Mpango wa CHADEMA kuisusia Clouds Media waiva, Ni baada ya Interview ya Ole Sabaya

Feb 7, 2019
18
45
CHADEMA YAFANYA KIKAO CHA GHAFLA ZOOM MEETING KUSUSIA CLOUDS MEDIA

Chadema wamefanya kikao kupitia Zoom Video Meeting lengo ni kuhamasisha wafuasi wao kususia clouds media kwa sababu wanazodai ni kulinda heshima ya Mwenyekiti wao Ndugu Mbowe

Hii inachagizwa na Mahojiano ya leo asubuhi waliofanya na Dc wa Hai Lengai Ole Sabaya, ambae amejibu kwa ufasaha mkubwa hoja za malalamiko yao juu yake na kupelekea mlipuko wa watanzania kujua ukweli na uhalisia wa chuki za chama hicho kwake, Maazimio ya kikao hicho ni kuishambulia media ya clouds Tv na kupinga alichosema Mhe Sabaya.

Rai yangu ni kuwa chadema wajikite kwenye kuhakikisha Ndugu Mbowe anailinda heshima yake mwenyewe kwa kuyaishi anayoyahubiri majukwaani na sio kuzipangia Media kipi cha kuripoti na kipi cha kuacha maama haitawasaidia kuaminiwa tena na Watanzania hasa kipindi cha awamu ya sita ambayo inaongozwa na Tanzanite Lady Mama yetu kipenzi Mhe Samia Suluhu Hassan.​

IMG-20210510-WA0013.jpg
IMG-20210510-WA0012.jpg
Screenshot_20210510-124121.jpg
Screenshot_20210510-124133.jpg


Screenshot_20210510-100838.jpg
 

Jasmoni Tegga

JF-Expert Member
Oct 28, 2020
4,234
2,000
Some people may fight you, but just know most of us appreciate your courage, leadership, humility, initiatives and creativity & tireless/sleepless service. ^Usigeuke nyuma^ ~ JKN
 

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
104,724
2,000
Ungekuwa ni mfuatiliaji wala usingejisumbua kuandika huu uchafu wako.

Watu wenye akili zao tayari walishaisusa au kuitupa kapuni hiyo tv station pamoja na radio zao.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom