#COVID19 Tanzania measures towards controlling COVID-19 Pandemic: Travel Advisory NO. 7 OF 4TH MAY, 2021

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,577
6,582
TRAVEL ADVISORY NO. 7 OF 4TH MAY, 2021

The Government of the United Republic of Tanzania has continued to implement measures towards controlling COVID-19 Pandemic. Based on the global epidemiological situation and emergence of new variants of viruses which cause COVID-19, there is an increased risk of their importation into our country. As such, the Government of the United Republic of Tanzania has decided to elevate and enhance prevailing preventive measures especially those with regard to International Travel. In view of this, the Government is updating the Travel Advisory No. 6 of 3rd May to version No. 7, effective from 4th May 2021 to accommodate additional measures related to international travels as follows:

1. All authorities at points of entry should ensure adherence to preventive measures by travelers and staff including hand hygiene, use of alcohol-based sanitizers, physical distancing and wearing of face-masks.

2. Due to the current situation of COVID-19 epidemic in India, all flights to and from India are banned in Tanzania. This ban will be effective until further notice. The exceptions will be:

a) Cargo Planes, in which case the crew will not be allowed to disembark from the conveyance.

b) Planes undertaking operations that have been approved by appropriate authorities that relate to humanitarian, diplomatic as well as medical assistance.

3. Returning Tanzanian residents who have been in India as students, or for business purposes, or for medical treatment will be subjected to procedures as outlined in Number 4, 6 and 7 below.

4. All travelers, whether foreigners arriving from India or those who have travelled through India in the last 14 days regardless of route taken shall be subjected to rapid test at Point of Entry followed by stringent contact tracing and 14 days mandatory quarantine at their own cost. Travelers subjected for mandatory quarantine shall choose a place from the list (available at the airports or at Tanzania Ministry of Health,Community Development, Gender, Elderly & Children ) designated by the Government. Returning residents arriving from India will be allowed to isolate themselves in their homes under strict surveillance system.

5. Upon arrival at any point of entry (airport, ground crossing or Ports), all travelers or returning residents will be provided with health information cards with toll free number and advised to self-monitor for symptoms and signs. In case they develop any symptoms and signs, they will be tested and treated at designated health facilities by the Government at their own cost.

6. All travelers are required to truthfully fill in an online Traveler's Surveillance Form available at Ministry of Health - Traveller's Health Declaration within 24 hours before arrival to Tanzania.

7. All travelers, whether foreigners or returning residents will be required to present a negative COVID-19 test certificate upon arrival. The test should be based on Real Time Reverse Transcription Polymerase Chain Reaction (RT-PCR) testing using sample collected within 72 hours before arrival to Tanzania.

8. All travelers, whether foreigners or returning residents entering the United Republic of Tanzania, will be subjected to enhanced screening for COVID-19 infection including rapid test. The cost for rapid test is 25 USD per traveler.

9. Travelers on transit in other countries more than 72 hours will be required to be re-tested by rapid test upon arrival in Tanzania.

10. Crew members shall be required to present a valid negative COVID-19 test certificate as a condition of entry or departure. In addition, they will be screened for symptoms and signs in line with the country's protocol.

11. While in the country, all international travelers should adhere to Infection Prevention and Control measures such as hand hygiene, mask wearing and physical distancing as deemed appropriate.

12. All arriving conveyances must provide Advance Passenger Information so as to allow the Authorities at the Points of Entry to scrutinize the manifest for possible high-risk passenger identification.

13. Pilot/Captain/Driver in command of conveyance should, prior to/on arrival, submit to Health Authorities at Points of entry dully filled conveyance health declaration forms (Health Part of General Declaration, Maritime Health Declaration and Ground Transport/Vehicles Health Declaration Form).

14. All Conveyance operators should adhere to Infection Prevention and Control measures such as hand hygiene, mask wearing and physical distancing as appropriate.

15. Arriving Conveyances will be subjected to decontamination at Point of Entry where necessary.

Additional Measures relating to trucks/vehicles carrying Goods and Services:

I) Have only 2-3 crew Members per vehicle to facilitate smooth border crossing in the region;

II) Crew members have to declare their final destinations at the Points of Entry (POE), and during their journey are allowed to only stop at locations designated by the Government;

III) Truck will be decontaminated before it is allowed to continue to its final destination if driver or crew members are suspected to have COVID-19 or tested COVID-19 positive;

IV) Driver or crew members will be subjected to enhanced screening at Points of Entry and may be quarantined or isolated at designated facilities at their own cost in case they are suspected of COVID-19 infection;

V) In case crews are quarantined/isolated while on transit, truck owners/operators must make necessary arrangements to back-up their crew to ensure that goods are delivered to the intended destination;

VI) All drivers or crew members with negative COVID-19 may randomly be selected for re-testing upon arrival for quality assurance;

VII) In case of any medical emergency while in the United Republic of Tanzania, please call Toll Free Health Emergency Number: 199.

