Kwanini mume wa Rais Samia Suluhu hajaambatana na mkewe ziarani Kenya?

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
10,596
2,000
Mara nyingi viongozi wafanyapo state visits wanakuwa na wenza wao wa ndoa. Ziara ya Rais Samia ya siku 2 nchini Kenya imeonesha picha ya couples wakati wa state banquet, lakini kwa upande wa Tanzania pamepwaya. Je, kuna tatizo?

Endapo mume wa Rais Samia angeonekana, wakati Marais wanaongelea masuala ya nchi, wenza wao wangekuwa pamoja wakiwangoja wenza wao ambao ni Marais?

Kenyatta.jpg
 

Nkanini

JF-Expert Member
Jun 6, 2017
2,239
2,000
Yaani mkuu unakaa na kuja na mada kama hii, kweli middle class ya watanzania ni changamoto sana,huwezi jua labda hataki kuwa public figure, labda anaumwa,l abda ana pilika zake zingine, labda amesafiri ila ameamua kuwa out of press etc etc.
 

SMU

JF-Expert Member
Feb 14, 2008
9,496
2,000
Si nasikia "first gent." wetu ana wake wengi? Sasa mama yetu akimbeba mzee kila aendako wenzie "watakula" wapi? Ama awe anawabeba wote - mzee na wenzie?

Napita tu. Nisije sutwa umbeya bure!
 

Slowly

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
5,570
2,000
Kuwa mwislamu Raha Sana, yaan jamaa ana mbunye za kutosha tuu yaan, Sisi kwetu unaitwa mzinzi na kanisan unatengwa , Ila wanaokutenga sasa wanapigana miti kisiri Siri. I wish I could be a Muslim in jiwe's voice.
 

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
8,120
2,000
Rais anaposafili kikazi ashurutishwi kuweka wazi mipango yake binafsi ya kifamilia

PS unit inawajibika kutoa ulinzi na sikumpangia Rais wajibu wakubeba mwenza popote anapokwenda!

Yamkini mwenza anaweza kuwa na majukumu mengine hivyo halazimiki kujumuika na Rais kila sehem kama mkoba isipokuwa matakwa ya wanandoa wenyewe!

State visit ya Rais pia huzingatia ratiba, mda na majukumu Rais atakayo yatekeleza awapo ugenini kuona hekima ya ulazima wa kwenda na mwenza!

NOTE: Huo mtindo wa kuhoji kila kitu kiwe wazi siyo busara! Vijana mnakosea sana! Kama ninyi msivyolazimika kuweka wapenzi wenu status, Hata Rais naye halazimishwi kuandamana na mwenza isipokuwa wao wamepanga iwe!

Jukumu la PS unit ni kutoa ULINZI KWA VIONGOZI
 

nygax

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,271
2,000
Umesema Mara nyingi, hii inamaanisha si Mara zote.

Halafu kumbuka suala hili halina ulazima wowote kisheria.

Kumbuka pia kwamba yule ni mwanaume kichwa cha familia,anahangaika huku na huko ili familia ile.
 

MERCIFUL

JF-Expert Member
Oct 17, 2011
2,554
2,000
Yaani mkuu unakaa na kuja na mada kama hii,kweli middle class ya watanzania ni changamoto sana,huwezi jua labda hataki kuwa public figure,labda anaumwa,labda ana pilika zake zingine,labda amesafiri ila ameamua kuwa out of press etc etc
Walahi mama katupa kibarua wana JF, yaani watu wakikaa ni Mama mbona hiviiii. Mama mbona vileeeee?
 

Allency

JF-Expert Member
Jan 27, 2011
7,563
2,000
Kuwa mwislamu Raha Sana , yaan jamaa ana mbunye za kutosha tuu yaan , Sisi kwetu unaitwa mzinzi na kanisan unatengwa , Ila wanaokutenga sasa wanapigana miti kisiri Siri .... I wish I could be a Muslim in jiwe's voice
Wewe ni chizi japo umenifanya nimecheka mbele ya watu wa heshima
 

Samcezar

JF-Expert Member
May 18, 2014
8,748
2,000
Ndio ujue Tanzania kuna wanaume, yaani unataka mzee wetu baba yetu kwa mama samia aache shughuli zake aje kufuatana na mama wakati yeye ndie anamlisha na kumvisha aache kutafuta pesa?!

Hebu acha uchuro wako. Anyways karibu Tanzania ambapo wanaume wa kweli wamejaa tele.
 

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
38,946
2,000
Nadhani huku sasa ni kuingilia the right to privacy ya rais wetu.

Kwa vile tumezoea kuwa na rais mwanaume, hivyo mkewe huacha kazi na kuwa a 1st Lady hivyo kuwa free kuandamana na mumewe kokote. Lakini kwa vile sasa rais ni mwanamke, mume wa rais, hawajibiki kuacha shughuli zake ili kugeuka a first gentlemen.

P
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom