Ewe Mama Ng'ombe za Nyakanazi za mnada hewa zilizo chato zirudishiwe wenyewe

The only

JF-Expert Member
May 19, 2011
10,433
13,415
Mkuu!
Nakusihi ewe Tumaini letu uchunguze hili kupitia vyombo vyako urudishe tabasamu la wafugaji wa ngombe za nyakanazi.

Mkuu zilikamatwa ngombe nyingi ambazo ziliingia eneo la maliasili (Japo wao wanakataa) Maafisa wakazikamata inasemekana kwa maagizo toka juu zikapigwa faini kubwa sana ,kisha ukafanyika mnada geresha ngombe zile ,kimya kimya zikapelekwa CHATO kwa mkuu,tunaomba sasa mama futa machozi ya hawa viumbe wa mungu .

Ule ni urithi halali watoto wao walioutumikia miaka na miaka ngombe wenyewe wengi ni nyanklole mmojaanaenda hadi milion 3 + NA NI ZAIDI YA 5000

Rudisha mioyo yao kuwa watanzania wema kwa kurudisha haki yao .

ONDOA LAANA HII KWA SERIKALI YENYE MIAKA ZAII YA 60.

1622213006761.png


Sijasema ufukuze kazi mtu wewe unavyombo vyote mezani toa maagizo kaaulizie wale ngombe waliojaa ranch ya mkuu walizaliana lini au aliwanunua kwa uwezo gani
 
Back
Top Bottom