Ndugai, suala la Ubunge wa Mdee kubalini makosa ili myasahihishe na mheshimike

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
9,701
2,000
IMG_20210529_164949.jpg

Katika Awamu hii ya Mama Samia , ingalau Rais anajaribu kurudisha conscience ya jamii, kisiasa kuheshimu ukweli na uungwana.

Suala la Mdee na wenziwe 18 kuwepo Bungeni kwa barua za kughushi linamuondolea heshima Ndugai.

Leo akisimama na majoho yake ati kutetea ukweli wa kitu fulani au issue yoyote , anaonekana mantiki mwenye ulimi laghai.

Unless Ndugai atakubali kulisahihisha hili suala la kina Mdee, anakosa moral authority ya kuweka kitu chochote sawa, akiwa kama Spika.

Tena Ndugai ana bahati, ana mtu wa kumlaumu kwa kadhia ya sakata la Mdee and co.
 
Nazgur

JF-Expert Member
Apr 19, 2020
3,115
2,000
Nani anapaswa kubaisnisha ni za kugushi kati ya ndugai au chadema?
Na kama ndugai anahusika kughushi kwa nini chadema wasifungue kesi juu ya hilo?

Chadema mara ngapi wamekuwa wakifungua kesi kudai haki zao, ila hili limewashinda kufungua kwa kipi?
Jiulize swali hilo?
1hawajui mahakama zilipo?
2hawana pesa za kufungua kesi?
3hawana mwanasheria wa kuwasimamia hiyo kesi?

Baada ya hapo ukikosa majibu, nasibujue kuna shida chadema.
 
mundaliku

Member
Oct 17, 2012
77
125

Ndugai amekiri kupokea barua ya Chadema japo ameiita ni kiperurushi.
 
Nazgur

JF-Expert Member
Apr 19, 2020
3,115
2,000
Hiy
Ndugai amekiri kupokea barua ya Chadema japo ameiita ni kiperurushi.
Hiyo barua imepita tume ya uchaguzi kupinga na pia kwa msajili kuonyesha utaratibu waliotumia kuwafukuza hao wabunge kama sheria ya chama chao inavyotaka?
Kwa nini chadema hawataki.kuheshimu katiba yao huku wanataka wengite waheshibu katiba?
 
Nzelu za bwino

Senior Member
Jan 12, 2020
157
250
Nani anapaswa kubaisnisha ni za kugushi kati ya ndugai au chadema?
Na kama ndugai anahusika kughushi kwa nini chadema wasifungue kesi juu ya hilo?

Chadema mara ngapi wamekuwa wakifungua kesi kudai haki zao, ila hili limewashinda kufungua kwa kipi?
Jiulize swali hilo?
1hawajui mahakama zilipo?
2hawana pesa za kufungua kesi?
3hawana mwanasheria wa kuwasimamia hiyo kesi?

Baada ya hapo ukikosa majibu, nasibujue kuna shida chadema.
Kwanini waliofukuzwa uanachama hawajawah kwenda mahakamani kupinga kufukuzwa kwao?badala yake wamejitokeza watu nje ya chama walimofukuzwa hao wanachama na kuwatetea Kwa nguvu kubwa sana.je waliofukuzwa uanachama hawaijui katiba ya chadema?I'll swali Lima nisumbua sana.
 
Ligaba

JF-Expert Member
Oct 12, 2018
925
1,000
Nani anapaswa kubaisnisha ni za kugushi kati ya ndugai au chadema?
Na kama ndugai anahusika kughushi kwa nini chadema wasifungue kesi juu ya hilo?

Chadema mara ngapi wamekuwa wakifungua kesi kudai haki zao, ila hili limewashinda kufungua kwa kipi?
Jiulize swali hilo?
1hawajui mahakama zilipo?
2hawana pesa za kufungua kesi?
3hawana mwanasheria wa kuwasimamia hiyo kesi?

Baada ya hapo ukikosa majibu, nasibujue kuna shida chadema.
Kumbe na wewe ni mgeni wa jiji? Ufungue kesi mahakamani kwa hawa majaji wa jiwe? Kesi itaisha 2025 November halaifu utaambiwa umeshinda wakati huo kina Covid washalipwa mafao yao.
 
Lole Gwakisa

JF-Expert Member
Nov 5, 2008
4,319
2,000
Nani anapaswa kubaisnisha ni za kugushi kati ya ndugai au chadema?
Na kama ndugai anahusika kughushi kwa nini chadema wasifungue kesi juu ya hilo?

Chadema mara ngapi wamekuwa wakifungua kesi kudai haki zao, ila hili limewashinda kufungua kwa kipi?
Jiulize swali hilo?
1hawajui mahakama zilipo?
2hawana pesa za kufungua kesi?
3hawana mwanasheria wa kuwasimamia hiyo kesi?

