Kwanini Marais wastaafu? Ni upendeleo?

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,843
Rais analizwa na maisha ya Rais mstaafu

Rais anamnunulia BENZI la dollar 400,000 Rais mstaafu.?

Wakati huo mwanae akiwa Rais wa Zanzibar.

Rais anahailisha mechi inayofatiliwa na watu zaidi ya million 200+ Afria kwa sababu ya kitabu cha maisha yake. Maana yake unajali MTU kuliko watu.

Rais anampa nyumba Rais aliyekaa madarakani na kuchuma pesa ndefu sana ndani ya utawala wake zikiwemo kashifa kibao za wizi wa pesa za umma kama Richmond, Escrow, Dowans na kashifa ya bomba gesi kutoka mtwara.

Rais anaagiza Rais aliyefariki madarakani stahiki zake ziwaishwe

Vipi stahiki ya watumishi wengine ambao wamefanya kazi kwa uaminifu na uzalendo lakini mpaka leo wanakanyaga mpaka sole za viatu zinaisha wakifatilia mafao NSSF.

Tundu Lissu alinyang'anywa ubunge na mpaka leo hajalipwa chochote CCM mnatawala nchi kwa misingi gani?

Wakati huo bado watoto wetu wanakaa chini

Madawa hakuna kwenye zahanati

Vyumba vya madarasa havitoshi

Walimu hawatoshi

Nyumba za walimu hakuna

Madakitari na manesi hawatoshi

Barabara nyingi bado hazipitiki

Huduma ya maji na umeme bado duni

Hakika nawaambia ccm hii laana itawatafuna kwa miaka mingi ijayo Baba wa taifa na familia yake ndiye alitakiwa kuenziwa kwa vitendo maana yeye hakuiba pesa kama waliomfuata.

Kama nchi tumepotea.
 
Wewe huna akili.

Utaratibu wa kuhakikisha tunawajali marais wastaafu unapunguza pressure za kuwafanya 'wajijali wenyewe wanapokuwa madarakani'

Faida yake ni kubwa kuliko unavyofikiri.

Halafu huu utaratibu haukuanzishwa na Samia. Simu Ile ya msiba Kikwete alisema Magufuli alishamwambia nyumba yake iko tayari
Wanasubiri tarehe ya kumkabidhi.

Kwa yote aliyoyafanya Mwinyi nchi hii Mpumbavu peke yake ndo anaweza sema 'hana faida tena na nchi'

Jitu kama wewe lisilo na shukrani za sacrifices walizofanya watu kama Mzee Ruksa Kwa nchi hii ndo jitu lisilo na faida.
 
Wewe huna akili...

Utaratibu wa kuhakikisha tunawajali marais wastaafu unapunguza pressure za kuwafanya
'wajijali wenyewe wanapokuwa madarakani'

Faida yake ni kubwa kuliko unavyofikiri..

Halafu huu utaratibu haukuanzishwa na Samia..
Simu Ile ya msiba Kikwete alisema Magufuli alishamwambia nyumba yake iko tayari
Wanasubiri tarehe ya kumkabidhi..

Kwa yote aliyoyafanya Mwinyi nchi hii
Mpumbavu peke yake ndo anaweza sema
'hana faida tena na nchi'..

Jitu kama wewe lisilo na shukran za sacrifices
Walizofanya watu kama Mzee Ruksa Kwa nchi hii ndo jitu lisilo na faida
Hivi toka Samia ameingia Madarakani Miezi 2 sasa kashazindua mradi wowote?

Pesa alizochota kikwete bado unamjengea nyumba ya nini?

Wewe una akili.
 
