Taarifa: Rais Samia Akutana Kwa Mazingumzo Na Msaidizi Wa Katibu Mkuu Wa UN Wa Masuala Ya Wanawake

Uzalendo Wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
1,119
2,000
Wadau wa JF

Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Imoja wa Mataifa wa Masuala ys Wanawake (UN Women) Dkt. Phumzile Mlambo

Dkt Phumzile amempongeza Rais Samia kwa kuendelea kupigania haki za Wanawake nchini na ameahidi kuwa wataendelea kumuunga mkono

Dkt Phumzile amemualika Mama Samia kushiriki mkutano wa kimataifa wa masuala ya jinsia utakaofanyika Paris Ufaransa Juni 30, 2021

Mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu ya Magogoni leo Mei 28, 2021

Source: DPC
 

Waterloo

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
21,933
2,000
Yule marehemu alikuwa kila akiwaza lugha ya mawasiliano anaahirisha kukutana na wageni .
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom