Prof. Mseru, huo ni ufisadi

SN.BARRY

JF-Expert Member
Oct 12, 2012
4,040
8,895
Wewe ndio mkurugenzi mkuu wa hospitali ya Muhimbili utajipaje ufanyakazi bora na kujipa zawadi ya milioni 7??? Ni nani anayekagua utendaji wako?

Hebu fikiria mshahara wako kwa mwezi ni zaidi ya milioni 25, posho na safari kibao za ndani na nje ya nchi bado tu unakaba hadi penati?

Kuna manesi wengi hapo wanashinda wodini kukamua vidonda na usaha wa wagonjwa kwanini wasipewe ufanyakazi bora?

Kuna vijana hapo Mochwari kila siku wanashinda kupanga na kuosha maiti ila mmeshindwa kutambua mchango wao.

Wakurugenzi acheni ubinafsi.
 
Aisee hii thread ina fikirisha sana kwani ina mashiko na ukweli .
 
Wewe ndio mkurugenzi mkuu wa hospitali ya Muhimbili utajipaje ufanyakazi bora na kujipa zawadi ya milioni 7??? Ni nani anayekagua utendaji wako?

Hebu fikiria mshahara wako kwa mwezi ni zaidi ya milioni 25, posho na safari kibao za ndani na nje ya nchi bado tu unakaba hadi penati?

Kuna manesi wengi hapo wanashinda wodini kukamua vidonda na usaha wa wagonjwa kwanini wasipewe ufanyakazi bora?

Kuna vijana hapo Mochwari kila siku wanashinda kupanga na kuosha maiti ila mmeshindwa kutambua mchango wao.

Wakurugenzi acheni ubinafsi.
Usipojipendelea mwenyewe ukajipa raha mwenyewe nani atakupa??

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Kwani ni yeye amejipa au ni watu waliomchagua mkuu, akipendekezwa yeye awakatalie kisa ana mshahara huo mbona viongozi wengine hupewa tuzo na wapo wa chini yao wanaopiga mzigo wa kutosha

Vipi kama siyo mkurugenzi kuhakikisha vifaa vyote vinakuwepo hao manesi wangekamua majipu with bare hand, bila gloves hao wa mochwari wangeweza kutunza maiti bila vifaa tujaribu kuappreciate siku mojamoja siyo kila kitu kupinga tu vipi angekuwa mfanyakazi bora kila mwaka si ndiyo ungeandika hii hbr majukwaa yote mpk JF Chef mkuu
 
Wewe ndio mkurugenzi mkuu wa hospitali ya Muhimbili utajipaje ufanyakazi bora na kujipa zawadi ya milioni 7??? Ni nani anayekagua utendaji wako?

Hebu fikiria mshahara wako kwa mwezi ni zaidi ya milioni 25, posho na safari kibao za ndani na nje ya nchi bado tu unakaba hadi penati?

Kuna manesi wengi hapo wanashinda wodini kukamua vidonda na usaha wa wagonjwa kwanini wasipewe ufanyakazi bora?

Kuna vijana hapo Mochwari kila siku wanashinda kupanga na kuosha maiti ila mmeshindwa kutambua mchango wao.

Wakurugenzi acheni ubinafsi.
Mhimbili ni taasisi, Mkurugenzi hawezi kujipendekeza kuwa mfanyakazi bora, ila menejimenti na Bodi vinaweza kumpendekeza, na kama anastahili kwanini asipewe? Hebu tuacheni hizi roho mbaya,
 
Back
Top Bottom