Zanzibar inastahili 50% ya Muungano

Valencia_UPV

JF-Expert Member
Mar 31, 2016
6,215
7,382
Tukumbushane toka kuungana 1964 Kati ya Tanganyika na Zanzibar. Sehemu moja ilikua inavaa koti la Muungano kwa kudhulumu upande mwingine.

50-50 formula izingatiwe kuanzia Uteuzi (Mawaziri, N/Waziri, Makatibu Wakuu, Wakurugenzi, Wakuu wa Taasisi, Mabalozi pia hata Misaada toka nje, pasu-kwa-pasu)
 
Kasome katiba hatujaungana kila kitu.

Ardhi mfano sio jambo la muungano lakini wazanzibar mumejaaa kibao Tanzania bara mnamiliki mashamba na majumba subiri Taanganyika mtuamshe tukiamka tutawakimbiza mchana kweupe mrudi kwenu.

Biashara sio jambo la muungano lakini mumejaza maduka na vitega uchumi vyenu kibao bara.

Afya si sehemu ya muungano kutwa mnajazana hospitali zetu kutibiwa vipindupindu vyenu nk.

Tulikubaliana mambo machache tu lakini nyie wazanzibari munatuingilia hadi kwenye uvuvi kuvua kwetu na kuuza kwetu soko la ferry nk wakati uvuvi sio jambo la muungano nk.
 
Tukumbushane toka kuungana 1964 Kati ya Tanganyika na Zanzibar. Sehemu moja ilikua inavaa koti la Muungano kwa kudhulumu upande mwingine. 50-50 formula izingatiwe kuanzia Uteuzi (Mawaziri, N/Waziri, Makatibu Wakuu, Wakurugenzi, Wakuu wa Taasisi, Mabalozi pia hata Misaada toka nje, pasu-kwa-pasu)
Na kule Zanziberi mteue 50/50 watanganyika tuwemo serikali ya mapinduzi
 
Kasome katiba hatujaungana kila kitu

Ardhi mfano sio jambo la muungano lakini wazanzibar mumejaaa kibao Tanzania bara mnamiliki mashamba na majumba subiri Taanganyika mtuamshe tukiamka tutawakimbiza mchana kweupe mrudi kwenu.
Zanzibar for life
 
Tukumbushane toka kuungana 1964 Kati ya Tanganyika na Zanzibar. Sehemu moja ilikua inavaa koti la Muungano kwa kudhulumu upande mwingine.

50-50 formula izingatiwe kuanzia Uteuzi (Mawaziri, N/Waziri, Makatibu Wakuu, Wakurugenzi, Wakuu wa Taasisi, Mabalozi pia hata Misaada toka nje, pasu-kwa-pasu)
Kwenye Muungano mnacontribute nini.

Nyie leteni fyokofyoko.

Tutaifanya unguja na Pemba mikoa na nyodo zenu zitakuwa zimeisha
 
Mnataka hata bajeti iwe 50-50?! Tanganyika ina watu 60M na Zanzibar 1M hivyo uwiano ni 60:1. Kutokana na uwiano huu kila kitu kiwe ni 60:1, manake kila viongozi 61 wanaochaguliwa 60 watoke bara na 1 atoke Zanzibar, na kwenye bajeti hivyo hivyo. Hiyo ndio haki na sio vinginevyo!
 
Tukumbushane toka kuungana 1964 Kati ya Tanganyika na Zanzibar. Sehemu moja ilikua inavaa koti la Muungano kwa kudhulumu upande mwingine.

50-50 formula izingatiwe kuanzia Uteuzi (Mawaziri, N/Waziri, Makatibu Wakuu, Wakurugenzi, Wakuu wa Taasisi, Mabalozi pia hata Misaada toka nje, pasu-kwa-pasu)

Zanzibar ni nchi, na hakuna nchi ndogo wala kubwa kwenye muungano au vipi? 😁😁

Mheshimiwa Spika aliangalie na hili pia

Na kule Zanziberi mteue 50/50 watanganyika tuwemo serikali ya mapinduzi

Kwenye Muungano mnacontribute nini.

