Tumeona mwezi hapa Dar-es-Salaam

Ngongo

JF-Expert Member
Sep 20, 2008
15,078
2,000
Hatimea mwezi umejitokeza muda huu hapa Dar-es-Salaam.

Kazi kwenu wahusika.
1620920482071.png
 

luckyline

JF-Expert Member
Aug 29, 2014
12,456
2,000
Tangu jana mwezi ulikuwepo.sema kuna mtu aliekuwaa akisubiliwa.

Waislamu wa kanzu fupi wao leo wamejilia hawataki kusikia bakwata wanasemaje.
 

pureView Zeiss

JF-Expert Member
Sep 5, 2016
5,420
2,000
mwezi umezeeka kabisa huu!!
haiwekan uwe Mkubwa kiasi hiki alafu bakwata watuambie kesho ndiyo sikukuu...nyie ndugu zetu wa upande wa pili mnalishwa matango Pori na sheikh Zuberi mpaka lini?
 

Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
63,921
2,000
Tangu jana mwezi ulikuwepo.sema kuna mtu aliekuwaa akisubiliwa.

Waislamu wa janzu fupi wao leo wamejilia hawataki kusikia bakwata wanasemaje.
Wale wanafuata kanuni kama Utopolo...

Hawataki ujinga wa maelekezo ya Serikali...

Kwani mama Samia yeye kasemaje?
 

Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
63,921
2,000
Endeleani kufunga mwezi utatoka kuanzia mwezi wa Saba.endeleeni na maombi ndugu zangu.
Tumenyanyaswa sana na hawa Bakwata.
Bakwata wamehongwa na sirikali ili kuikwepa Long weekend...

Sisi wanywa K Vant tumeamua kumwachia Maulana atende miujiza...

Kama alitufanyiam kwa mwendazake, Bakwata ni nini hata ashindwe?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom