CCM mnawatesa watetezi wenu wa mitandaoni!

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,808
Reaction score
50,456
Kila siku mnatengeneza "movies" za kijinga na kufanya mambo ya hovyo sana kiasi kwamba mnawapa shida watetezi wenu wa mitandaoni. Kila jambo mnaboronga, mnadhani hao mliowaweka mitandaoni wawatetee nao ndiyo hawana hisia za utu kabisa?

Yaani mnadhani kusema uongo na kutetea ujinga unaoonekana shayiri dhahiri kwamba ni ujinga ni kazi rahisi? Mnadhani wao hawajui kwamba wanatetea mambo ya hovyo yanayodhuru taifa lao na vizazi vyao vijavyo?

Au mnadhani kwa kuwa "wanalipwa" basi watakuwa ni watumwa wa kusema yasiyowezekana na kuaminika kila siku? Hata kama wanatumia majina bandia lakini mjue na wao wanaujua ukweli hata kama wanaupindisha, siku ukweli ukizidi kina cha uwezo wao wa kuupindisha mjue watatapika hata yale msiyoyafikiria kwamba wanaweza kuyasema.

OLE WENU CCM!
 
Andaa Nguo za kufua,omo ipo njiani
 
Unajichanganya sana allen..unaonekana mgeni wa siasa..habari za kulipwa una ushahidi nazo??
Then ccm inajichanganya kwa lipi sasa..hebu fafanua ili ujibiwe..
Nyumbu unawafahamu tabia zao huna haja ya kuhoji sana!
 
Kweli kama matumizi ya ruzuku za chama zaidi ya mill 300 + laki tano tano za wabunge wakati ofisi ni kiosk cha mbowe..
Masuala ya kutweza utu wa wabunge wa kike unaofanywa na mwenyekiti..
Asilimia 99 ya ofisi za CCM zilijengwa enzi ya Chama kimoja kwa kodi zetu Watanzania pamoja na Viwanja cha mpira. Labda baadhi ya ofisi Dodpma
 
Kwani hiyoruzuku wanayopewa chadema ni kodi ya mbowe?? Mbowe mwenyewe kwanza halipi kodi..anakula tu jasho la wanyonge
 
Awamu hii kwakweli watetezi wa CCM mitandaoni wanapata tabu sana.

Kuna wengine wameamua kuwa na ID mbilimbili,wanakosoa huku na kusifia katika zile tulizozoea. Yani wanang'ata na kupuliza.
 
Back
Top Bottom