Dodoma: Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango akutana kwa mazungumzo na Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,206
4,698
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Isdory Mpango leo Mei 04, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Fedha na Mipango Mheshimiwa Mwigulu Nchemba.

Viongozi hao walifanya mazungumzo hayo kufuatia ziara iliyofanywa na Dkt Mwigulu ofisini kwa Dkt Mpango Ikulu ya Chamwino Dodoma.

Mpango-Mwigulu.jpg

Taarifa zaidi itatolewa na mamlaka husika
 
Da sasa wameongea nini ndiyo ulitakiwa utuambie sasa watu wamekutana tu mbona ni kawaida.
 
Ampe dodoso la kuombea pesa WB na IMF haraka maana wameshaomba mkopo jana unatoka haraka kabla mambo hayajaharibika. Mama amalize midude ya mwenda zake then aanze legacy yake hasa katiba na tume huru. Mitano tena kwa mama.
 
Huu ni upumbavu wa kiwango cha SGR.

Yaani makamu wa Rais kukutana na waziri wake wa fedha imekuwa habari! How?

Kwani huwa hawakutani na kuzungumza?

Hivyo kila wakikutana tutakuwa tunaambiwa na tusipoambiwa maana yake hawatakuwa wamekutana?
 
Ampe dodoso la kuombea pesa WB na IMF haraka maana wameshaomba mkopo jana unatoka haraka kabla mambo hayajaharibika....mama amalize midude ya mwenda zake then aanze legacy yake hasa katiba na tume huru....mitano tena kwa mama
Wewe genius ,your right
 
Ikumbukwe mpangonomics ndio imetufikisha hapa tulipo kwa uchumi kukua kwa asilimia hizi tulizokua nazo. Si ajabu alikua anamkoch dogo. I am told Mwigulu alikua very bright chuoni, mbona hizo cheche hatuzioni on the ground?
 
Huu ni upumbavu wa kiwango cha SGR.
Yaani makamu wa Rais kukutana na waziri wake wa fedha imekuwa habari! How?
Kwani huwa hawakutani na kuzungumza?
Hivyo kila wakikutana tutakuwa tunaambiwa na tusipoambiwa maana yake hawatakuwa wamekutana?
Hata mimi imenishangaza sana.
 
Huu ni upumbavu wa kiwango cha SGR.
Yaani makamu wa Rais kukutana na waziri wake wa fedha imekuwa habari! How?
Kwani huwa hawakutani na kuzungumza?
Hivyo kila wakikutana tutakuwa tunaambiwa na tusipoambiwa maana yake hawatakuwa wamekutana?
Pipa na Mfuniko.....
 
Kuongeza mapato serikali iruhusu biashara zotw kufanyika masaa 24 zikiwemo za mabasi yaanze safari muda wowote ya kwenda mikoani na nje ya nchi
 
Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Isdory Mpango leo Mei 04, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Fedha na Mipango Mheshimiwa Mwigulu Nchemba.

Viongozi hao walifanya mazungumzo hayo kufuatia ziara iliyofanywa na Dkt Mwigulu ofisini kwa Dkt Mpango Ikulu ya Chamwino Dodoma.

Taarifa zaidi itatolewa na mamlaka husika

Nijuavyo huizo sio kazi za makamu wa Raisi.
 
Time huru ipi?

Back
Top Bottom