Rais wangu mpendwa,SHS,ni napenda kukushauri uwe na moyo mkuu,ukawe jasiri na hodari,mkono wako usilegee,kuwa mkali sana dhidi ya uhalifu wa aina yoyote nchini.Utaokoa wengi na kuendeleza amani...
Naomba wanasheria wetu Waliobobea kwenye Masuala ya Katiba watuelimishe kisheria. Je, Uwepo wa Wabunge kinyume na katiba ya nchi na Kushiriki vikao na Kuchangia hoja Mbalimbali na Kupitisha...
Sasa ni mara ya Pili au ya Tatu hivi naona Mheshimiwa Rais Mama Samia Suluhu Hassan ' Safari ' zake nyingi ( hasa za Ziara za Mikutano na hata nyinginezo ) anapenda mno ' Kuwakilishwa ' na Rais wa...
NITAKAPO KUWA RAIS, SAME ITAKUWA MKOA.
Na, Robert Heriel
Najua haina vigezo, najua wapo watakaonipinga, nafahamu kelele nitakazo pigiwa. Lakini sitajali. Same lazima iwe Mkoa.
Kila Rais...
Juzi juzi kila mtu alishuhudia Mwenyekiti wa Chadema akiwa ameshuswa kutoka angani na muda wake mwingi alikuwa akiumalizia Segerea akitumia ndoo kwa matumizi ya msingi. Mfalme huyu wa anga ambaye...
Huyu mama nilimuheshimu na kuanza kumfuatilia rasmi mwaka 2011.
Ilikuwa ni kongamano la Kigoda cha Mwalimu pale UDSM kama sijakosea. Siku hiyo alikuwepo pia Prof. Lipumba ambaye watanzania wengi...
Hii imelipaka matope makubwa sana jeshi la polisi hapa Tanzania.
Public figure anashambuliwa kwa masasi zaidi ya 33 mchana kweupe alafu hakuna uchunguzi wala kufungua jalada!
Kwa kauli yake...
Huyu jamaa anafaa kuigiza, sijui alisomaje sheria, anajua kuishi na mtu kwa speed Sawa. Huyu jamaa alivyopretend aliaminiwa mpaka akapewa jimbo hata wenye jimbo hawajui.
Alituwakilisha Watanzania...
Ninaambiwa kila siku TRA ni majambazi sijawahi kuamini. Leo wamevamia Kampuni moja hapa ITV, nimeshtushwa. Wameingia kama Majambazi na kufunga geti, wametoka na nyaraka pamoja na computer mpakato...
Na Emmanuel J. Shilatu
1. Rais Samia ameimarisha mahusiano kidiplomasia ya Tanzania kwa nchi jirani na kimataifa. Mfano hai kuimarika kwa mahusiano baina ya Tanzania na Kenya kutokana na pande...
Kwa wakulima wa mahindi na mpunga, tunaelewa uharibifu wa nyani na tumbili na ndege. Huwa tunaanza kuweka matambala na kichwa cha bandia ili wanyama hawa waamini huyo ni mlinzi.
Wanyama polepole...
Magufuli alipoombwa kuugawa mkoa wa Tabora ambao unastahili zaidi kugawanywa kuliko huko Chato alijibu na kusema hawezi kugawa mikoa kwa sababu ni gharama, Pia alishaombwa kuugawa mkoa wa Morogoro...
Miaka ya themanini baada ya vita vya Kagera mikoa ya kanda ya ziwa ilishuhudia wimbi kubwa la uvamizi wa kutumia siraha.
Nilikuwa najitambua japokuwa nilikuwa mdogo kiumri. Mtaa na kijiji...
Mapema leo, jeshi la polisi mkoani Shinyanga limevamia katika eneo ambalo Mwenyekiti wa Chama hiko alikuwa aweke jiwe la msingi ili kuzindua ujenzi wa ofisi za CHADEMA.
My take:
Nyani wapya...
Nilizoea kila nikifungua redio nilisikia mijadala nchi yetu imeingia uchumi wa Kati, nilikuwa nikiwasha TV niliona mijadala nchi yetu imeingia kwenye nchi zenye uchumi wa Kati, nikisoma magazeti...
Kwa ukubwa wa eneo basi mikoa ya Lindi, Morogoro, Tabora, Ruvuma na Mbeya ni mikoa yenye kilomita nyingi sana za mraba
Mkoa wa Lindi ni mkoa wenye kilomita za mraba zaidi ya elfu Sitini sawa na...
Hii ni kasi ya 5G kwa kweli.
Leo ukienda Lumumba mabosi ni Chongolo, Mndeme na Shaka ukiwaulizia akina Bashiru na Polepole unaambiwa hao Boss wao ni Spika Ndugai.
Ukienda Hai ndio hivyo tena...
Yaani inaudhi tumepitia huku kila baada ya miezi kadhaa sijui wapi wanaombea au kumngojea Rais aumwe? Ili kiwe nini?
Kama anaumwa vya kutisha mnasema, kama ni uzushi mnasema na hata kumwonyesha...
1. Alipokuwa Kaliua kama Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri aliundiwa Tume na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora baada ya kuvunja mikataba ya ujenzi wa majengo ya ofisi za Halmashauri, nyumba za...
Kwanza kabisa napenda nikupongeze kwa juhudi zako za kutatua migogoro ya ardhi nchini.
Pamoja na pongezi hizo, naomba utilie mkazo suala la upimaji ardhi kwa nchi nzima, na udhibiti wa makazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.