Nyie leteni fyokofyoko.

Tutaifanya unguja na Pemba mikoa na nyodo zenu zitakuwa zimeisha
 
Hizi kampuni mngezianza kipindi cha JPM mbona mngepewa kinchi/wilaya chenu mapemaaa,kwa sasa mama Samia hawez waskizaa,mnataka asiwe Rais?

Afu ni wapemba tu ndo Wana haya mambo maana wanaamini wao ni waarabu watasaidiwa na waarabu wa Oman wakati masada wao na ushombi shombi wanatumikishwa in humiliation na kuchukuliwa kama watumwa.

Hebu mtulie mle mirojo na halua tu huko magomeni
 
Tukumbushane toka kuungana 1964 Kati ya Tanganyika na Zanzibar. Sehemu moja ilikua inavaa koti la Muungano kwa kudhulumu upande mwingine.

50-50 formula izingatiwe kuanzia Uteuzi (Mawaziri, N/Waziri, Makatibu Wakuu, Wakurugenzi, Wakuu wa Taasisi, Mabalozi pia hata Misaada toka nje, pasu-kwa-pasu)
Mbona madeni hujayaweka?
 
Miungano ya Kiafrika hushindwa kuendelea kutokana na upande mmoja kutumia mabavu bila kufuata Makubaliano ya Muungano
 
Ningekuona una akili timamu kama ungetaka mgawanyo wa kiuongozi na rasilimali zote ufanywe kwa mujibu wa uwiano wa watu.
Yaani iwe 1/60, 1:60 au kwa kila jambo Zanzibar ipate % zisizozidi 2 huku bara ipate asilimia zisizopungua asilimia 98.
 
Tukumbushane toka kuungana 1964 Kati ya Tanganyika na Zanzibar. Sehemu moja ilikua inavaa koti la Muungano kwa kudhulumu upande mwingine.

50-50 formula izingatiwe kuanzia Uteuzi (Mawaziri, N/Waziri, Makatibu Wakuu, Wakurugenzi, Wakuu wa Taasisi, Mabalozi pia hata Misaada toka nje, pasu-kwa-pasu)
Siku hizi mnawashwa sana, inawezekana wapi watu 2 mgawane sawa na watu mia moja, acheni kujishaua tutawarudisha makwenu halafu mkose vyote, kazi kulala usingizi hadi saa tano asubuhi halafu mnataka 50/50 sasa kuwachekea kwenu ni sawa na kumchekea mbwa atakufuata hadi msikitini. Siku hizi tunajua jeuri ya kubweka mnaipata wapi. hata ukipewa hizo 50 kama wewe ni lofa utakuwa lofa tu . acheni visingizio fanyeni kazi hizo talantila zenu azitakusaidia wewe bali miaka yote wapo wanaofaidi.Chunga mzigo wako la sivyo utabaki kuwa mpiga porojo kwenye mitandao na siku zinasonga mbele. Kumbuka Wapemba wenzako wamejazana huku bara.
 
Mimi naaamini Nyerere alikosea sana kuwaunganisha wazenji na watanganyika kaipa Tanganyika mzigo mzito.hii nchi ingejitenga wafanye yao kwa maendeleo ya watu wao
Au bora hata angewaacha tu waendelee kuwa Watumwa wa yule Sultan wao. Hawa watu ni zaidi ya mizigo.

Wazanzibar walio wengi, wanapenda sana kudeka na kunung'unika kwa kisingizio cha kero za Muungano! Nitafurahi sana kuona siku moja wanajitenga na kujitegemea kwa kila kitu! Badala ya kutupigia pigia kelele kila siku za kututishia nyau.
 
Back
Top Bottom