Ndugai siyo Jaji/ Hakimu hana mamlaka ya kudai ushahidi

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,386
73,983
Ndugai siyo Mahakama kuwa inahitaji ushahidi kama alivyodai. Yeye anachotakiwa kuthibitisha ni kuwa barua aliyopokea imetokea Chadema na kufuata sheria an kanuni na taratibu za kuandika barua hiyo eg Imetolewa na Katibu Mkuu, ameisaini, ina mihuri ya chama (Kama mihuri unahitajika)etc. Akijiridhisha na hiyo, the issue is home and dry.

He has to act on it accordingly. Kama wahusika hawakuridhika wanakata rufani ndiyo wata raise issues za Katiba, taratibu, za CHADEMA kutofuatwa. Sio Ndugai kudai hayo.

After all Katiba ya ya TZ kumfukuza mtu ubunge haina vipengele vya Ndugai alivyovisema
 
..Spika Ndugai anatakiwa aulizwe kama alijiridhisha kuwa vikao rasmi na halali vya Chadema ndivyo vilivyowateua Halima na wenzake kuwa wabunge.

..Kwasababu wenye mamlaka huko Chadema wanadai hakuna kikao kilichoketi na kupendekeza majina ya wabunge wa viti maalum. Yeye Spika anatakiwa aeleze majina hayo alipewa na nani? Je, alijiridhisha kwamba yametoka Chadema, na yametokana na vikao rasmi?
 
Ndugai siyo Mahakama kuwa inahitaji ushahidi kama alivyodai. Yeye anachotakiwa kuthibitisha ni kuwa barua aliyopokea imetokea Chadema na kufuata sheria an kanuni na taratibu za kuandika barua hiyo eg Imetolewa na Katibu Mkuu, ameisaini, ina mihuri ya chama (Kama mihuri unahitajika)etc. Akijiridhisha na hiyo, the issue is home and dry. He has to act on it accordingly. Kama wahusika hawakuridhika wanakata rufani ndiyo wata raise issues za Katiba, taratibu, za CHADEMA kutofuatwa. Sio Ndugai kudai hayo.
After all Katiba ya ya TZ kumfukuza mtu ubunge haina vipengele vya Ndugai alivyovisema

Tuna shida kubwa ya uongozi. Wengi hawajajua kuwa hata ukiwa kiongozi unakuwa chini ya sheria na taratibu!!
 
Ndugai siyo Mahakama kuwa inahitaji ushahidi kama alivyodai. Yeye anachotakiwa kuthibitisha ni kuwa barua aliyopokea imetokea Chadema na kufuata sheria an kanuni na taratibu za kuandika barua hiyo eg Imetolewa na Katibu Mkuu, ameisaini, ina mihuri ya chama (Kama mihuri unahitajika)etc. Akijiridhisha na hiyo, the issue is home and dry. He has to act on it accordingly. Kama wahusika hawakuridhika wanakata rufani ndiyo wata raise issues za Katiba, taratibu, za CHADEMA kutofuatwa. Sio Ndugai kudai hayo.
After all Katiba ya ya TZ kumfukuza mtu ubunge haina vipengele vya Ndugai alivyovisema
Katiba haiweki utaratibu bali ni sheria na kanuni ndiyo zinaweka utaratibu. Hivyo usitegemee kuona utaratibu kwenye Katiba.
 
Ndugai ni uthibitisho wa uvunjwaji wa waziwazi wa katiba aliyo apa kuilinda.
Hafai kuendelea na nafasi anayoisimamia.
 
Ndugai siyo Mahakama kuwa inahitaji ushahidi kama alivyodai. Yeye anachotakiwa kuthibitisha ni kuwa barua aliyopokea imetokea Chadema na kufuata sheria an kanuni na taratibu za kuandika barua hiyo eg Imetolewa na Katibu Mkuu, ameisaini, ina mihuri ya chama (Kama mihuri unahitajika)etc. Akijiridhisha na hiyo, the issue is home and dry. He has to act on it accordingly. Kama wahusika hawakuridhika wanakata rufani ndiyo wata raise issues za Katiba, taratibu, za CHADEMA kutofuatwa. Sio Ndugai kudai hayo.
After all Katiba ya ya TZ kumfukuza mtu ubunge haina vipengele vya Ndugai alivyovisema
Mbona huyu Spika Ndugai anaonekana kama chizi? Hivi ana ubia gani na hawa Covid-19 toka CHADEMA? KATIBA IKO WAZI, MBUNGE LAZIMA AWE MWANACHAMA WA CHAMA FULANI. Hawa walishatumuliwa uanachama wanafanya nini Bungeni?
Mimi naona CHADEMA wawatumie TAKUKURU wachunguze hili swala la hawa Wabunge 19 Viti Maalumu ambao Spika anawakingia kifua. Kuna HARUFU YA RUSHWA HAPA!!!
Inawezekana kabisa malipo wanayolipwa hawa Wabunge Haramu WASIO NA BARAKA ZA CHADEMA NA TAYARI WALISHAFUKUZWA watakuwa wanatoa aidha Rushwa ya Fedha au ya Ngono si bure......!!!.
 
Infact hata na mahakama zetu kuna wakati zinakosa meno kwenye issues za msingi kama hizi
 
Hivi huko bungeni hawana taratibu za kutuondolea watu wasiokuwa na sifa za uongozi kama huyu?

Tunaelewa kwa siku za nyuma isingewezekana kwa vile alikuwa na kinga ya Magufuli, aliyekuwa akimfanyia kila uchafu autakao. Kwa nini bunge liendelee kukumbatia uongozi mbovu namna hii huko?
Wabunge wanamwogopa nani tena kuondoa takataka hii miongoni mwao.
 
Back
Top Bottom