Watanzania wengi wanaamini adui yao mkuu alikuwa ni Sabaya. Wamefurahi wameridhika Maisha yanaendelea. Adui Mkuu anatabasamu tu

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,273
23,047
Jambo alilofanya Samia Suluhu la kumpumzisha Aliyekuwa DC wa Hai Bwana Sabaya linapaswa liwe jadi ya nchi na wananchi husika. Halipaswi liwe ni jambo kuu la kitaifa katika ulimwengu wa watu wastaarabu,wenye akili au uelewa.

Alikuwepo Makonda Dar es salaam.alifanya aliyoyafanya mpaka alipokuja kutokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dsm. Watu wakafurahi sana wakiamini kukwama kwao kiuchumi na mateso wanayoyapata ni kutokana na Makonda. Na sasa hayupo wamepata suluhisho.

Makonda yupo mtaani anaendelea na maisha yake,hajafirisika,hana tatizo hana tu cheo cha ukuu wa mkoa ambacho by the way hakuzaliwa nacho so hajapungukiwa kitu maishani. Ana utajiri wake na miradi yake inaendelea. Watanzania wamebaki maskini, wana shida,wananyaswa n.k ila wamefurahi makonda si mkuu wa mkoa.

Binafsi sikuwahi mpenda Makonda. Sababu ni nyingi tu. Lakini sikuwahi kuona yeye ndo chanzo cha kila kitu katika maisha yangu.

Tufikiri kidogo. Yale mabaya yote aliyoyafanya au daiwa kuyafanya makonda amewajibika kwayo?ameshtakiwa? Hapana. Ila watanzania wanafurahia tu kuwa makonda si mkuu wa mkoa wa dsm.wameridhika.

Sabaya kijana mjueri na fedhuli kwa kila namna. Naye ameondelewa kwenye nafasi yake. Watanzania wanashukuru na kusema ndiyo zawadi ya sikukuu. Mh Rais akapumzike tu hata mwaka.

Yaani matatizo yote ya watanzania yameisha kwa sabaya kuvuliwa cheo.na hapo Mh. Rais amefanya kazi kubwa sana ya kutukuka. Wamemaliza maisha yanaendelea.

Nani aliyeturoga sisi watanzania?ambao kwa kiasi kikubwa tunaendeshwa na ashki,mihemko na jazba? Je matatizo ya waliotuibia pesa,waliotutesa,waliotufisadi,waliotudhuru ni kuvuliwa tu vyeo?baada ya hapo maisha yanaendelea?

Nliwahi sema watanzania ukiwafahamu ni rahisi sana kuwaongoza. Hawana makuu.mambo madogo madogo sana huyafanya makuu. Ukicheza na hayo unawaongoza milele.

Watanzania wengi ukishika kitambaa chekundu ukataka kujua wao wanasemaje. Usitake rangi ya kitambaa kwanza.waulize "nyie mnaona hiki kitambaa ni rangi gani?" wakisema cheusi. Waambie "swadakta nmeshika kitambaa cheusi hii ni rangi iliyopo kwenye bendera ya Taifa" watakushangilia sana.

Watanzania hawa hawa ndo walikuwa wanashangilia wenzao wakidhalilishwa kwenye mikutano.na hawa wakijakutwa nayo wao wana ruka kimanga.

Watanzania mpaka sasa hawajui wanataka nini.hawajui inchi yao inaenda wapi,hawajui wao wanaendesha vipi nchi.

Sukari shida,mafuta ya kupikia shida,madeni ya mkoponwa Helsb yalipandishwa asilimia kinyume na utaratibu.watanzania hayo hawaoni ni shida.

Watanzania wanapenda vitu rahisi rahisi tu. Wanafurahia vitu rahisi rahisi tu. Hawapendi kuumiza kichwa,hawajui mustakabali wa nchi yao na maisha yao.

Miaka 5 itakatika. Hamna tulichofanya kama nchi. Ila tutafurahi na kuruka ruka. Itakuja tena mingine. Tutashtuka. Matajiri wanabaki kuwa (wenyenchi) ni wanasiasa na maskini ni (wananchi) raia.

Hawatauliza kodi zao miaka yote kwa nini zinatajirisha wanasiasa?mtanzania anayepokea tsh 250,000 anakatwa kodi mbunge anayepokea zaidi ya mil 5. Hakatwi kodi. Bado tunaamini tatizo letu kubwa ni Sabaya na aliyekuwa Makonda. Wanasiasa watazidi kunawiri na kutuua pale tunapohatarisha vyeo vyao. Sababu hatuna akili.
 