NB: The Travel Advisory will be reviewed from time to time as the need arises.

Issued and signed by

Prof. Abel N. Makubi

PERMANENT SECRETARY (HEALTH)

Ministry of Health, Community Development, Gender, Elderly and Children

IMG_0429.jpg

IMG_0430.jpg

IMG_0431.jpg
 
Ombi kwa Wizara ya Afya nchini kuuchukulia ugonjwa wa covid 19 corona serious yàani kuutangazia umma wazi wazi kuwepo kwa huu ugonjwa.

Pamoja na nia nzuri ya serikali ya MH RAIS ya kuunda tume lakini naona its too late.

Tayari tushampoteza afisa wa jeshi kwenye ubalozi wetu India.Maana huko watu wanateketea kwa mamia kila siku.

Ukiangalia kwenye TV hali ya huko inatisha. Unaona moto tu unawaka maana kwa mila za kihindu wanachoma miili ya waliofariki. Pia kuna Tetesi ya kuwa wasafiri 10 kutoka India wamelazwa katika moja ya hospitali kubwa iliyopo Maeneo ya Upanga Dar.

Naiomba wizara ya Afya iuchukulie ugonjwa huu kwa uzito wake hasa ukizingatia uhusiano wa kibiashara kati yetu.

Wale wanaopinga waendelee, ila hiyo ngoma ikikupata,hata hutaandika urithi.

JAMANI MH RAIS ATOE TU MAAMUZI YA KUJIKINGA KWA KUFUATA MAAGIZO YA (WHO) SHIRIKA LA AFYA DUNIANI. Vingenevyo Mwenyezi Mungu Apushulie mbali yasije kutukuta ya India. Ni miezi michache iliyopita Waziri Mkuu wao Mr Rao aliiambia dunia kuwa wamedhibiti hili gonjwa kumbe ilikuwa propoganda ya kisiasa.

TUJIHADHARI.
 
Mama kasema yeye na hayati JPM ni kitu kimoja, na wote tunakumbuka msimamo wa Jiwe kuhusu COVID 19! Nadhani kila mtu achukue tahadhali yeye mwenyewe!
 
Ata uweje sisi tutaishi nao mkuu, uoga ulishatutoka
 
T

Tulishakingwa na Mungu tayari ndio maana na wewe bado upon mzima!! WHO kama wana ubavu wakawasaidie India.
India kuna chanjo nyingi kuliko sehemu yoyote duniani na kuna corona na vifo vya corona Vingi- tafakari!
 
Uhindi wanatengeneza chanjo lakini wana watu wengi. Wamedunga milioni 154 ambao ni asiliamia 11 pekee! ambao si wengi ukilinganisha nchi nyingine.

Nimeshangaa wizara iltangaza ushauri bila kuweka utaratibu wa masharti, kama vile:

*Mtu asitoke nje bila barakoa
*Sharti warudishe nafasi za kunawa mikono mbele ya maduka
*Abiria wa kusimama wasiruhusie kwenye mabasi na daladala
*Mabasi ya mbali wasijaze nafasi zote.
* Kuweka sharti ya kuwa mbali na jirani mahali pa mikutano kama kanisani na msikitini (kwa hiyo kila mahali kukadiria idadi inayoruhusiwa)

Si lazima kufanya lockdown. Si lazima kuogopa au kupanik.

Lakini lazima kuchukua tahadhari na polisi iangalie!

Siamini Mungu anawachunga wapumbavu wanaopuuza kipaji chake yaani akili!
 
Apambane vilivyo na Covid arudishe uhusiano wa kimataifa.

Maana kuna mtu alikuwa hajui lugha akawa anaishia kuharibu mahusiano.
 
Apambane vilivyo na covid arudishe uhusiano wa kimataifa

Maana kuna mtu alikuwa hajui lugha akawa anaishia kuharibu mahusiano
Unapambana vipi na Corona virus 2019, jamaa umekabidhi akili yako kwenye itikadi za kisiasa!

Niambie nchi angalau moja tu imeweza kupmbana na hili janga hakuna vifo na maambukizi.
 
MMESHAANZA?

Kuishi Kwa Uhuru mmeshindwa mnaanza kuzua hofu.

