Hamuoni inavyopendeza Rais Samia akiwa Magogoni na Dkt. Mpango akibaki Dodoma?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
45,210
2,000
Dar es salaam ndio jiji lililobeba uchumi wa nchi likiwa limesheheni wawekezaji wa kila sekta.

Dodoma ni jiji lililo katikati ya nchi hivyo linaweza kutumika kuratibu vita dhidi ya umaskini nchini.

Inapendeza kuona Rais Samia akibaki Dar es salaam akiimarisha mahusiano ya ndani na nje ya nchi huku akisimamia kwa karibu ukuaji wa uchumi uliotetereka hadi 4.7%

Naye Dr Mpango akibaki Dodoma kusimamia angamizo la umaskini na utunzaji wa mazingira ya nchi yetu.

Mungu ibariki Tanzania.

Kazi Iendelee!
 
Naipendatz

JF-Expert Member
Jul 27, 2011
2,251
2,000
Hahaha, Bwashee unawachokoza watu wa "legasi", hujui kuwa mojawapo ya "legasi" ya bwana yule ni kuhamia Dodoma? Ila bwana yule alikuwa na visa sana, yeye starehe yake ilikuwa kujilaza kwenye yale mawe ya Dom na kupiga picha!!!
 
Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
3,367
2,000
Dar es salaam ndio jiji lililobeba uchumi wa nchi likiwa limesheheni wawekezaji wa kila sekta.

Dodoma ni jiji lililo katikati ya nchi hivyo linaweza kutumika kuratibu vita dhidi ya umaskini nchini.

Inapendeza kuona Rais Samia akibaki Dar es salaam akiimarisha mahusiano ya ndani na nje ya nchi huku akisimamia kwa karibu ukuaji wa uchumi uliotetereka hadi 4.7%

Naye Dr Mpango akibaki Dodoma kusimamia angamizo la umaskini na utunzaji wa mazingira ya nchi yetu.

Mungu ibariki Tanzania.

Kazi Iendelee!
Kwani ni lazima Ikulu iwe kwenye mji wa kibiashara?
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
28,470
2,000
Dar es salaam ndio jiji lililobeba uchumi wa nchi likiwa limesheheni wawekezaji wa kila sekta.

Dodoma ni jiji lililo katikati ya nchi hivyo linaweza kutumika kuratibu vita dhidi ya umaskini nchini.

Inapendeza kuona Rais Samia akibaki Dar es salaam akiimarisha mahusiano ya ndani na nje ya nchi huku akisimamia kwa karibu ukuaji wa uchumi uliotetereka hadi 4.7%

Naye Dr Mpango akibaki Dodoma kusimamia angamizo la umaskini na utunzaji wa mazingira ya nchi yetu.

Mungu ibariki Tanzania.

Kazi Iendelee!
Whatever, hata wakikaa Musoma na Chato, sisi tunataka aondoe MAAFA YA JIWE ALIYOYASABABISHA NCHI HII... mengine baadaye
 
ngongoti2000

JF-Expert Member
Nov 20, 2017
1,881
2,000
Dodoma ndo mji mkuu, anavyorudi Dar anaharibu, tanzania kwa ujumla itaendelea endapo mji mkuu ukaheshimiwa, maana siku za mbelen soko kuu la tanzania likiwa dodoma ndo maendeleo yenyewe hayo yatakuwa
Mama arudi tu Dsm na wengine wafuate.....Dodoma ni mji ambao hautaendelea kamwe...yaani hapa ulipo ndiyo umefika mwisho na ndiyo maana hata wawekezaji ,wageni wa maana huwezi kukutana nao Dom ...ila Dar unakutana nao kila kona.....hakuna shughuli yeyote ya kiuchumi inayovutia wawekezaji kule Dodoma ...hivyo hata itumike nguvu kiasi gani mji utabaki vile vile kama porini
 
Watery

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
1,915

Hapataendelea kama panakimbiwa, kama wanataka kurudi basi wabadili Dsm iwe mji mkuu
 
Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
47,263
2,000
Dar es salaam ndio jiji lililobeba uchumi wa nchi likiwa limesheheni wawekezaji wa kila sekta.

