jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,053
- 28,245
Nawakumbusha tu kuwa Ushindi ni magoli yawe ya kichwa au kisigino yote hufungwa kwa ustadi mkubwa na mafundi wa kufunga yaani Top Scorer!
Nawakumbusha kuwa ushindi katika mechi ni mpango wa muda mrefu na usajili unaofanyika chini ya jopo la benchi la ufundi ...na ikumbukwe kuwa usajili hufanyika kabla ya mashindano na sio siku moja au mbili kabla ya mashindano.
Maandalizi ya mechi hufanyika mapema sana ili kujihakikishia ushindi.
Kamwe Ushindi hauji kwa kukurupuka...au kuokoteza mastriker wa mechi za mchangani.
Vivyo hivyo ushindi haujawahi kuletwa na loosers so never invest on looser halafu uxpect kushinda.
Mwaka 2015 Chadema iliwekeza kwa looser mmoja kutoka CCM na mkatuaminisha na picha za mafuriko kuwa ati ushindi utapatikana asubuhi saa nne.
Sasa kwa mara nyingine tena mnawekeza kwa "once a looser" na mnataka kuwaaminisha wananchi eti mtashinda hili game!!Shame on you and your strategy team kama ipo.
Maswali muhimu....
Je CCM ilivyoamua "kununua" kama mlivyozoea kusema wagombea wenu wa udiwani na kuwarudisha kugombea kwa tiketi zinazouza za chanikiwiti ilikuwa haijajipanga?
Baada ya CCM kufanikiwa katika zoezi hilo lililowagusa madiwani wenu katika ngome zenu kwa asilimia 99 na hatimaye kuanza kunyemelea ubunge je ilikuwa haijajipanga?
Je kuna mwananchi atakubali kuwekeza kwa wagombea wenu ambao potentially wako sokoni kila kukicha??
Nawaasa kushughulikia tatizo kubwa zaidi ndani ya chama yaani usaliti kabla ya kuongeza idadi yawasaliti halafu mnabaki kutulilia kila kukicha.
Naendelea kuwashauri kuwa mnapoweka "Too much " expectations muandae na madawa ya kushusha presha na misongo ya mawazo...yaani muandae na madaktari wa kutibu post trauma Stress Disorders .
CCM iliyo adilifu ,mpya na moja ni kali zaidi ya barca ya kina messi na Iniesta !!
Nawatakia jumapili njema kutokea Kutokea Manyanya nikielekea ufipa kwa kazi maalumu!