Wanasiasa nawaonya kwa mara ya kwanza. Hili Taifa ni mali ya watanzania na si mali yenu

The lost

JF-Expert Member
Jul 3, 2017
2,695
8,209
Kuna watu wanajiona ni bora zaidi ya wengine wote bila kujua kuwa elimu yetu ndiyo tunu pekee ya kuongoza taifa letu.

Wanasiasa mnapojifanya hamuoni tatizo la ajira kwa vijana wetu mjiandae kuondolewa ofsini. Kama mnahisi kuwa mpo bora zaidi mnajidanganya.

Kununua magari yenu pesa zipo, kujenga nyumba zenu pesa zipo ila kununua vitabu pesa hakuna, kununua madawa hospital pesa hakuna, kuchonga madawati pesa hakuna. Endeleeni tu kuwa vipofu.

THE LOST, lost and gone in air.
 
Kuna watu wanajiona ni bora zaidi ya wengine wote bila kujua kuwa elimu yetu ndiyo tunu pekee ya kuongoza taifa letu. Wanasiasa mnapojifanya hamuoni tatizo la ajira kwa vijana wetu mjiandae kuondolewa ofsini kwa mabavu. Kama mnahisi kuwa mpo bora zaidi mnajidanganya. Kununua magari yenu pesa zipo, kujenga nyumba zenu pesa zipo ila kununua vitabu pesa hakuna, kununua madawa hospital pesa hakuna, kuchonga madawati pesa hakuna. Endeleeni tu kuwa vipofu.
THE LOST, lost and gone in air.
Leo umekuwa mkali kulikoni? Uko sawa lkn, wapigwe wanasiasa, wapigweeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Hata ufanyaje. Hali hii haiwezi kubadilika mpaka mwisho wa dunia. Viongozi wetu wamejaa ubinafsi sana.

Waafrika tuna matatizo makubwa hata wewe ukiwa kiongoz mkubwa cha kwanza utaangalia familia yako na ndugu zako kwanza.

Ni mwendo wa kujilimbikizia mali tu. Wakat huku mtaani watu wanalia njaa kali.
 
Hata ufanyaje. Hali hii haiwezi kubadilika mpaka mwisho wa dunia. Viongozi wetu wamejaa ubinafsi sana. Waafrika tuna matatizo makubwa hata wewe ukiwa kiongoz mkubwa cha kwanza utaangalia familia yako na ndugu zako kwanza. Ni mwendo wa kujilimbikizia mali tu. Wakat huku mtaani watu wanalia njaa kali.
Hii inatokana na umasikini uliokithiri ndio maana tumezoea kubebana.
 
Tulieni nyie, chama cha kijani ndio mwenye jiko halafu serikali ni mpishi, nyie wananchi ni kama yale mapaka yanayokaa bar siku wakiamua kuwatupia minofu mnakula na kushukuru, wakiamua kuwapiga mnapigwa, wakiamua kuwafukuza mnafukuzwa. Ila wakati wa kuombana kura huwa tunawajali sana na kuwapenda
 
Kuna watu wanajiona ni bora zaidi ya wengine wote bila kujua kuwa elimu yetu ndiyo tunu pekee ya kuongoza taifa letu.

Wanasiasa mnapojifanya hamuoni tatizo la ajira kwa vijana wetu mjiandae kuondolewa ofsini. Kama mnahisi kuwa mpo bora zaidi mnajidanganya.

Kununua magari yenu pesa zipo, kujenga nyumba zenu pesa zipo ila kununua vitabu pesa hakuna, kununua madawa hospital pesa hakuna, kuchonga madawati pesa hakuna. Endeleeni tu kuwa vipofu.
THE LOST, lost and gone in air.
Mbona kwenye awamu ya 5 hukuyauliza haya maswali yako ?

Mbona kwenye awamu ya 5 hukuwaonya wana siasa?

Tulieni sawa sawia ili sindano iwaingie vyema mwilini kusudi mpone maradhi yenu hayo ya kibaguzi.

Mlipanda mbegu za ubaguzi kwa kutegemea mnawakomoa baadhi ya watanzania, kumbe sasa kibao kimewageuka mmeanza kulia lia.
 
Tena Mama Samia kila siku anawateua wao na watoto wao kwakweli mama unafeli hapa
Kina Makonda ,pepole,Bashiru walipo teuliwa mbona hamkupiga mayowe mnayo yapiga sasa?

Tulieni sindano iwaingie vyema na hapo bado sana mtalia sana.
 
Mbona kwenye awamu ya 5 hukuyauliza haya maswali yako ?

Mbona kwenye awamu ya 5 hukuwaonya wana siasa?

Tulieni sawa sawia ili sindano iwaingie vyema mwilini kusudi mpone maradhi yenu hayo ya kibaguzi.

Mlipanda mbegu za ubaguzi kwa kutegemea mnawakomoa baadhi ya watanzania, kumbe sasa kibao kimewageuka mmeanza kulia lia.
Mkuu hakika haupo sawa kichwani! Wewe umeanza kunifatilia leo naona. Kwa taarifa yako nilimkosoa Magufuli akiwa hai na kamwe siwezi kumkosoa akiwa mfu. Kuwa na heshima, hata kama ningekuwa upande wa Magufuli bado hakunizuii kuwanyoshea kidole wanasiasa wa leo maana wote ni walewale wa mwendazake.
 
Pole sana mlizoea vya kunyonga
 
Mkuu hakika haupo sawa kichwani! Wewe umeanza kunifatilia leo naona. Kwa taarifa yako nilimkosoa Magufuli akiwa hai na kamwe siwezi kumkosoa akiwa mfu. Kuwa na heshima, hata kama ningekuwa upande wa Magufuli bado hakunizuii kuwanyoshea kidole wanasiasa wa leo maana wote ni walewale wa mwendazake.
Huko ndiyo kuisoma namba mlikokuwa mnashangilia hovyo kama hamnazo na sasa ndiyo zamu yenu ya kuisoma namba.
 
Tulieni nyie, chama cha kijani ndio mwenye jiko halafu serikali ni mpishi, nyie wananchi ni kama yale mapaka yanayokaa bar siku wakiamua kuwatupia minofu mnakula na kushukuru, wakiamua kuwapiga mnapigwa, wakiamua kuwafukuza mnafukuzwa. Ila wakati wa kuombana kura huwa tunawajali sana na kuwapenda
Ungekuwa karibu ningekulamba hata kofi.....
 
Umeongea jambo kubwa sana mkuu,wanasiasa kwa asilimia kubwa ni watu wa ajabu sana,yaani mstaafu anakaa zaidi ya mwaka hajapewa mafao yake na wao wanakaa kimiya tu hawaweki maazimio huko Bungeni,wakati huo huo matakwa yao yanapatiwa majibu ontime,ni wabinafsi na wanafki sana
 
Industrial parks mheshimiwa rais ameshaziongelea bado utekelezaji wake.

Pia usiwe shuleni au chuoni ukawa na akili ya kuajiliwa kwa asilimia 95, kumbuka wanaosoma na kumaliza kama wewe ni wengi.
 
Back
Top Bottom