Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC) inataraji kutumia kiasi cha Bilioni 20 kujenga kituo cha uhifadhi wa chakula kwa kutumia teknolojia ya nyuklia Jijini Dar es Salaam.
Kituo hicho...
Uwezo wa Mbowe kiuongozi umejengwa kwenye misingi ya busara, hekima, ustaarabu, uvumilivu, ujengaji hoja na ujasiri. Mbowe angekuwa hana uwezo huo tungemuona akigombana na watu kama Makonda ambaye...
Rais Samia leo amekuwa na mazungumzo na Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza anayeshughulikia maswala ya Afrika.
Mazungumzo hayo yalijikita katika kuimarisha mahusiano ya kidiplomasia na kiuchumi.
Nimeona tangazo la wizara ya afya jinsia wazee na watoto kupitia kitengo chake cha elimu kwa umma likisema uvaaji barakoa kwa sasa sio utashi ni lazima.
Sisi watanzania tulishasahau mambo hizi na...
Nitakuwa wa mwisho kukubali maelezo ya Rais Samia suluhu Hassan ya kwamba uchumi wetu umeshuka kutoka kukua kwa 6.9% mpaka 4.6%.
Maelezo haya yametolewa mwezi mmoja na siku kadhaa mara baada ya...
Hahahaa Tundu Lissu is on some shyt for real!
Anywho, ana hoja za msingi sana kama ukimsikiliza kwa utulivu na kwa kutumia akili na si hisia.
Intellect over emotions.
Companero 😉😁
Inavyoelekea ile ahadi ya CCM na CHADEMA katika chaguzi mbili zilizopita inayohusu bima ya afya kwa wote ikapigwa danadana nyingine baada ya mjadala wa sasa kuibuka kwenye chanjo ya corona na...
Akizungumza leo Machi 12, 2020, DPP Mganga amesema kuwa taarifa alizozitoa Lema zimeleta taharuki kwa Watanzania na kuwafanya wasiishi kwa amani na kwa jambo hilo lazima atalichukulia hatua na...
Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni.
Ndivyo ninavyolazimika kuianza "thread" yangu kutokana na sakata hili la kumwachia mahabusu Nusrat Hanje kinyume cha sheria na taratibu za nchi hii...
Imekuwa ni desturi kwa chadema kujiona wana haki ya kukosoa tu. Kwa muda mrefu uhuru wa habari kichwani mwa Chadema unamanisha ni kutukana na kukosoa wengine ila wao kukosolewa hapana.
Ukiwakosoa...
Kulingana na hali halisi ya nchi yetu ya umasikini ningeshauri kuliko kumpa Rais mstaafu Ally Hassan Mwinyi Benzi ya milioni 300 ambayo nasikia hata hivyo ameikataa bora tungempa zawadi ya gari...
Nimependa mapendekezo ya Spika leo.
Anataka kuona sheria inayowapa mikopo wanafunzi wa TCU, VETA, NACTE.
Anataka 70% ya fedha za HESLB ziende ktk sayansi na teknolojia.
Ameyasema haya kwenye...
Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR - TAMISEMI) Mei 09, 2021 imetangaza ajira za Watumishi wa Kada mbalimbali za Afya 2,726 kwa ajili ya Hospitali za Halmashauri, vituo vya...
Nathibitisha kwamba Ramadhan Ighondu alitambulishwa kwetu kwa jina la Abeid. Binafsi ninamfahamu sana bwana huyu kwa sababu alikuwa akitumwa mara kwa mara kuja kukutana na mimi na tumekutana mara...
Mbunge wa Nzega vijijini Khamis Kigwangalla amesema utafiti unaonyesha uchumi wa dunia utagrow kwa kasi mara tu baada ya COVID-19 kudhibitiwa.
Tanzania siyo kisiwa hivyo tuungane na dunia katika...
Ni vema wale wakuu wa wilaya na mikoa wenye tuhuma za kutesa, kuteka, kuumiza na kutupa watu korokoroni bila sababu za msingi wakawekwa pembeni zama hizi za awamu ya 6.
Na Kigwangalla akawaombe...
Haiwezekani vijana hawa wasoteshwe jela kwa makosa yenye dhamana kwa sababu ya matakwa ya Biswalo Mganga na waliomtuma , hawa vijana hawana kesi yoyote ya maana ya kufanyiwa unyama huo.
Tundu...
"Nilihudhuria 70th (1992) birthday ya Mwalimu. Sikumbuki alipewa zawadi yoyote. Hata kukata keki alifanya kwa mzaha. Alipokuwa anaondoka, mama mmoja kampa portrait yake aliyechora mama huyo...
Tanzania mpaka sasa tuna marais wastaafu watatu ukiacha Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliyetangulia mbele za haki.
Hawa marais wastaafu ni wazoefu na wajuzi sana wa mambo kupitia...
Unajua kuna wakati unaweza ukajiuliza hivi tuna viongozi wa serikali wa namna gani.
Inafahamika wazi kuwa ratiba ya Ligi inapangwa muda mrefu na bila shaka kwa kuzingatia matukio mbalimbali...