Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 15,322
- 24,192
Kuna kesi nyingi ambazo watu ambao wamebambikwa , na kuwa watuhumiwa wa karne, haziendi mbele wala hakuna kinachoendelea.
Kuna Kesi ya yule aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa RAHCO, Tito Benhadart, sasa mwaka unaenda wa tano.
Kuna wengine wengi tu Keko na Segerea.
Lakini funga kazi ni hii ya VIP na IPTL ya akina Rugemalira na Singh
Mimi si mwanasheria , lakini ntural justice inaonekana kama wako kizuizini kwa amri na si kwa kesi inayoeleweka.
Hapa naomba DPP na Jeshi la Polisi na hata Magereza wanaowakweka ndani watu bila kujua la kufanya kwa uonezi mkubwa, basi washitakiwe na hata na third party.
Mtu unapomuweka mahabusu, basi ijulikane kuwa kuna kesi ya kujibu.
Lakini watu wanakaa ndani kwa MIAKA MINNE au MITANO, polisi wanachunguza mpaka hawaoni makosa yalikofichwa.
Hapa basi aidha tuna Idara mbovu sana za uchunguzi kipolisi na wameshindwa ku build up a case kutokana na kosa, au ni ubambikwaji tu ambao hauna ushahidi wowote.
Hizi Idara za Mahakama , Polisi na kwa njia ya kusukumiziwa tatizo, Magereza, wamekuwa miungu watu ambao sasa wanajiona wako juu ya utu na sheria.
DPP ashitakiwe.