusema uchumi wetu umekuwa kwa 4.9% toka 6.9% manaake ni kweli ikichosema hayati kuwa uchumi wa nchi ukikuwa katika ratio hiyo huko nyuma lakini kutoka na hali fulani yasasa umeporomoka na kukua kwa 4%.
 
Kurunzi

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
6,878

Kwani uchumi wa kati walikuwa wanasema tumeufikia ni asilimia ngapi?
 
Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
3,365
2,000
Kwani uchumi wa kati walikuwa wanasema tumeufikia ni asilimia ngapi?
Uchumi wa kati haubase kwenye hizo % brother..
Taifa kama la Germany liko katika uchumi wa juu kabisa na ni Taifa lenye uchumi mkubwa zaidi pale barani Ulaya lakini % zao ushawahi kuziona? Embu tafuta google ujionee mwenyewe
Screenshot_20210422-192527.jpg
 
cmp

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,860
2,000
Ikiwa serikali itudanganya, world bank nayo ili idanganya dunia kuhusu uchumi wa Tanzania kuimarika kipindi cha korona?
Ni kipi kilichobadilika kwenye maisha ya Watanzania? Kukua kwa uchumi sharti kuendana na kipato cha mtu mmoja mmoja sio ujenzi wa madaraja.
 
cmp

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,860
2,000
Binafsi niliwahi kumsikia Hayati akisema kutokana na janga la Corona uchumi wetu umekuwa kwa 4% japo nimejaribu kweli kuisaka ile hotuba sijaipata na sikumbuki aliongea akiwa wapi.

Alichozungumzia Mama ni report hiyohiyo ambao wanaanda wataalam wake wa BOT na sio yeye mwenyewe ni same na Hayati, na hapo ujue amezungumzia kwa mwaka wa fedha 2020/2021 ambapo report zake ziko tayari sio 2018/2019 kabla ya ujio wa Corona ambapo ukuaji wa uchumi ulikuwa unakuwa kwa 6.8%- 7% kama alivyosema yeye mwenyewe Mama.

Hivo basi kitendo cha mama kusema uchumi wetu umekuwa kwa 4.9% toka 6.9% manaake ni kweli ikichosema hayati kuwa uchumi wa nchi ukikuwa katika ratio hiyo huko nyuma lakini kutoka na hali fulani yasasa umeporomoka na kukua kwa 4%.
Mbona hayati alisema sisi corona haituhusu hivyo tuendelee kuchapa kazi ili tuilishe dunia ambayo imejifungia ndani sasa iweje uchumi uporomoke tena wakati sisi corona haituhusu?
 
Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
3,365
2,000
Mbona hayati alisema sisi corona haituhusu hivyo tuendelee kuchapa kazi ili tuilishe dunia ambayo imejifungia ndani sasa iweje uchumi uporomoke tena wakati sisi corona haituhusu?
Dah..!! Mkuu unatatizo la uelewa au unashindwa kuwaza nje Boksi? Ni hivi atakama sisi hatukuweka lockdown na vitu vingine lakini uchumi wetu uliathilika eidha kwa kukosa watalii toka nje ambako nchi zao ziliathilika zaidi na Covid pamoja kufunga safari zao za anga, pia eidha tulishindwa kupeleka bidhaa kama za mifupa na minofu ya samaki semhemu ambazo tukiuzaga na vitu vingine kama hivyo..! Kusema Sisi hatuna Covid haimaanishi kuwa athari za Covid hasa za kiuchumi hakuna katika Taifa letu.
 
Nnangale

JF-Expert Member
Jul 20, 2013
2,114
2,000
Mbona hayati alisema sisi corona haituhusu hivyo tuendelee kuchapa kazi ili tuilishe dunia ambayo imejifungia ndani sasa iweje uchumi uporomoke tena wakati sisi corona haituhusu?
pamoja na kutotuhusu kama nchi tunahusiana na nchi zingine.
 
Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
3,365
2,000
Mbona hayati alisema sisi corona haituhusu hivyo tuendelee kuchapa kazi ili tuilishe dunia ambayo imejifungia ndani sasa iweje uchumi uporomoke tena wakati sisi corona haituhusu?
Soma Hotuba ya Waziri Mpango ya bajeti 2020/2021 ambapo IMF ilikadilia nchi zilizo chini ya Jangwa la Sahara Uchumi wake ungekuwa kwa 1% kwa mwaka wa 2020/2021 alafu tumejitutumua mpaka 4% kuna watu wanatucheka..!! Jamani tuweni serious kidogo
Screenshot_20210502-111812.jpg
View attachment 1770867
 
Jaminati

Senior Member
Feb 18, 2021
128
225
Mh.Makamu was Rais wewe ndiye ulikuwa Mchumi namba moja wa Awamu ya Tano!
Wewe ndio ulikuwa unatudadavulia kisomi mafanikio ya kiuchumi ya mwendazake!
Wewe ndio ulituelimisha kuhusu uchumi wetu kukua kwa 7%.
Wewe ndio ulituambia kuhusu ATCL kuoata faida Hadi kutoa gawio kwa Serikali.😨
Leo miezi miwili tu inaonekana ndivyo sivyo!
Mama anasema Sasa uchumi upo 4% kisa no Covid 19 Ambapo tuliambiwa tumeishinda!
Katika Hali ya kawaida tunaweza kusema Serikali ilikuwa inatudanganya!
Sasa Mh.VC wewe Kitaalamu si inakudhalilisha!
Najua kwenye Siasa inawezekana ,lakini kwa Mamlaka uliynayo Sasa ni Busara ukatubu!
Waliendesha serikali awamu ya 5 kwa uongo tu alichokisema mh rais samia SH ndo ukweli
 
Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
3,365
2,000
IFM imetoa ripoti inayonesha uchumi were umedorora. Haraka haraka VP akakanusha hilo.
Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) limetabiri kuwa ukuaji wa uchumi wa nchi za Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara (SSA) utaanguka kutoka makadirio ya awali ya asilimia 3.6 mwaka 2020 hadi asilimia hasi 1.6.

Hii ilikuwa mwezi wa 6 mwaka jana lakini tunashukuru tuko 4.6%
Screenshot_20210502-111757.jpg
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom