Kuiondoa CCM madarakani ni rahisi kuliko wakati wowote ule, tuanze kujipanga

Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,944
3,820
Chawa wa Taifa hili CCM 2025 kama wakitaka wasitake wanaondoka na tutawabanja kikwelikweli, na wito wanaoikataa CCM waikatae kuanzia sasa,kama upo CCM basi huko hakukufai hama na mapema,mambo ya kudandia mmeyaona,Nyarandu kawekwa pembeni,Membe kamembuka eti leo ndio wamejua kama nyimbo walizokuja nazo haziimbiki ugenini,wamerudi zao bila ya kurudishwa,kwa hiari yao wametokwa na kauli tata na wasiojielewa wakazivamia,nyimbo haiimbiki ugenini.

CCM ni makundi makundi , yamejivisha ngozi ya kondoo kwa sasa,tunaona Mwenyekiti wa CCM anavyookoteza,ni wazi anapapasa kizani,na 2025 wahafidhina wanampiga na chini ili kuchomeka mtu wao.

Heshima ya Raisi Samia ni kuweka mazingira mazuri ya uchaguzi tume huru na katika ili kuisaidia Nchi yake ya Zanzibar,anatakiwa afahamu tu ardhi na mbingu ni vitu viwili tofauti na waswahili wanamsemo mtu kwao,Bwana yule kajenga kwao mpaka uwanja wa ndege ,wewe nawe ijenge kwenu kwa kuweka katiba sawa.

Ila kwa ujumla CCM tunaipiga na chini huku Tanganyika. 2020 imetosha.
 
Mwaka 2020 october Muulize Mwendazake nini kingemtokea. Mbinu ya mwisho kabisa ni ile ikiyotumika. Sijui 2025 watakuja na ipi.
 
Acheni kujazana upepo,hadi kina mbowe wanajua hawawezi kuitoa Ccm madarakani,ccm sio chama ni dola,'mfumo' uko kila mahala kwenye chama he mnadhani itakuwa rahisi kuwatoa madarakani?
Mkuu huna macho nn?? CCM inamalizwa na Wanaccm wenyewe kwa sasa na wala siyo Wapinzani. Mama pumzi itakata mapema sana kutokana na hujuma atakazofanyiwa na Wanaccm wenzie.
 
Ccm inawalaghai... hakuna makundi ya kiwango cha kuvunja chama.
Upinzani viongozi wa juu wanawalaghai, hawataki kuchukua nchi. Wana jambo lao.
 
Mmekuwa wapiga lamli now days.

Hata Mlopokajiweni mkuu alisema tutashtakiwa MIGA mbakaleo kimya, nyinyi wachimbachumvi mnakaukamate humu kwa kuchonga midomoyenu hali mkijua kabisa kazi za Magu ziliwakosha wananchi kiasi kwamba hatamkiongea nini mnaonekana wahunitu.

Aisee jipangeni sana labda miaka 30 ijayo.
 
Acheni kujazana upepo,hadi kina mbowe wanajua hawawezi kuitoa Ccm madarakani,ccm sio chama ni dola,'mfumo' uko kila mahala kwenye chama he mnadhani itakuwa rahisi kuwatoa madarakani?

Jambo kutokuwa rahisi haimaanishi kuwa haliwezekani.
 
Ccm inawalaghai... hakuna makundi ya kiwango cha kuvunja chama.
Upinzani viongozi wa juu wanawalaghai, hawataki kuchukua nchi. Wana jambo lao.
Mkuu muda utaongea. Dalili zote ziko wazi CCM inakwenda kujimaliza wenyewe bila nguvu ya Upinzani.
 
Wapinzani Hanna akili za kuing'oa CCM tafuteni ruzuku popote mtafune maisha yenu yaende!hizi ndoto za kuing'oa CCM madarakani hachaneni nazo.
Upinzani hakuna mikakati wala succession plan yoyote inayoweza kuitisha CCM.
Upinzani kumejaa viongozi ving'ang'anizi na wasio na ubunifu wowote !
 
Kabla ya kufikiria kuitoa CCM madarakan, anza kwanza na wenyeviti wa vyama vya upinzani ambao ndio kikwazo kikubwa kwa upinzani kushika dola. Kuthibitisha hili ninaloandika hapa hebu rudisha akili yako nyuma mwaka 2005, CUF ilikuwa na nguvu na almanusura kishike dola kama sio Tanzania nzima basi Zanzibar lkn kilichotokea mliona, ilifanyika figisu ya kupakiza majambia ndan ya meli (bila shaka Lipumba alikuwa anafaham kinachoendelea) na baada ya hapo kilichotokea ni kukamatwa majambia na CCM kuitumia hiyo kete kupata ushindi wa kishindo. Mwaka 2015 huu ndio ulikuwa mwaka wa mwisho kwa CCM kubaki madarakan maana mpk wasomi na wafanyakaz mbali mbali walionesha kuchokwa na sera za CCM pamoja na CCM yenyewe, lkn kilichofanyika kila mtu anajua ukiwemo mleta mada, mwenyekiti Mbowe aliacha watu waliokipigania chama miaka mingi kwa jasho na damu kama kina dr Slaa nk, watu waliokisadia chama kujenga misingi imara ya uongozi chamani na kuleta sera nzuri zenye ushindan mkubwa ktk siasa za Tanzania na badala yake akabadili gia angani kwa kuleta watu ambao hawakuwa na sifa za kuweza kushinda uchaguzi ule wala kuongoza nchi eti ndo wagombee uraisi, ubunge nk (pia hapa naamini Mbowe na yeye alikuwa anajua kama hawatoshinda lkn alifanya vile kwa sababu ambazo zitabaki kuwa ni siri yake yeye na wahusika wenzake) . Mwaka 2000 ndio kbs wagombea wa upinzani badala ya kutangaza sera zao wao walikuwa wanatangaza matatizo yao, so kwa style hii CCM kutoka ni ndoto nadhan hata mleta mada moyoni unakiri hili!
 
Labda jeshi lifanye mapinduzi
Kwa jeshi letu sizani limerizika na mdundo wa maisha,ivi mmewahi kuwaona wastaafu wa jeshi polisi huko mitaani,sijui hawa watu hufa mara tu anapostaafu,ivi wapo ?
 
Mmekuwa wapiga lamli now days.

Hata Mlopokajiweni mkuu alisema tutashtakiwa MIGA mbakaleo kimya, nyinyi wachimbachumvi mnakaukamate humu kwa kuchonga midomoyenu hali mkijua kabisa kazi za Magu ziliwakosha wananchi kiasi kwamba hatamkiongea nini mnaonekana wahunitu.

Aisee jipangeni sana labda miaka 30 ijayo.
Mkuu hivi una habari kuwa wakati wa mwendazake Serikali ililipa makampuni mengi kwa siri?? Kitambo kidogo utakuja kuamini maneno yangu.
Kwanini yule Mkulima kawa kimya???
 
Wapinzani Hanna akili za kuing'oa CCM tafuteni ruzuku popote mtafune maisha yenu yaende!hizi ndoto za kuing'oa CCM madarakani hachaneni nazo.
Upinzani hakuna mikakati wala succession plan yoyote inayoweza kuitisha CCM.
Upinzani kumejaa viongozi ving'ang'anizi na wasio na ubunifu wowote !
Mkuu Mh Lissu yuko nje ya nchi. Wakati wa sakata la kutoonekana kwa mwendazake Mh Lissu alikuwa na full information dhidi yake. Nani alimpatia? Je ni Wapinzani wa Jiwe ndani ya CCM au nje ya CCM?? Ukipata jibu basi utaelewa kuwa Jiwe limeweza kuyeyuka why not CCM??
 
Ukiona unaota ndoto za mchana kila wakati ujue karibu utakuwa chizi
Chawa wa Taifa hili CCM 2025 kama wakitaka wasitake wanaondoka na tutawabanja kikwelikweli, na wito wanaoikataa CCM waikatae kuanzia sasa,kama upo CCM basi huko hakukufai hama na mapema,mambo ya kudandia mmeyaona,Nyarandu kawekwa pembeni,Membe kamembuka eti leo ndio wamejua kama nyimbo walizokuja nazo haziimbiki ugenini,wamerudi zao bila ya kurudishwa,kwa hiari yao wametokwa na kauli tata na wasiojielewa wakazivamia,nyimbo haiimbiki ugenini.

CCM ni makundi makundi , yamejivisha ngozi ya kondoo kwa sasa,tunaona Mwenyekiti wa CCM anavyookoteza,ni wazi anapapasa kizani,na 2025 wahafidhina wanampiga na chini ili kuchomeka mtu wao.

Heshima ya Raisi Samia ni kuweka mazingira mazuri ya uchaguzi tume huru na katika ili kuisaidia Nchi yake ya Zanzibar,anatakiwa afahamu tu ardhi na mbingu ni vitu viwili tofauti na waswahili wanamsemo mtu kwao,Bwana yule kajenga kwao mpaka uwanja wa ndege ,wewe nawe ijenge kwenu kwa kuweka katiba sawa.

Ila kwa ujumla CCM tunaipiga na chini huku Tanganyika. 2020 imetosha.
 
Mkuu hivi una habari kuwa wakati wa mwendazake Serikali ililipa makampuni mengi kwa siri?? Kitambo kidogo utakuja kuamini maneno yangu.
Kwanini yule Mkulima kawa kimya???
Maelekezo ya ukistaafu jeshi unashauliwa kujiunga na kazi za kijamii mfano; Use kiongozi kanisani, uwe kiongozi msikitini, jumuiya, au kufungua kanisa, ikikulazimu kuwa mwanasiasa badi lazima uwe kwenye chama tawala ili uendelee kupokea penshen
 
Back
Top Bottom