Na mtaletewa kweli huo UGONJWA mnaoutaka
 
Mama kasema yeye na hayati JPM ni kitu kimoja, na wote tunakumbuka msimamo wa Jiwe kuhusu COVID 19! Nadhani kila mtu achukue tahadhali yeye mwenyewe!
Unataka kusema hayati JPM na Mama ni kitu kimoja katika kuusemea ugonjwa wa corona? Mama alishatoa tahadhari kuwa tufuate taratibu tunazopewa na wataalamu wetu na ameunda kamati ambayo itakuja na mawazo kwa nini tufanye kama taifa.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
TRAVEL ADVISORY NO. 7 OF 4TH MAY, 2021

The Government of the United Republic of Tanzania has continued to implement measures towards controlling COVID-19 Pandemic. Based on the global epidemiological situation and emergence of new variants of viruses which cause COVID-19, there is an increased risk of their importation into our country. As such, the Government of the United Republic of Tanzania has decided to elevate and enhance prevailing preventive measures especially those with regard to International Travel. In view of this, the Government is updating the Travel Advisory No. 6 of 3rd May to version No. 7, effective from 4th May 2021 to accommodate additional measures related to international travels as follows:

1. All authorities at points of entry should ensure adherence to preventive measures by travelers and staff including hand hygiene, use of alcohol-based sanitizers, physical distancing and wearing of face-masks.

2. Due to the current situation of COVID-19 epidemic in India, all flights to and from India are banned in Tanzania. This ban will be effective until further notice. The exceptions will be:

a) Cargo Planes, in which case the crew will not be allowed to disembark from the conveyance.

b) Planes undertaking operations that have been approved by appropriate authorities that relate to humanitarian, diplomatic as well as medical assistance.

3. Returning Tanzanian residents who have been in India as students, or for business purposes, or for medical treatment will be subjected to procedures as outlined in Number 4, 6 and 7 below.

4. All travelers, whether foreigners arriving from India or those who have travelled through India in the last 14 days regardless of route taken shall be subjected to rapid test at Point of Entry followed by stringent contact tracing and 14 days mandatory quarantine at their own cost. Travelers subjected for mandatory quarantine shall choose a place from the list (available at the airports or at Tanzania Ministry of Health,Community Development, Gender, Elderly & Children ) designated by the Government. Returning residents arriving from India will be allowed to isolate themselves in their homes under strict surveillance system.

5. Upon arrival at any point of entry (airport, ground crossing or Ports), all travelers or returning residents will be provided with health information cards with toll free number and advised to self-monitor for symptoms and signs. In case they develop any symptoms and signs, they will be tested and treated at designated health facilities by the Government at their own cost.

6. All travelers are required to truthfully fill in an online Traveler's Surveillance Form available at Ministry of Health - Traveller's Health Declaration within 24 hours before arrival to Tanzania.

7. All travelers, whether foreigners or returning residents will be required to present a negative COVID-19 test certificate upon arrival. The test should be based on Real Time Reverse Transcription Polymerase Chain Reaction (RT-PCR) testing using sample collected within 72 hours before arrival to Tanzania.

8. All travelers, whether foreigners or returning residents entering the United Republic of Tanzania, will be subjected to enhanced screening for COVID-19 infection including rapid test. The cost for rapid test is 25 USD per traveler.

9. Travelers on transit in other countries more than 72 hours will be required to be re-tested by rapid test upon arrival in Tanzania.

10. Crew members shall be required to present a valid negative COVID-19 test certificate as a condition of entry or departure. In addition, they will be screened for symptoms and signs in line with the country's protocol.

11. While in the country, all international travelers should adhere to Infection Prevention and Control measures such as hand hygiene, mask wearing and physical distancing as deemed appropriate.

12. All arriving conveyances must provide Advance Passenger Information so as to allow the Authorities at the Points of Entry to scrutinize the manifest for possible high-risk passenger identification.

13. Pilot/Captain/Driver in command of conveyance should, prior to/on arrival, submit to Health Authorities at Points of entry dully filled conveyance health declaration forms (Health Part of General Declaration, Maritime Health Declaration and Ground Transport/Vehicles Health Declaration Form).

14. All Conveyance operators should adhere to Infection Prevention and Control measures such as hand hygiene, mask wearing and physical distancing as appropriate.

15. Arriving Conveyances will be subjected to decontamination at Point of Entry where necessary.

Additional Measures relating to trucks/vehicles carrying Goods and Services:

I) Have only 2-3 crew Members per vehicle to facilitate smooth border crossing in the region;

II) Crew members have to declare their final destinations at the Points of Entry (POE), and during their journey are allowed to only stop at locations designated by the Government;

III) Truck will be decontaminated before it is allowed to continue to its final destination if driver or crew members are suspected to have COVID-19 or tested COVID-19 positive;

IV) Driver or crew members will be subjected to enhanced screening at Points of Entry and may be quarantined or isolated at designated facilities at their own cost in case they are suspected of COVID-19 infection;

V) In case crews are quarantined/isolated while on transit, truck owners/operators must make necessary arrangements to back-up their crew to ensure that goods are delivered to the intended destination;

VI) All drivers or crew members with negative COVID-19 may randomly be selected for re-testing upon arrival for quality assurance;

VII) In case of any medical emergency while in the United Republic of Tanzania, please call Toll Free Health Emergency Number: 199.