Dodoma ni jiji lililo katikati ya nchi hivyo linaweza kutumika kuratibu vita dhidi ya umaskini nchini.

Inapendeza kuona Rais Samia akibaki Dar es salaam akiimarisha mahusiano ya ndani na nje ya nchi huku akisimamia kwa karibu ukuaji wa uchumi uliotetereka hadi 4.7%

Naye Dr Mpango akibaki Dodoma kusimamia angamizo la umaskini na utunzaji wa mazingira ya nchi yetu.

Mungu ibariki Tanzania.

Kazi Iendelee!
Wewe utabaki wapi?
 
Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
47,263
2,000
Mama arudi tu Dsm na wengine wafuate.....Dodoma ni mji ambao hautaendelea kamwe...yaani hapa ulipo ndiyo umefika mwisho na ndiyo maana hata wawekezaji ,wageni wa maana huwezi kukutana nao Dom ...ila Dar unakutana nao kila kona.....hakuna shughuli yeyote ya kiuchumi inayovutia wawekezaji kule Dodoma ...hivyo hata itumike nguvu kiasi gani mji utabaki vile vile kama porini
Dom pahovyo sn, abaki Ndugai na genge lake
 
bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
12,834
2,000
Dodoma ibaki kuwa makao ya mhimili wa Bunge / parliament / National assembly ili mhimili huu uendelee kuwa huru.

Dar es Salaam iwe makao makuu ya serikali ya Muungano wa Tanzania ili muhimili wa dola usiote tena mizizi mpaka ndani ya mhimili wa Bunge kama ilivyokuwa wakati wa awamu ya tano Bunge kumezwa na mhimili wa dola.

Mji wa Arusha uwe makao makuu ya mhimili wa Mahakama Kuu ili jaji mkuu na mahakama ya rufani wabaki huko mbali siyo kila siku wanahudhuria hafla za wafanyakazi wa serikali kuu na mikoa wakiapishwa na kwa namna hii ya mgawanyo wa mihimili, Mahakama iwe huru toka michororo na jinamizi la awamu ya tano. Arusha ni makao ya korti ya Afrika Arusha | Search Results | African Court on Human and Peoples' Rights , EACJ www.eacj.org , UN Korti za masuala ya maovu dhidi ya binadamu International Residual Mechanism for Criminal Tribunals May Conclude Most Cases by May 2021, Its President Tells Security Council | Meetings Coverage and Press Releases hivyo Mahakama Kuu ya Tanzania na Jaji Mkuu wa Tanzania Judiciary of Tanzania | Home watakuwa wanabadilisha mawazo na wasomi wenziwe kuhusu namna bora ya Mahakama za Tanzania kujiendesha kwa uhuru na kumaliza mrundikano wa kesi kwa kuwa kila siku wanahudhuria hafla zote za mhimili wa serikali .

The Many Capitals of South Africa​

South Africa's three capital cities are strategically placed throughout the country, each hosting a separate segment of the nation's government. When asked about a single capital, most people would point to Pretoria.

  • Pretoria is the administrative capital. It is home to the executive branch of the South African government, including the President of the Cabinet. The city also hosts many departments of government and foreign embassies.
  • Located in the province of Gauteng, Pretoria is in the northeast part of South Africa and near the city of Johannesburg.
  • Cape Town is the legislative capital. It is home to the country's legislative parliament, including the National Assembly and National Council of Provinces.
  • Located in the southwest corner of South Africa in the province of Western Cape, Cape Town is the second-largest city in population.
  • Bloemfontein is considered the judicial capital. It is home to the Supreme Court of Appeal, the second-highest court in South Africa. The Constitutional Court (the highest court) is located in Johannesburg.
  • Located in the province of Free State, Bloemfontein is in the center of South Africa.
 
Tumbiliwaulaya

JF-Expert Member
Nov 22, 2020
261
500
Dar es salaam ndio jiji lililobeba uchumi wa nchi likiwa limesheheni wawekezaji wa kila sekta.

