Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzay Mheshimiwa Samia Suluhu leo Mei 22, 2021 amekutana na kufanya Mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania ( TRC) Masanja Kadogosa Katika...
9 Reactions
139 Replies
14K Views
Hebu kulalamika na kulaumu tu pause kidogo. Chukulia umepata nafasi ya kuwa Rais wa JMT, Waziri Mkuu, Waziri, Katibu Mkuu kwenye wizara, Spika wa Bunge, Jaji Mkuu, Mbunge, Diwani, na kadhalika na...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Matukio katika ziara ya mapokezi na utambulisho wa Sekretarieti mpya ya Halmashauri kuu ya @ccm_tanzania Taifa inayoongozwa na Katibu Mkuu Ndugu Daniel Chongolo walipowasili katika ofisi za CCM...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Tanzania imepitia vipindi tofauti vya siasa lakini kwa muda wa karibu miongo mitatu ilikuwa chini ya utawala wa chama kimoja. Hatimaye Siasa za upinzani zilirejeshwa tena nchini mwaka 1992 baada...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Katika mahojiano kupitia kituo cha Startv Lazaro Nyalandu akihojiwa na mwanahabari nguli Aloyce Nyanda amesisitiza kuwa katika kinyamg'anyiro cha kura za maoni kupata fursa...
5 Reactions
143 Replies
10K Views
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar yapokea msaada wa vifaa vya haraka vya kupimia COVID 19 aina ya Rapid Test, vyenye thamani ya shilingi Milion 250 za Kitanzania. Makamu wa kwanza wa Rais wa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Salaam TRA. Mama took office in late March. Kwa hiyo ni vigumu kumwekea mzigo wa March 2021. Naomba mambo yake yaanze Aprili 2021. Msimchoshe na mambo ya nyuma, yaani kabla ya April 01. Ombi...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Ukiwekeza katika kupata maarifa, ukajituma katika kazi unayoipenda hakuna shaka utaweza kupata heshima katika jamii inayokuzunguka. Kwa wasiofahamu Hoyce Temu ni kati ya watanzania wachache vijana...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Upendo ni jambo muhimu na la baraka mbele zake Mungu. Chadema walimpenda sana Spika Ndugai na hasa pale walipobaki na Dr Tulia wakati Job akiwa India kwa matibabu walimlilia na kumuombea uponyaji...
8 Reactions
27 Replies
3K Views
Salaam! Wote tunajua ya kwamba tuko katika transition period ili tufikie jitihada za kureform nchi yetu katika nyanja mbalimbali hususani biashara ambayo mifumo yake imearibiwa ndani ya miaka...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku Musukuma ameitaka Serikali kufungua Viwanda ilivyofunga akisema wengine walionyang'anywa wana uwezo, na waliosababisha Viwanda vifungwe ni Serikali...
10 Reactions
33 Replies
4K Views
Vijana wa mataga mpate taarifa zenu na msijisahau Mtetezi wenu na mungu wenu ashakufa huu ni wakati wenu wa kumfuata jee mwajua maana ya kumfuata??nashauri mtumie njia ya kuweza kufika kwa baba...
12 Reactions
24 Replies
2K Views
Balozi wa Tanzania Nchini Sweden, Dkt. Wilbroad Slaa amesema kipaumbele cha Hayati Rais John Magufuli kilikuwa kuwainua Watanzania, na njia alizoweka hadharani kutimiza hilo ni kuwekeza kwenye...
8 Reactions
147 Replies
13K Views
IRINGA: Mkuu wa Wilaya ya Iringa Richard Kasesela, amewaomba radhi Watanzania kufuatia kusambaa kwa picha zinazomuonyesha akiwa ameshikilia viungo bandia vya jinsia ya kiume na kuzua taharuki...
2 Reactions
71 Replies
15K Views
Meya wa Jiji la Mwanza, James Bwire ameomba kukutana na Rais John Magufuli kwa siri kwa kuwa kuna mambo ambayo hawezi kuyasema hadharani. Bwire ametoa ombi hilo leo Jumanne Oktoba 31,2017 mbele...
2 Reactions
36 Replies
6K Views
Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima ametaka kuwepo umakini wa kuchagua Chanjo dhidi ya Ugonjwa wa COVID-19. Amesema hayo akiwa Bungeni Dodoma leo wakati wa Mjadala wa Bajeti ya Wizara...
38 Reactions
360 Replies
32K Views
Mambo yanaenda kwa kasi sana. Vinara wa mbwembwe za kisiasa na lugha yenye lafudhi mwanana ndani na nje ya CCM Prof Kabudi na komredi Polepole wako kimya sana. Jamani muwe mnajitokeza kwenye...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Vijana wengi hasa wasio na ajira waliingia CCM sio kwa kukipenda chama bali kutafuta ridhiki na ajira za upendeleo ndani ya chama na serikali, huku role models wao wakubwa wakiwa akina Makonda...
34 Reactions
63 Replies
5K Views
Leo rais anamuapisha Luten jenerali Yakubu Hassan Mohammed aliyeteuliwa kuwa mnadhimu mkuu wa JWTZ Mpaka sasa viongozi mbalimbali serikalini wanaendelea kuwasili ukumbini akiwemo makamu wa Rais...
1 Reactions
44 Replies
15K Views
Salaam kwa wote, Mimi ninamiliki biashara ya car wash maeneo ya Mabibo kwenye barabara ya kuelekea Loyola opposite na Jambo Garden. Nilikamilisha taratobu za kuomba huduma za Za umeme na...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…