Husna Saidi akiwa Mwenyekiti wa BAWACHA Taifa itapendeza sana

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,891
141,824
Huyu mama ana msimamo usioyumba tokea enzi za hayati Magufuli hajawahi kujipendekeza.

Tukumbuke kuwa hata mgombea ubunge wa Chadema kule Chato alipata kura nzuri tu.

Na hata Tundu Lisu wakati wa kampeni Chato na Nkasi ndio maeneo aliyopata mapokezi makubwa sana.

Bawacha fikirieni kumpa huyu mama uongozi wa juu kabisa.

Kazi Iendelee!
 
Akishapewa huo wadhifa ndo utajua kuwa rangi yake ni kama za wengine waliowahi kuaminiwa na leo wanaitwa wasaliti kwa sababu makada wa chama hicho ni wa mpito kutoka au kuelekea CCM.
 
Kama hatokei kwetu Moshi au upande wowote wa kaskazini basi mwambie uenyekiti wa bawacha atausikia kwenye magazeti ya nipashe. Yeye aendelee kuwa daraja letu la kufikia mafanikio yetu.
 
Maendeleo hayana vyama. Au mmesha lmuweka kindoni kama Hanje?
Yule hamuwezi fikia bei yake hata kwa nguvu ya dola.
 
Unaonaje ukijikita kwenye mambo yenu ya huko Lumumba !

Kama kugawa fulana na kofia nyumba kwa nyumba na kupigia upatu kauli yenu ya maendeleo hayana vyama!

Chadema haihitaji ushauri wa waimba mapambio na matarumbeta ya MATAGA...
 
Back
Top Bottom