Dodoma ni jiji lililo katikati ya nchi hivyo linaweza kutumika kuratibu vita dhidi ya umaskini nchini.

Inapendeza kuona Rais Samia akibaki Dar es salaam akiimarisha mahusiano ya ndani na nje ya nchi huku akisimamia kwa karibu ukuaji wa uchumi uliotetereka hadi 4.7%

Naye Dr Mpango akibaki Dodoma kusimamia angamizo la umaskini na utunzaji wa mazingira ya nchi yetu.

Mungu ibariki Tanzania.

Kazi Iendelee!
Acha utoto anapaswa kuwa Dodoma makao makuu ya nchi na si vinginevyo,kwa hiyo unataka rais wetu awe anawafuata wafanya biashara na si wao wamfuate alipo? Tafadhari usimdharirishe rais wangu pls.
 
MENGELENI KWETU

JF-Expert Member
Oct 23, 2013
9,351
2,000
Dar es salaam ndio jiji lililobeba uchumi wa nchi likiwa limesheheni wawekezaji wa kila sekta.

Dodoma ni jiji lililo katikati ya nchi hivyo linaweza kutumika kuratibu vita dhidi ya umaskini nchini.

Inapendeza kuona Rais Samia akibaki Dar es salaam akiimarisha mahusiano ya ndani na nje ya nchi huku akisimamia kwa karibu ukuaji wa uchumi uliotetereka hadi 4.7%

Naye Dr Mpango akibaki Dodoma kusimamia angamizo la umaskini na utunzaji wa mazingira ya nchi yetu.

Mungu ibariki Tanzania.

Kazi Iendelee!
Wakae Dodoma au Wakae Dar vyote sawa tu..
La muhimu kupita yote ni kwamba lile lishenzi Meko halipo..na halitarudi milele..
Nchi nzima ina furaha hahahaha.
 
Tumbiliwaulaya

JF-Expert Member
Nov 22, 2020
261
500
Mama arudi tu Dsm na wengine wafuate.....Dodoma ni mji ambao hautaendelea kamwe...yaani hapa ulipo ndiyo umefika mwisho na ndiyo maana hata wawekezaji ,wageni wa maana huwezi kukutana nao Dom ...ila Dar unakutana nao kila kona.....hakuna shughuli yeyote ya kiuchumi inayovutia wawekezaji kule Dodoma ...hivyo hata itumike nguvu kiasi gani mji utabaki vile vile kama porini
Mara ya mwisho wewe kwenda Dodomailikuwa lini? Tunaomba watu wa Daresalama mtuelewe serikari haipo kwa ajiri ya kuwahudumia wafanya biashara,serikari ipo kuwahudumia watanzania wakiwemo wafanya biashara,kwa maana hiyo serikali haiwezi kurudi Daresalama eti kwasababu wanaenda kuhudumia wafanya biashara hilo moja, pili tambua kuwa viongozi wetu wanapaswa kuuishi umasikini wetu,kama watatoka Dodoma kwa sababu eti wanazikimbia shida za Dodoma na sio kuzitatua huo utakuwa mwanzo wa mapambano mapya ya kusaka viongozi wanao faa. ila nijuavyo mimi ilikuwa rahisi kuacha mchakato wa katiba mpya na sio kuacha mchakato wa kuhamia dodoma,hii ni sawa na kutest sumu kwa kuilamba hayupo atakaye thubutu tafsili nyepesi ya kurudi Dar ni kurudia anasa na si vinginevyo over.
 
mdudu

JF-Expert Member
Feb 6, 2014
4,615
2,000
Hahaha, Bwashee unawachokoza watu wa "legasi", hujui kuwa mojawapo ya "legasi" ya bwana yule ni kuhamia Dodoma? Ila bwana yule alikuwa na visa sana, yeye starehe yake ilikuwa kujilaza kwenye yale mawe ya Dom na kupiga picha!!!

20210518_102451.jpg
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom