Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hizo posho walizolipana watumishi wa wizara ya fedha, hazina tofauti kabisa na posho wanazolpiwa wabunge(sitting allowance) wawapo Bungeni. Tofauti iliyopo ni kuwa posho za wabunge zimehalalishwa...
12 Reactions
36 Replies
4K Views
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo, ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Othman Masoud Othman, amewasisitiza wanachama wa Chama hicho kuendelea kuifanyia...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Kusema ukweli demokrasia na uhuru wa vyama vya siasa kufanya kazi zake kwa uhuru kuna raha yake. Mama Samia rais wetu, wewe tayari ni rais huna cha kupoteza, huhitaji teuzi wala ajira yeyote...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Binafsi nashauri kigezo pekee cha kupata passport kiwe ni kuwa na kitambulisho cha NIDA tu. Tukiendelea na urasimu uleule hatutaitumia hii fursa vizuri. Watu kibao wanafanyabiashara Kenya ila...
7 Reactions
12 Replies
2K Views
Kipindi Cha uchaguzi kuanzia serikali za mitaa Hadi uchaguzi wa madiwani, wabunge na rais kauli mbiu ya CCM ilikuwa Ni kuichagua kuanzia ngazi zote ili maendeleo yapelekwe kwa wananchi. Bahati...
5 Reactions
9 Replies
992 Views
Wana jf, Nianze kwa kuwapongeza wapiganaji waliobeba siraha zote katika kukabiliana na ugonjwa wa coronavirusi niliowataja hapo juu. Hongera zenu. Pili , mpiganaji wa kwanza msomi Dr. Magufuri...
16 Reactions
120 Replies
10K Views
Na. M. M. Mwanakijiji Mojawapo ya masimulizi ya kiimani ambayo yalinivutia sana tangu zamani ni safari ya wana wa Israeli kutoka Misri kwenda nchi ya ahadi wakiongozwa na Nabii Musa. Simulizi...
21 Reactions
37 Replies
5K Views
Umesimamisha wafanyakazi wa hazina kwa kujilipa mafao ambayo hayana maelezo. Kwa mamalaka uliyo nayo naamini ulikuwa na fursa ya kuchunguza kabla ya kuwaita waandishi wa habari.Binafsi naamini...
12 Reactions
49 Replies
4K Views
TRA Wamekanusha Taarifa zilizoandikwa JamiiForums zilizodai Mtandao wao kusumbua. Wamesema ni taarifa ya Uongo na Uzushi. Kwani imelenga kupotosha na kuleta taharuki miongoni mwa Walipa Kodi...
5 Reactions
86 Replies
10K Views
Wakuu habari? Moja kati ya vitu vyenye ukakasi mkubwa nchini kwetu ni kwenye kuwapitia wageni vibali vya kazi na makazi. Well, natambua umuhimu na umakini kwenye eneo hili, ili kulinda pia ajira...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Napingana sana na wana harakati na waumini wanao dai sasa nchi inahitaji katiba mpya ili iweze kwenda mbele.Mimi napingana nao kwa sababu kuu zifuatazo 1. Kwa sasa kudai uandaaji wa katiba mpya...
0 Reactions
1 Replies
961 Views
Mwenyekiti wa cdm amezidi kutikisa nchi akiwa anasimamia kufungua matawi na kuhimiza ujenzi wa ofisi za chama nchi mzima. Hapa chini ni video akionekana kupokelewa kwa vifijo na bashasha na...
6 Reactions
18 Replies
1K Views
Kwa mara ya kwanza baada ya Kifo cha mwendazake tumejionea vile VP anakwenda kuwa Namba moja directly bile votting hata ya kuthibitishwa na walau bunge. Huu ni upungufu mkubwa katika katiba yetu...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Sirro IGP. Magufuli aliwahi kukwambia. Namnukuu.. " I wish I kudu bii IGP"... Wki hizi mbili nimekaa nikiitafakari kauli ile ya Hayati. Alipo isema awali..wengi tulihisi...
10 Reactions
62 Replies
7K Views
Nimeipitia thread hii; ======== Wakuu leo nikiwa kwenye Ofisi za DHL kufuatilia mzigo wangu, waliingia Wachina Kuja kuchukua Mzigo wao ambao umetumwa kutoka Huko kwao, na inaonekana hawana adress...
62 Reactions
164 Replies
19K Views
Wanabodi, Akiwa Katika vikao vya kuanisha vipaumbele mkoani Dodoma, RC Mtaka amesema yeye hayupo pale Dodoma kutisha na Kumtishia mtu bali yupo pale kwa ajili ya kuunganisha akili za watu...
23 Reactions
26 Replies
3K Views
Tangu ateuliwe Kama Makamu wa Rais Dr. Mpango amekuwa akitoa kauli za Kiutendaji bila kujali Mipaka ya Majukumu yake. Mara ya Kwanza alisikika akimuagiza Waziri wa Fedha akusanye Tilioni 2. Bila...
47 Reactions
172 Replies
14K Views
Rais wangu mpendwa,SHS,ni napenda kukushauri uwe na moyo mkuu,ukawe jasiri na hodari,mkono wako usilegee,kuwa mkali sana dhidi ya uhalifu wa aina yoyote nchini.Utaokoa wengi na kuendeleza amani...
8 Reactions
25 Replies
2K Views
Naomba wanasheria wetu Waliobobea kwenye Masuala ya Katiba watuelimishe kisheria. Je, Uwepo wa Wabunge kinyume na katiba ya nchi na Kushiriki vikao na Kuchangia hoja Mbalimbali na Kupitisha...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Back
Top Bottom