beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,877
- 6,326
Mbunge wa Viti Maalum, Esther Matiko yamekuwepo malalamiko kutoka wadau mbalimbali kuwa Sera, Sheria na Kanuni zilizopo zimepitwa na wakati
Akichangia majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi amesema "Ifanyike review (tathmini) ili twende na Ufugaji wa kisasa. Ranchi ya Taifa ambayo ni 5% katika Uwekezaji wa Mifugo tuliyonayo inasuasua"
Amependekeza kuwepo mgawanyo mzuri wa Ardhi na kutoka kwenye kuwekeza kwa Serikali na kwenda Sekta Binafsi ili wawekezaji wengi waje