Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
3,385
2,000
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaSamia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara ya siku mbili nchini Kenya

Anatarajia kufanya ziara hiyo kuanzia Mei 4, 2021 ambapo atapokelewa na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya

Ziara hii ya Rais Samia Suluhu Hassan itaambatana na ufunguzi wa kongamano la biashara litakalofanyika tarehe 05-05-2021 Katika hotel ya Serena
1620104851880.png
 

Akilinjema

JF-Expert Member
Aug 9, 2016
6,232
2,000
Kila la Kheri @ Mheshimiwa Rais Samia, tunaimani na wewe kubwa kwa pamoja tufanye kazi tusonge mbele.
 

Akilinjema

JF-Expert Member
Aug 9, 2016
6,232
2,000
Leteni ile Clip ya JK wakati alisema anaondoka akiwa ameacha uhusuano wetu na Kenya ukiwa imara sana!
 

G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
10,999
2,000
Rais wa Jamhuri ya muungano mheshimiwa Samia Suluhu anatarajia kulihutubia bunge la Kenya wakati atakapofanya ziara ya siku mbili nchini humo kuanzia kesho kutwa.

Hii no heshima kubwa inayotolewa kwa Tanzania baada ya Jakaya Kikwete kulihutubia bunge hilo wakati akiwaaga rasmi.

IMG-20210502-WA0011.jpg
 

Crimea

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
16,004
2,000
Kuhutubia bunge la Kenya ni heshima?

Jamani kwanini chadema mnajidharau sana?

Mimi nilifikiri mnajidharau kwa wazungu tu kumbe hata kwa waafrika wenzenu toka hapo Kenya?

Any way,

Tuendelee kudemka tukisema Samia mi 10 tena. Na ccm mbele kwa mbele.
 

binbaraghash

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
3,417
2,000
Rais wa Jamhuri ya muungano mheshimiwa Samia Suluhu anatarajia kulihutubia bunge la Kenya wakati atakapofanya ziara ya siku mbili nchini humo kuanzia kesho kutwa....
No new as a good news" kuhutubia bunge la kenya watanzania watanufaika nini, mishahara naskia haongezi ni blaa blaa tu, mwinyi naye kule zanzibar eti asingizia Corona, wazanzibar washaanza kuamka jamaa anapiga kamba tupu hana jipya
 

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
28,813
2,000
Rais wa Jamhuri ya muungano mheshimiwa Samia Suluhu anatarajia kulihutubia bunge la Kenya wakati atakapofanya ziara ya siku mbili nchini humo kuanzia kesho kutwa.

Hii no heshima kubwa inayotolewa kwa Tanzania baada ya Jakaya Kikwete kulihutubia bunge hilo wakati akiwaaga rasmi.
Awashauri kuhusu BBI kuwa wakitaka taifa Moja wafute matumizi ya lugha za kikabila mashuleni,ofisi za serikali ,mikutano ya kisiasa na kwenye media zote kama tulivyofanya Tanzania na serikali isipeleke MTU kufanya kazi eneo alilozaliwa LA kabila yake

BBI hili tatizo halijatatua hatutaki watwangane tena watutake watanzania tumpeleke Kikwete akawasuluhishe tena
 

bato

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
3,747
2,000
Safi,mwanzo mzuri. Kenya tunaihitaji kama wao wanavyotuhitaji,ingawa hawa jamaa ni wajanja wajanja. Bidhaa zetu za kilimo/shamba soko kubwa liko huko. Huku kijijini mahindi hayana bei, 100kg/35,000tsh...hayalipi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom