Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Na Thadei Ole Mushi. 1. Mpaka saa Hakuna Mvujo wa Taarifa za Serikali. Hakuna anayeweza kunusa kabisa nini kinaweza kutokea. Zimebaki kuwa confidential kwa asilimia 💯. 2. Viongozi waliopo kwenye...
27 Reactions
83 Replies
8K Views
Jambo alilofanya Samia Suluhu la kumpumzisha Aliyekuwa DC wa Hai Bwana Sabaya linapaswa liwe jadi ya nchi na wananchi husika. Halipaswi liwe ni jambo kuu la kitaifa katika ulimwengu wa watu...
27 Reactions
52 Replies
4K Views
Uteuzi wa Biswalo Mganga umeniumiza na kunikumbusha maumivu ya taifa hasa kwa wanaharakati, Wafanyabiashara, na yeyote aliyekuwa kinyume na utawala wa Mwendazake, Biswalo alikuwa mkono imara wa...
24 Reactions
84 Replies
8K Views
Wakuu amani iwe juu yenu, Hili naomba niliseme wazi na Sabaya mwenyewe najua yupo humu asome na asikie ujumbe impate. Kama hataki aache lakini matokeo atayapata muda sio mrefu. Hii ni tahadhari...
61 Reactions
100 Replies
16K Views
Wakati Magufuli anaingia madarakani alikuta Kikwete ametengeneza makubaliano na Wachina ya Kujenga SGR yote Dar hadi hadi Kigoma, na pia kutoka Uvinza kwenda mgodi wa Musongati wa Burundi na...
30 Reactions
204 Replies
26K Views
Wadau Nimeona kwa kipindi kirefu Sasa Taasisi ya TAKUKURU inapewa watu kutoka nje kuiongoza. Nina maswali kadhaa, 1. Taasisi hii ina professional discipline? Au wanajiendea endea tu? Maake...
14 Reactions
60 Replies
6K Views
Kumekuwa na Malalamiko mengi sana huko kwenye mikoa ya Kipolisi kutokana na utendaji wa kutiliwa shaka wa Jeshi la Polisi , ninaamini hata wewe IGP unafahamu , si vema kurudia malalamiko hayo...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwa wasomi wa elimu ya kweli (Elimu ya Biblia). Nawazungumzia watu wanasoma unabii na masuala ya nyakati ndio pekee wanaojua kinachoendelea kwa sasa duniani. Suala la chanjo ya COVID19 ni suala...
6 Reactions
38 Replies
5K Views
Akiongea na wanafunzi na watoto wa kike, mh.Rais Samia Suluhu Hassan ALIWASHAJIISHA adabu na nidhamu vijana hao huku akiwasimulia mikasa aliyoipata katika safari yake ya maisha. Alianza...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Hayo yamesemwa na waziri wa nishati ambae pia ni mbunge wa Chato. Mbio za Mwenge kuhitimishwa Chato JUMAMOSI , 15TH MEI , 2021 Mbio za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2021, zenye kauli mbiu isemayo...
1 Reactions
56 Replies
7K Views
Hichi kitu kinachoitwa "Virusi vya Ukimwi" kina maajabu yenye kusisimua sana. Kwanza, hakuna mtu yeyote aliyewahi kukiona Kirusi cha Ukimwi. Sio mwanasayansi wala maamuma. Pili, kuna watu...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Hii ndio habari mpya inayosambaa Wilayani Hai kwa sasa baada ya Taarifa ya kufutwa kazi kwa aliyekuwa DC wa hapo bwana mdogo bilionea mpya Sabaya (miaka 34) , ambaye anachunguzwa kwa makosa...
16 Reactions
33 Replies
3K Views
Washauri wa Rais popote mlipo iwe Dar, Dodoma au Chato, Naomba mshaurini Rais wetu mpendwa anyamaze mpaka corona ipite, Ninapoona speech za rais ambazo zinaacha maswali mengi na washauri ndio...
23 Reactions
78 Replies
8K Views
Rais Samia Suluhu Hassan amekamilisha dhima ya uteuzi wa Majaji wa Mahakama Kuu na Mahakama ya Rufaa,kwa kuwaapisha kwa mujibu wa sheria. Katika Mambo yaliyojiri na mvuto ni hotuba fupi ya NDUGAI...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Salaam, Ramadhan Maqbul. Wanajamvi naomba kuongea haya na labda kuibua hoja. Kama nilivyoanza kwenye kichwa cha Habari hivi Katika historia ya nchi hii ni mara ya kwanza Rais anafariki akiwa...
3 Reactions
25 Replies
4K Views
Mitazamo Kinzani kuhusu Tumbua ya Mh. Rais Kuna kundi limejitokeza kupinga utenguzi anaoufanya Mh.Rais kwa baadhi ya watu wakizihusisha tenguzi hizo kuharibu legacy ya Magufuli. Ukweli tabia hii...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nilishangaa kidogo kusoma Press Release ya Ikulu ambayo ilitangaza majina ya Wakuu wa Mikoa ''wapya'' ambao WAMETEULIWA na Rais Samia. Kilichonishangaza ni lugha iliyotumika lakini ''kiuhalisia''...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Wizara ya Elimu imesema kuwa inaandaa utaratibu wa kuruhusu wanafunzi waliobeba mimba wakiwa masomoni kuendelea na masomo kwani ni haki yao ya msingi.Haki hiyo ya msingi inatajwa kuzuiwa kipindi...
17 Reactions
114 Replies
14K Views
Rais Samia anawaapisha majaji wateule Ikulu, jijini Dar es salaam. Tukio liko mubashara TBC na Channel ten. Updates: RAIS SAMIA AWATAKA MAJAJI KUONGOZWA NA UTU Rais wa Tanzania, Samia Suluhu...
1 Reactions
71 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…