Tujuzane kinagaunaga; Nyalandu ana ushawishi gani wa kisiasa hapa Tanzania?

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Iliitwa Bongoland sababu ili ukae Bongo lazima utumie akili.

Sasa kwa akili za kawaida Nyalandu anaushawishi gani wa kisiasa mpaka kurudi kwake CCM iwe siku ya mkutano mkuu?

Kwamba hii leo akisimama jukwaani kuna mtanzania atamsikiliza na kumuelewa?

Kashfa kibao alipokuwa wizara ya Maliasili na utalii.

Ni aibu kwa CCM kumkaribisha kwa Shangwe mtu kama Nyalandu.

Ni siku kadhaa tu lazima tumkumbuke jemedari mpinga mafisadi.
 
Hadi akakumbatia JK pasipo kujali huu ni wakati wa Corona!
 
By 2015 baada ya Lowasa kuamsha zake Chadema, ni Maghufuli Tu tokea CCM ndo alikuwa na uwezo wa kusimama kwenye jukwaa na watu wakamsikiliza ...sema jamaa kiburi na kujikweza ndo vilimharibu , nyalandu hata Abdul nondo Yule dogo mwenye mdomo mkubwa anamkalisha
 
Huyo ni fwala tu kama mafwala wengine hana impact yoyote kwenye siasi,, so bora angekuwa mzee wa goli LA mkono Nape
 
Back
Top Bottom