omtiti
JF-Expert Member
- Jun 19, 2019
- 1,022
- 1,590
Inasemekana mazao ambayo yalizuiliwa mpakani yasiingie Kenya yalikuwa karibu asilimia 80%ni ya wakenya wenyewe, inasemekana wamejipenyeza nchini wakilima katika mikoa ambayo ni maarufu kwa kilimo nchini kupitia wazawa.
Ndio maana hayati Rais Magufuli alilijua hilo akawa anawacheki tu wanavyoruka na kukanyagana.
Baada ya wafanyabiashara hao wa Kenya mabenki kuwabana warudishe marejesho (interest), walimfuata Uhuru wakamueleza hali halisi, jamaa akawaelewa, ikasukwa deal ya kujinasua kwa kukurupuka kwao.
Bahati mbaya mwendazake alifariki.
Uhuru Kenyatta baada ya mazishi akawahi kumsogeza mama Samia haraka kwa mwaliko wayamalize.
Cha ajabu huyu kikuyu akapitisha na mambo yao mengi yenye tija kwa taifa lao kama kwenye utalii na kadhalika.
Kifupi sisi ndio looser kwenye sakata hili, wakenya wametengeneza mgogoro makusudi ili watimize matakwa yao na tumeingia mkenge.
Watanzania tuna safari sana kujitoa kwenye uchuuzi.