Video: Nyalandu asisitiza kumbwaga Lissu kwa kura za Kamati Kuu CHADEMA

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Ndugu zangu,

Katika mahojiano kupitia kituo cha Startv Lazaro Nyalandu akihojiwa na mwanahabari nguli Aloyce Nyanda amesisitiza kuwa katika kinyamg'anyiro cha kura za maoni kupata fursa kuiwakilisha Chadema alimshinda Lissu kwa kupata kura 30.Amesema mfumo wa upigaji kura Chadema katika kamati kuu unampa fursa kila mjumbe kupiga kura tatu na wagombea wakikuwa Saba na yeye kuibuka kidedea kwa kupata kura 30.
 
Maana yake CHADEMA hawajiamini wenyewe katika kuishinda CCM bali wanaamini wenye uwezo huo ni makada wa CCM wanaokimbilia kwenye chama hicho.

Kwahiyo wahamiaji kama Nyalandu, Lowassa, Sumaye n.k wanapogombea ndani ya CHADEMA lazima washinde na ndiyo maana Nyalandu alimshinda Lissu.

Hii inatokana na ukweli kwamba Akili za wana CHADEMA zimelala kwenye maono ya Baba Wa Taifa kwamba upinzani wa wa kuishinda CCM atatoka ndani ya CCM na si chama kingine.
 
Kwa hiyo?

Amandla...
 
Kumbe ndio maana Chadema walimchagua Nyalandu agombee urais ! Sasa ina make sense.

Amandla...
 
Ndugu zangu,

Katika mahojiano kupitia kituo cha Startv Lazaro Nyalandu akihojiwa na mwanahabari nguli Aloyce Nyanda amesisitiza kuwa katika kinyamg'anyiro cha kura za maoni kupata fursa kuiwakilisha Chadema alimshinda Lissu kwa kupata kura 30.Amesema mfumo wa upigaji kura Chadema katika kamati kuu unampa fursa kila mjumbe kupiga kura tatu na wagombea wakikuwa Saba na yeye kuibuka kidedea kwa kupata kura 30.

Chadema tumekuwa makini from now on! Mapandikizi hayatapata njia tena .
 
Katika mahojiano kupitia kituo cha Startv Lazaro Nyalandu akihojiwa na mwanahabari nguli Aloyce Nyanda amesisitiza kuwa katika kinyamg'anyiro cha kura za maoni kupata fursa kuiwakilisha Chadema alimshinda Lissu kwa kupata kura 30.Amesema mfumo wa upigaji kura Chadema katika kamati kuu unampa fursa kila mjumbe kupiga kura tatu na wagombea wakikuwa Saba na yeye kuibuka kidedea kwa kupata kura 30.
Kugombania vyeo ni ishara ya kutoaminiana
 
Ndugu zangu,

Katika mahojiano kupitia kituo cha Startv Lazaro Nyalandu akihojiwa na mwanahabari nguli Aloyce Nyanda amesisitiza kuwa katika kinyamg'anyiro cha kura za maoni kupata fursa kuiwakilisha Chadema alimshinda Lissu kwa kupata kura 30.Amesema mfumo wa upigaji kura Chadema katika kamati kuu unampa fursa kila mjumbe kupiga kura tatu na wagombea wakikuwa Saba na yeye kuibuka kidedea kwa kupata kura 30.

Alishahama Chadema,yeye kinamuwasha kitu gani? Azungumzie matatizo au manufaa ya Ccm yake.
 
Ndugu zangu,

Katika mahojiano kupitia kituo cha Startv Lazaro Nyalandu akihojiwa na mwanahabari nguli Aloyce Nyanda amesisitiza kuwa katika kinyamg'anyiro cha kura za maoni kupata fursa kuiwakilisha Chadema alimshinda Lissu kwa kupata kura 30.Amesema mfumo wa upigaji kura Chadema katika kamati kuu unampa fursa kila mjumbe kupiga kura tatu na wagombea wakikuwa Saba na yeye kuibuka kidedea kwa kupata kura 30.

Je na uchaguzi wa ubunge huko kwao singida, akiwa chadema zidi ya mpinzani wa CCM, anauzugumziaje?
 
Hata Kikwete alimuangusha Mkapa kwenye kura za maoni 1995 lalkini hakuhama chama alipo wekwa pembeni licha ya ushindi wake

Kuna wale waliotajwa na Mwalimu Nyerere kua ni wanasiasa wenye tabia za kimalayamalaya huyu Nyalandu haangukii humo?

"Itakuaje mnamchagua mtu kua mwenyekiti wa chama halafu kesho anaunga mkono juhudi?"- F. Mbowe

Mission za Lowasa, Sumaye na sasa Nyalandu zimefeli vibaya kabisa. Sina chama ni mtazamo binafsi tu
 
Back
Top Bottom