Wa kulaumiwa ni sheria zilizotungwa bungeni huku watunga sheria wengine kususia mijadala bungeni.
Mh. Rais ni mtekelezaji wa sheria, hivyo hana kosa.
Kutumia justifications za matatizo yaliyopo hakuondoi utekezaji wa sheria.
Hata hivyo busara inaelekeza kuheshimu sheria bila shuruti.
Zawadi aliyopewa Mzee Mwinyi ni ndogo sana kulingana na utumishi na umri wake, kilichofanyika ni heshima wala sio malipo.
Hivi kwa mfano kesho Mzee Mwinyi akisikia jinsi mnavyomsimanga eti kwa kuwa kapewa zawadi ya Gari na akaamua kuwarudishia gari yenu, mtaweza kweli kuibadilisha hiyo gari kutimiza ulivyoandika?
Heshima ni kitu cha bure, ebu tusiitafute kwa kuwasimanga wengine walioitumia nchi hii kwa Hekima na Weledi wa hali ya juu.
 
Rais analizwa na maisha ya Rais mstaafu

Rais anamnunulia BENZI la dollar 187,000 Rais mstaafu.?

Wakati huo mwanae akiwa Rais wa Zanzibar.

Rais anahailisha mechi inayofatiliwa na watu zaidi ya million 200+ Africa kwa sababu ya kitabu cha maisha ya mtu ambaye hana tena msaada tena kwa nchi.

Rais anampa nyumba Rais aliyekaa madarakani na kuchuma pesa ndefu sana ndani ya utawala wake zikiwemo kashifa kibao za wizi wa pesa za umma kama Richmond, Escrow, Dowans na kashifa ya bomba gesi kutoka mtwara.

Rais anaagiza Rais aliyefariki madarakani stahiki zake ziwaishwe

Wakati huo bado watoto wetu wanakaa chini

Madawa hakuna kwenye zahanati

Vyumba vya madarasa havitoshi

Walimu hawatoshi

Nyumba za walimu hakuna

Madakitari na manesi hawatoshi

Barabara nyingi bado hazipitiki

Huduma ya maji na umeme bado duni

Hakika nawaambia ccm hii laana itawatafuna kwa miaka mingi ijayo Baba wa taifa na familia yake ndiye alitakiwa kuenziwa kwa vitendo maana yeye hakuiba pesa kama waliomfuata.

Kama nchi tumepotea.

Swala la kujengewa nyumba,kupewa magari siyakubali kwa maraisi wastaafu,sio kweli kwamba rais mstaafu hawezi kujenga nyumba,tuchukulie mfano tu wa JPM na Kikwete ,wote hao wana majumba zaidi ya 100 nchi nzima,Kikwete ana bonge la jumba migombani mikocheni regeent hakai mtu lipo lipo limetelekezwa,kikwete ana jumba la kifahari mikocheni Heinken near kwa bakhresa,kikwete ana kijiji msoga,bado tumetumia bilions of Tsh kumjengea jumba jingine ambalo nina uhakika ataenda kukaa riz1 au miraji na sio JK.

Hayo mabilions tumeshindwa kununua utra sound hosptital zetu nchini? Maana nimeona leo Mwananyamala wamesaidiwa na boom play wheel chair na pia wakaomba wapatiwe pia ultrasound equipment,really?
 
Ndugu hujafanya upembuzi yakinifu au umeongozwa na hisia kutoa hitimisho.

Marais wastaafu tulionao ni wawili tu. Itakuaje Rais awasahau wananchi 50M+ na kuwakumbuka hao 2 tu? Your argument does not make sense.

'Benzi moja, nyumba 2' marais wawili iwe mjadala kweli.

Ungeongelea suala la safari walau lina elements za objectivity.
 
Whatever the case, nchi zetu zina matatizo mengi ikiwemo kutokujua kua tuna matatizo kwenye mifumo ya namna tunavyotumia rasilimali zetu ….
 
Swala la kujengewa nyumba,kupewa magari siyakubali kwa maraisi wastaafu,sio kweli kwamba rais mstaafu hawezi kujenga nyumba,tuchukulie mfano tu wa JPM na Kikwete ,wote hao wana majumba zaidi ya 100 nchi nzima,Kikwete ana bonge la jumba migombani mikocheni regeent hakai mtu lipo lipo limetelekezwa,kikwete ana jumba la kifahari mikocheni Heinken near kwa bakhresa,kikwete ana kijiji msoga,bado tumetumia bilions of Tsh kumjengea jumba jingine ambalo nina uhakika ataenda kukaa riz1 au miraji na sio JK.