Mjomba kutenguliwa kwa huyo jambazi kwetu ni moja ya mambo yanayotufanya tuendelee kuwa na imani na mama yetu SSH.

Watu wamefurahi kwa kuwa sasa inaonekana kuwa utawala wa kisheria na haki umerejea. Wewe unataka nini zaidi?

Huo ndio mwanzo wa mambo yote uliyo sema hapo. Waovu wakitumbuliwa kila kitu kitanyooka tu wewe kaa kwa password jombaa.
 
Hujaguswa na hawa makima
That's y unaongea tu.
imagine your relative be it a wife, son/daughter akamatwe apotee.... ungekuja na story tofaut na hii utopolo1
 
Aliyewai wapoteza watu hivyo ni nani? Amechukuliwa hatua gani? Ungetulia vizuri ungegundua nlichomaanisha. Mnafurahia kwa jambo dogo sana. Mtu ambaye amepoteza ndugu yako akivuliwa tu cheo anakuwa amepata adhabu gani? Unadhani jamaa atakuwa anasota kimaisha? Hujawahi kukutana na watu ambao wameiba mamilion ya pesa halafu wanaamua kuacha kazi? Wakafanye maisha mengine?
 
Watanzania gani hao unaowaongelea? Kama unaweza, hebu fanya opinion poll kama ile ya Gallup nchi nzima ujionee idadi kubwa ya watanzania wenye uelewa mkubwa kuhusu mustakabali wa taifa wasiojisumbua kufikisha maoni yao kwenye mitandao. Tuko wengi sana. Aidha, sio kila mtu anawafahamu au anahangaika na watu binafsi kama Makonda na Sabaya. Btw, hii si nchi ya watu wajinga watupu. Wapo wa kila aina. Hivyo, kusema "hatuna akili" si sahihi. Ishia kwa unaokutana nao kwenye "circles" zako.

Elewa kwamba mada za hapa JF zinaanzishwa na kuchangamkiwa na watu walioguswa kipekee na suala (issue) au mtu maalum (particular individual). Sasa si sahihi kutumia nyuzi za aina hiyo kama ndio kielelezo cha "ufinyu wa akili za Watanzania"! Ikiletwa mada kuhusu Sabaya, basi focus ya michango itakuwa kuhusu maswahiba ya Sabaya. Zikija za Ndugai, Makonda, Hapi, Lissu, Lema, n.k. vivyo hivyo. Na si kila anayechangia mada hizo ni masikini au "mjinga" au haelewi "tatizo halisi".
 
Mtoa mada hujui moja ya kazi muhimu ya kiongozi ni kutoa motisha.
 
Mjomba kutenguliwa kwa huyo jambazi kwetu ni moja ya mambo yanayotufanya tuendelee kuwa na imani na mama yetu SSH.

Watu wamefurahi kwa kuwa sasa inaonekana kuwa utawala wa kisheria na haki umerejea. Wewe unataka nini zaidi?

Huo ndio mwanzo wa mambo yote uliyo sema hapo. Waovu wakitumbuliwa kila kitu kitanyooka tu wewe kaa kwa password jombaa.
Kutenguliwa kwa Sabaya ndio utawala wa sheria?

Sabaya ni wa kwanza kutenguliwa?
 
Aliyewai wapoteza watu hivyo ni nani? Amechukuliwa hatua gani? Ungetulia vizuri ungegundua nlichomaanisha. Mnafurahia kwa jambo dogo sana. Mtu ambaye amepoteza ndugu yako akivuliwa tu cheo anakuwa amepata adhabu gani? Unadhani jamaa atakuwa anasota kimaisha? Hujawahi kukutana na watu ambao wameiba mamilion ya pesa halafu wanaamua kuacha kazi? Wakafanye maisha mengine?
Watu wanamna hii wakiachwa watambe hata wewe waweza kua potential victim
 
Mjomba kutenguliwa kwa huyo jambazi kwetu ni moja ya mambo yanayotufanya tuendelee kuwa na imani na mama yetu SSH.

Watu wamefurahi kwa kuwa sasa inaonekana kuwa utawala wa kisheria na haki umerejea. Wewe unataka nini zaidi?

Huo ndio mwanzo wa mambo yote uliyo sema hapo. Waovu wakitumbuliwa kila kitu kitanyooka tu wewe kaa kwa password jombaa.

2D4F6027-1399-478F-B9BC-0A5D396D45BE.jpeg
 
27 Reactions
Reply
Back
Top Bottom