Makamanda shime twendeni Muhambwe tukaipigie kampeni CCM kwa sasa inatufaa

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Sep 13, 2020
3,166
4,581
Makamanda wenzangu twendeni Muhambwe tukajazane majukwaani tuhakikishe CCM inashinda kwa kishindo kikuu.

CCM ya sasa imebadilika ndio tuliokuwa tunaitaka. CCM ya sasa inatoa uhuru wa kujieleza. CCM ya sasa haina watekaji. Haina mafisadi Hii ndio tuliokuwa tunaitaka.

Shime makamanda wa kike na kiume mkavae madila na mashati ya CCM na kuipigia Kampeni maana hii ya sasa ni bora kuliko hata CCM yetu.
 
Muuza face naona baada ya kupewa eneo la kuuigiza kama mwanacdm, naona uzalendo umekushinda hatimaye umejisahau na kukupigia debe chama chako cha majizi ya Kura.
 
Kweli kabisa ndio CCM tunayoitaka tatizo limebaki kwenye RANGI na UONGO wa kuahidi wasivyo vitekeleza yaani LONGOLONGO sound MLIMA
 
Muuza face naona baada ya kupewa eneo la kuuigiza kama mwanacdm, naona uzalendo umekushinda hatimaye umejisahau na kukupigia debe chama chako cha majizi ya Kura.
Kamanda unajichetua akili? Umesahau mnachokisifia sasa? Shati la kijani linakupendeza na hivi unakijitambi.
 
Kamanda unajichetua akili? Umesahau mnachokisifia sasa? Shati la kijani linakupendeza na hivi unakijitambi.
Tafuta popote ninaposifia, au unadhani mimi ni bendera fuata upepo kama ww? Akina Polepole wanaona kabisa walikuanzishia hii Id mwaka jana ili ujifanye cdm, kwa bahati mbaya huna uwezo huo na saa hii umechafua picha. Ni ngumu mzee kama ww kwenda na kasi ya mitandao maana huku ni maeneo ya vijana.
 
Kamanda CCM imebadiliaka, twendeni tukaipigie kampeni. Mama Samia yupo gado. Ila kwa kuwa una kitambi shati la Ccm linakupendeza.
 
hawa bwana ni kama mabweha,wanapiga nduru usiku kucha.hawaeleweki wanawika ama kuna kitu wanaogopa.

mama anataka kwenda nao sawa,wamemchenjia wanataka katiba mpya
 
Muuza face naona baada ya kupewa eneo la kuuigiza kama mwanacdm, naona uzalendo umekushinda hatimaye umejisahau na kukupigia debe chama chako cha majizi ya Kura.
Kamanda hutaki kwenda tukamuunge mkono mama baada ya dhalimu wako kufariki?
 
Ni lini niliwahi kumuunga mkono mwanaccm yoyote? Dhalimu ndio amenifanya niichukue ccm mazima.
Mkuu mbona hapa kila siku unasema baada ya dhalimu kufariki mambo sasa yako poa chini ya Samia!

Sasa kuna shida gani tukienda muhambwe kumuunga mkono kipenzi chetu Samia aliesawazisha mambo ya dhakimu wako?
 
Sina popote ninapomsifia Samia zaidi ya kusema huyu mama sio dhalimu kama yule shetani. Huyu mama nitatoa tathmini yangu ya awali baada ya siku 100, huo ndio msimamo wangu. Kwangu uchaguzi chini ya tume hii ya uchaguzi, ni kuwa hakuna uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Kwa taarifa yako hata huo upuuzi wenyewe uitwao uchaguzi sifuatilii, maana napuuza sana uchaguzi wa Tanzania kwa sasa.
 
Back
Top Bottom