Suala la vifurushi ni siasa na zinakera kwa wawekezaji

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,108
18,326
Kumekua na malalamiko kwa viongozi wa siasa kwamba mabando ni ghali. Swala hili wansiasa wanaoichukulia haraka kwa sababu wanajua linagusa kila mtanzania wasijue kwamba Tanzania ndio inagharama ndogo ya internet na mawasiliani kwa ujumla Africa Mashariki.

Pili huwezi kulazimisha bei kwenye soko la ushindani, serikali inapo ingilia maswala ya bei ni kuua ushindani na mwisho kuua uchumi.

Kama CCM wanataka bei bure, si wawaimbe TTCL wafanye bando bure kuwalazimisha Vodacom wapunguze bei ya bando wakati hawajui uwekezahi ambao vodacom wamefanya ji uupuzi na kufirisika kisiasa.

Ndugulile wasikuendeshe, waacha watoa huduma washindane, bei zitashuka zenyewe.

Mwisho Watanzania tunahitahi sio tu gharama ndogo ya huduma za simu lakini pia huduma bora.

Mwezi Feb TCRA ilitoa mwongozo wa bei elekezi, na wote tuliona kilichotokea kuanzia tarehe 2 April 2021.
 
Back
Top Bottom