Hayo mabilions tumeshindwa kununua utra sound hosptital zetu nchini? Maana nimeona leo Mwananyamala wamesaidiwa na boom play wheel chair na pia wakaomba wapatiwe pia ultrasound equipment,really?
Their day of reckoning is coming, very soon.
 
Wa kulaumiwa ni sheria zilizotungwa bungeni huku watunga sheria wengine kususia mijadala bungeni.
Mh. Rais ni mtekelezaji wa sheria, hivyo hana kosa.
Kutumia justifications za matatizo yaliyopo hakuondoi utekezaji wa sheria.
Hata hivyo busara inaelekeza kuheshimu sheria bila shuruti.
Zawadi aliyopewa Mzee Mwinyi ni ndogo sana kulingana na utumishi na umri wake, kilichofanyika ni heshima wala sio malipo.
Hivi kwa mfano kesho Mzee huyu akisikia jinsi mnavyomsimanga eti kwa kuwa kapewa zawadi ya Gari na akaamua kuwarudishia gari yenu, mtaweza kweli kuibadilisha hiyo gari kutimiza ulivyoandika?
Heshima ni kitu cha bure, ebu tusiitafute kwa kuwasimanga wengine walioitumia nchi hii kwa Hekima na Weledi wa hali ya juu.
Acheni huu sijui tuuite ni uvivu au upendeleo. Kuna raisi aliyeombwa kuwa raisi? Walipigania kuwa maraisi kwa maslahi yao binafsi. Wapo watumishi waliofanya kwa uaminifu na maslahi madogo kabisa, kwa miaka 36 na hakuna anayejali.

Huu ni ujinga tu.
 
Qenge kama qenge
Rais analizwa na maisha ya Rais mstaafu

Rais anamnunulia BENZI la dollar 187,000 Rais mstaafu.?

Wakati huo mwanae akiwa Rais wa Zanzibar.

Rais anahailisha mechi inayofatiliwa na watu zaidi ya million 200+ Africa kwa sababu ya kitabu cha maisha ya mtu ambaye hana tena msaada tena kwa nchi.

Rais anampa nyumba Rais aliyekaa madarakani na kuchuma pesa ndefu sana ndani ya utawala wake zikiwemo kashifa kibao za wizi wa pesa za umma kama Richmond, Escrow, Dowans na kashifa ya bomba gesi kutoka mtwara.

Rais anaagiza Rais aliyefariki madarakani stahiki zake ziwaishwe

Wakati huo bado watoto wetu wanakaa chini

Madawa hakuna kwenye zahanati

Vyumba vya madarasa havitoshi

Walimu hawatoshi

Nyumba za walimu hakuna

Madakitari na manesi hawatoshi

Barabara nyingi bado hazipitiki

Huduma ya maji na umeme bado duni

Hakika nawaambia ccm hii laana itawatafuna kwa miaka mingi ijayo Baba wa taifa na familia yake ndiye alitakiwa kuenziwa kwa vitendo maana yeye hakuiba pesa kama waliomfuata.

Kama nchi tumepotea.
 
Acheni huu sijui tuuite ni uvivu au upendeleo. Kuna raisi aliyeombwa kuwa raisi? Walipigania kuwa maraisi kwa maslahi yao binafsi. Wapo watumishi waliofanya kwa uaminifu na maslahi madogo kabisa, kwa miaka 36 na hakuna anayejali.

Huu ni ujinga tu.
Kila level ya utumishi wa umma ina mafao na pensheni zake.
Labda ebu tuwekee hizo titles za watumishi unaosema walifanya kazi kwa uaminifu ili tuone na wao wanastahiki zipi unazotaka ziwe...!!?
 
Back
Top Bottom