Rais mstaafu ni cheo au ni hadhi tu?

Rais mstaafu ni cheo au ni hadhi tu?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,600
Nauliza tu kwa wale wataalamu wa itifaki za kitaifa kwamba Rais mstaafu ni cheo au ni hadhi?

Kwa mfano pale Kenya Mh. Mwai Kibaki anatambulishwa kama Rais wa zamani wa Kenya na huwa hana misafara yoyote kwenye shughuli zake za ujasiriamali.

Kwa hapa nyumbani ndio sijaelewa kama Rais mstaafu ndio sawa na Rais wa zamani ambaye kwa sasa yuko kwenye maisha yake ya pensheni.

Nawasilisha swali!
 
Back
Top Bottom