Wadau wa JF.
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Jumla ya kilo 163,179 za dhahabu zimesafishwa kwa ubora wa asilimia 99.9 katika kiwanda cha kusafisha dhahabu cha Mwanza...
Wadau wa JF
Nawasalimi kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani leo Mei 31, 2021 amekutana kwa mazungumzo na Viongozi...
Kiutawala Jiji lilikuwa limegawanyika katika Halmashauri sita za Serikali za mitaa ambazo ni:
Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam
Halmashauri ya Manispaa ya Temeke
Halmashauri ya Manispaa ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaSamia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara ya siku mbili nchini Kenya
Anatarajia kufanya ziara hiyo kuanzia Mei 4, 2021 ambapo atapokelewa na Rais Uhuru...
Rais analizwa na maisha ya Rais mstaafu
Rais anamnunulia BENZI la dollar 400,000 Rais mstaafu.?
Wakati huo mwanae akiwa Rais wa Zanzibar.
Rais anahailisha mechi inayofatiliwa na watu zaidi ya...
Habari wadau.
Tutaongea sana ila amini usiamini viongozi wetu ndio wachawi ndio wanaotufanya vijana wengi tusifanikiwe kwa vitu vidogo vidogo tu ambavyo wanatubania.
Kipindi cha mzee wa RUKSA...
Katika Awamu hii ya Mama Samia , ingalau Rais anajaribu kurudisha conscience ya jamii, kisiasa kuheshimu ukweli na uungwana.
Suala la Mdee na wenziwe 18 kuwepo Bungeni kwa barua za kughushi...
Why hizi teuzi zote asizifanye ndani ya siku na hata kama kutakuwa na interver ya kuwaapisha?
Je, teuzi ni sehemu ya mafanikio ya nchi? Tujivunie teuzi kama moja ya nchi kupitia hatua?
Make...
Habari za uhakika muda mchache uliopita nimepata taarifa ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema kabla ya Mbowe... Mzee Bob Makani amefariki.
R.I.P Bob Makani
Kwasababu ya msiba huu, CHADEMA...
Watanzania tulishaaminishwa kuwa mamlaka ya uteuzi ni mamlaka kubwa ambayo ina vyanzo mbalimbali vya kupata habari.
Pia tulishaambiwa kuwa mamlaka ya uteuzi huwa inafanya vetting ili kupata...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani amekutana na kufanya mazungumzo na Mfanyabiashara maarufu kutokea Nigeria Alhaji Aliko Dangote
Mazungumzo hayo muhimu...
Mkuu wa mkoa wa Geita mh Rose amesema ombi la kuunda mkoa wa Chato likipita basu mkoa wa Geita utabakiwa na wilaya za Busanda, Nyang'wale na Geita yenyewe na Mbogwe
RC Rose amesema mkoa mpya wa...
Juzi spika aligusia kidogo suala la ajira kwa walimu na kuishauri serikali kutoa kipaumbele cha ajira kwa walimu wengi wa kiume kuliko wanawake.
Hoja ya spika ina mashiko kwa sababu nature...
Kajibu hivi
'Suala la Chato kuwa Mkoa nimeambiwa tayari mchakato umeanza naelekeza lishughulikiwe kama vigezo vimekidhi Chato iwe Mkoa na kama vigezo havijakidhi tuwaelekeze nini cha kufanya ili...
Nyota huyo na familia yake yupo Zanzibar kwa mapumziko na familia yake.
Inasadikiwa ataanzisha kituo cha michezo cha watoto na kuendeleza soka la Zanzibar.
"Nimefurahi kwa uwepo wako hapa...
Dkt. Magufuli amelala. Raha ya Milele Umpe ee Bwana na Mwanga wa Milele Umuangazie, Apumzike kwa Amani, Amen.
Hayupo.
Sisi ni Watanzania taifa huru Magufuli hayupo pamoja na yote tunamtaka Rais...
Geita yaridhia kuanzishwa Mkoa wa Chato. RCC yatoa mapendekezo. Baadhi ya maeneo kutoka mikoa jirani. RC Geita Mhe Rosemary Sitaki awashukuru Wananchi kukubaliana kwa hekima bila ushabiki.
Kikao...
Bob Nyanga Makani,Mwenyekiti wa pili na Katibu Mkuu wa kwanza wa CHADEMA,amefariki dunia jana.Ninaomoyo mnyenyekevu kuwapa pole wote wanaohusika kwa namna moja au nyingine na msiba huu...
Hii taarifa imetufikia kama mshtuko fulani vile, ikimhusisha Mkuu wa mkoa na uhalifu dhidi ya Lissu
Source Hiyo hapo chini, nimefanya my screenshot tu.
Kutoka kwa Robert Alai
=========
It is...