NB: The Travel Advisory will be reviewed from time to time as the need arises.

Issued and signed by

Prof. Abel N. Makubi

PERMANENT SECRETARY (HEALTH)

Ministry of Health, Community Development, Gender, Elderly and Children​

View attachment 1773814
View attachment 1773815
View attachment 1773816
Better late than never! Jambo jema hili👍
 
Ombi kwa Wizara ya Afya nchini kuuchukulia ugonjwa wa covid 19 corona serious yàani kuutangazia umma wazi wazi kuwepo kwa huu ugonjwa.

Pamoja na nia nzuri ya serikali ya MH RAIS ya kuunda tume lakini naona its too late.

Tayari tushampoteza afisa wa jeshi kwenye ubalozi wetu India.Maana huko watu wanateketea kwa mamia kila siku.

Ukiangalia kwenye TV hali ya huko inatisha. Unaona moto tu unawaka maana kwa mila za kihindu wanachoma miili ya waliofariki. Pia kuna Tetesi ya kuwa wasafiri 10 kutoka India wamelazwa katika moja ya hospitali kubwa iliyopo Maeneo ya Upanga Dar.

Naiomba wizara ya Afya iuchukulie ugonjwa huu kwa uzito wake hasa ukizingatia uhusiano wa kibiashara kati yetu.

Wale wanaopinga waendelee, ila hiyo ngoma ikikupata,hata hutaandika urithi.

JAMANI MH RAIS ATOE TU MAAMUZI YA KUJIKINGA KWA KUFUATA MAAGIZO YA (WHO) SHIRIKA LA AFYA DUNIANI. Vingenevyo Mwenyezi Mungu Apushulie mbali yasije kutukuta ya India. Ni miezi michache iliyopita Waziri Mkuu wao Mr Rao aliiambia dunia kuwa wamedhibiti hili gonjwa kumbe ilikuwa propoganda ya kisiasa.

TUJIHADHARI.
Unajifanya kumshauri Rais lakini hotuba zake hausikilizi.Ameongea na kusisitiza mara kadhaa kuwa tuendelee kuchukua tahadhari zote sasa unataka mama afanye nini tena? Ni kawaida yenu WTZ kila Rais! we unazani ni mtz gani asiyejua umuhimu wa kuvaa barakoa au kunawa mikono kwa sanitizer?
 
Uhindi wanatengeneza chanjo lakini wana watu wengi. Wamedunga milioni 154 ambao ni asiliamia 11 pekee! ambao si wengi ukilinganisha nchi nyingine.

Nimeshangaa wizara iltangaza ushauri bila kuweka utaratibu wa masharti, kama vile:
*Mtu asitoke nje bila barakoa
*Sharti warudishe nafasi za kunawa mikono mbele ya maduka
*abiria wa kusimama wasiruhusie kwenye mabasi na daladala
*mabasi ya mbali wasijaze nafasi zote.
* kuweka sharti ya kuwa mbali na jirani mahali pa mikutano kama kanisani na msikitini (kwa hiyo kila mahali kukadiria idadi inayoruhusiwa)

Si lazima kufanya lockdown. Si lazima kuogopa au kupanik.
Lakini lazima kuchukua tahadhari na polisi iangalie!

Siamini Mungu anawachunga wapumbavu wanaopuuza kipaji chake yaani akili!
Fanya hivyo wewe ujiepushe na hiyo corona. Corona is a myth!

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Uhindi wanatengeneza chanjo lakini wana watu wengi. Wamedunga milioni 154 ambao ni asiliamia 11 pekee! ambao si wengi ukilinganisha nchi nyingine.

Nimeshangaa wizara iltangaza ushauri bila kuweka utaratibu wa masharti, kama vile:
*Mtu asitoke nje bila barakoa
*Sharti warudishe nafasi za kunawa mikono mbele ya maduka
*abiria wa kusimama wasiruhusie kwenye mabasi na daladala
*mabasi ya mbali wasijaze nafasi zote.
* kuweka sharti ya kuwa mbali na jirani mahali pa mikutano kama kanisani na msikitini (kwa hiyo kila mahali kukadiria idadi inayoruhusiwa)

Si lazima kufanya lockdown. Si lazima kuogopa au kupanik.
Lakini lazima kuchukua tahadhari na polisi iangalie!

Siamini Mungu anawachunga wapumbavu wanaopuuza kipaji chake yaani akili!
Upo tayari kulipa nauli kutkabmwanza kwenda dar 80000 au daladala 1000 kutka ulipo kama upo Dar kwenda kituo kingine ili kufidia hizo nafasi za wazi?

Au unazungumza wakati hali ya kifedha ikiwa ngumu unaanza kutapatapa?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom