Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

TAKRIBAN miezi sita sasa imepita tokea Chadema waseme hawatambui matokeo ya uchaguzi mkuu wa 2020. Kutokana na msimamo huo ni wazi kwamba hawaamini,chama hicho hakitambui uwepo wa baraza la...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Hii kitu kama kweli imefanyika Wizara ya fedha - HQ, basi tuna tatizo kubwa sana na usalama wa fedha ya umma chini ya watu hawa... Waziri wa fedha kwa sasa ni Mwigulu Chemba. Kwa takwimu hizi za...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
PICHA: Askofu Severine Niwemugizi Toka mezani kwa Askofu Severine Niwemugizi Tumesikia pendekezo la kikao cha ushauri cha mkoa wa Geita kuhusu uundwaji wa mkoa mpya wa Chato. Lakini ushauri wa...
29 Reactions
39 Replies
6K Views
Mwaka 2016 kuna walimu wanafunzi walionekana mtandaoni wakimuadhibu mwanafunzi wa shule ya sekondari huko Mbeya. Video ile ilikuwa ya kikatili sana na baada ya wahusika kubainika adhabu ya...
1 Reactions
8 Replies
740 Views
Rais Samia amemteua ndugu Rodrick Mpogolo aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu BARA WA CCM kuwa Katibu Tawala mkoa wa Katavi, hii imekaaje? Kiongozi wa Kisiasa kupewa nafasi ya uongozi wa kiutawala...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Dodoki? Sidhani kama Sabaya anasafishika! Hata kama ni mfumo kwanini iwe yeye tu? Mama ametupa zawadi nzuri ya Eid. Huu ni ushahidi kuwa Sabaya ameumiza watu wengi ndio maana maamuzi ya...
10 Reactions
16 Replies
4K Views
Hamna mradi wowote ulioanzishwa na CCM ukawa Na matokeo mazuri. 1. Uwanja wa Taifa uko mekemeke hope hae, umekongoroka. 2. Ndege ni hasara Kila kukicha 3. Mwendokasi ni majanga 4. Hostel za...
14 Reactions
105 Replies
10K Views
Ikumbukwe kwamba Leo Mh Mbowe ataongoza kikao cha Kamati ya utendaji ya Kanda ya Serengeti Mjini Shinyanga , Hivi ni vikao vinavyoendelea vya OPERESHENI HAKI vyenye lengo la kudai Katiba mpya na...
15 Reactions
52 Replies
5K Views
SABAYA ANASEMEWA NA WANANCHI WASIOKUWA NA MIHEMKO WALA VISASI VYA SIASA UCHWARA ZA JIMBO LA HAI Kwanza nianze kwa ku- declare interest Mimi sijawahi kumwona ana kwa ana Dc Ole Sabaya bali...
13 Reactions
147 Replies
13K Views
Ikumbukwe kwamba ndani ya Gereza hilo wamewekwa wanachama lukuki wa Chadema , akiwemo aliyekuwa Mgombea udiwani wa kata ya Kikongo ndugu Haji Omari na wenzake 7 , ambapo wote hawa wamepewa kesi...
5 Reactions
27 Replies
4K Views
Habari! Ni wakati sasa wa nchi kubana matumizi na kuruhusu matumizi matakatifu tu (matumaini yenye tija). Ni muda muafaka Sasa kwa mabalozi wa Tanzania katika nchi zilizoendelea za Ulaya...
3 Reactions
35 Replies
2K Views
CHADEMA sasa kimekuwa chama kilichokosa muelekeo kabisa maana kimeshindwa hata kueleweka kwa wananchi nia yake ni nini hasa. Hata kama wakipewa dola wanachotafuta ni nini? Miaka ya nyuma...
10 Reactions
105 Replies
6K Views
Tujenge Nchi moja, viongozi wakitambua nchi ni Mali ya wananchi si Mali viongozi na pia wananchi wawe na maamuzi ktk nchi yao yasiovunja sheria walizojiwekea ili kudumisha upendo, amani, haki na...
1 Reactions
4 Replies
714 Views
" Ili CHADEMA tuwaamini kuwa AGENDA yao ya Kudai Katiba Mpya ina Mashiko na wana Hoja ya Msingi hebu wao kama Chama waanze Kwanza kuonyesha kuwa wanaheshimu Katiba ndani ya Chama chao ambapo kuna...
8 Reactions
65 Replies
5K Views
Mfumo wa Mamlaka ya Usafiri wa Ardhini (The Land Transport Regulatory Authority- LATRA). Huafanyi kazi sasa kwa takribani wiki nzima. Watoa huduma za usafiri wa Ardhini ambao wanapaswa kupata...
3 Reactions
32 Replies
5K Views
Mwanasheria na mwandishi wa habari mkongwe ndg. Paschal Mayala amekitaka chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, kimalize kwanza kasoro ndogo ndogo ktk katiba yake kabla hakijaanza kutushawishi...
6 Reactions
41 Replies
4K Views
Waheshimiwa wawakilishi, viongozi wa taifa, hoja hii inafikishwa kwenu kwa kile kinachoonekana kuwa hakina mfuatiliaji jijini Dar. Hiki ni ile kero inayowasibu madreva wa magali binafsi...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa miaka ya karibu kumekua na Idadi kubwa ya Wanafunzi wa Post Graduate katika Chuo kikuu Cha Dar es Salaam wanaoshindwa kumaliza masomo yao. Wengi wao ni kutokana na baadhi ya Wahadhiri...
11 Reactions
36 Replies
6K Views
Rais Magufuli amefungua kiwanda cha kukoboa mpunga Kihonda Morogoro. Rais Magufuli amempongeza mwekezaji wa Kiwanda hicho na kumlaumu mbunge wa Morogoro mjini mh Abood kwa kupewa viwanda viwili...
9 Reactions
85 Replies
11K Views
Back
Top Bottom