Baada ya hapo ukikosa majibu, nasibujue kuna shida chadema.
Mkuu unakuwa kama mbuni aliyezika kichwa mchangani na kuacha makalio hewani kudhihirisha aibu yake.
Forgeries ni aibu!
 
komanyahenry

JF-Expert Member
Sep 15, 2017
825
1,000
Swala la kina Mdee nimeona tangazo la Kipindi cha Dakika 45 (ITV) likiongelewa na Mzee Butiku, natamani niangalie nione busara zake Mzee juu ya sakata hili. Mzee Msekwa aliliongelea ila Bwana yule kaendelea kushupaza shingo yako..
 
Fundi Mchundo

JF-Expert Member
Nov 9, 2007
6,799
2,000
Hiy

Hiyo barua imepita tume ya uchaguzi kupinga na pia kwa msajili kuonyesha utaratibu waliotumia kuwafukuza hao wabunge kama sheria ya chama chao inavyotaka?
Kwa nini chadema hawataki.kuheshimu katiba yao huku wanataka wengite waheshibu katiba?
Barua aliyoonyesha Ndugai ni kusema kuwa wakina Halima wamefukuzwa uanachama wa Chadema ambayo ilimchukua muda mrefu kukiri kuwa aliipokea. Nakala ilipelekwa NEC. NEC nao waliandikiwa barua kuwataarifu kuwa Chadema haijawateua wakina Halima Mdee kuwakilisha chama chao kama wabunge wa viti maalum. NEC kimyaaaa. NEC na Spika wangetoa nakala za barua na fomu za uteuzi kutoka Chadema, mchezo wote ungeisha na wakina Halima wangetambuliwa kuwa ni wabunge halali. Ukimya wao unaonyesha kuwa ama hawana barua yeyote ya uteuzi au wanajua waliyokuwa nayo ni ya kughushi.

Ukimtuhumu mtu kuwa ni mwizi basi atafanya kila jitihada kuthibitisha kuwa unamsingizia. Akikaa kimya hata baada ya wewe kutangazia mtaa mzima kuwa ni mwizi wako ujue kuwa kweli ni mwizi. Na akisema anangoja umpeleke polisi ndio ajitetee ndio kabisa.

Huu mpira uko kwa Spika na NEC. Chadema wamemaliza ngwe yao. Wanachoweza kufanya wakina Halima ni kwenda kwa Msajili wa vyama kama walivyoenda wakina Silinde baada ya kufukuzwa na wakina Bulaya. Msajili wa Vyama bila hiyana atawarudishia uanachama wao. Lakini swali la msingi litabaki pale pale. Nani aliandika barua ya uteuzi wao kwenda NEC ?

Amandla...
 
chabusalu

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
7,939
2,000
Nani anapaswa kubaisnisha ni za kugushi kati ya ndugai au chadema?
Na kama ndugai anahusika kughushi kwa nini chadema wasifungue kesi juu ya hilo?

Chadema mara ngapi wamekuwa wakifungua kesi kudai haki zao, ila hili limewashinda kufungua kwa kipi?
Jiulize swali hilo?
1hawajui mahakama zilipo?
2hawana pesa za kufungua kesi?
3hawana mwanasheria wa kuwasimamia hiyo kesi?

Baada ya hapo ukikosa majibu, nasibujue kuna shida chadema.
1. KAMA CHADEMA WANASEMA WAO HAWAJASAINI NA KUNA KUGHUSHI, VYOMBO VYETU VYA USALAMA VINASUBIRI NINI KUINGILIA KATI. KWA AKILI ZAKO KAMA KUNA TUHUMA ZA KUGHUSHI KATIKATI YA SAKATA HILO WANAOPASWA KUUMIZWA NA TUHUMA HIZO NI CHADEMA NA SIO SERIKALI, LIKIWEMO BUNGE, SIYO?

1.1 KWANINI UNAFIKIRI NI BUSARA SUALA HILO KWENDA KUENDELEA KUGHARIMU FEDHA NA MUDA WA SERIKALI KUSHUGHULIKIWA MAHAKAMANI, WAKATI LINAWEZA KUSHUGHULIKIWA BILA KUZIDI KULA FEDHA NA MUDA WA SERIKALI, KWA BUNGE NA NEC KUJIBU HOJA ZA CHADEMA AMBAZO ZIMEWASILISHWA KWAO MUDA MREFU TU KUPITIA BARUA YA KATIBU MKUU. YAANI, BUSARA YAKO INAKUTUMA KUONA NI VIZURI SUALA HILI KUPELEKWA KUFICHWA MAHAKAMANI KULIKO NDUGAI NA NEC KUJIBU HOJA ZA CHADEMA AMBAZO ZINAMALIZA UTATA WOTE KATIKA SUALA HILI?

2. CHADEMA WAKIWA HAWA NA FEDHA NGUVU YA UMMA KUTOKA KWA WANANCHI HAIJAWAHI KUKOSA FEDHA!

3. SUALA LA CHADEMA KUWA NA WANASHERIA AU LA HALIWEZI KUWA MJADALA HAPA, WEWE MWENYEWE MAJIBU UNAYO!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom