Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Amani iwe juu yenu. Jambo la mishahara ni kitu muhimu sana kwa mtu ndio maisha yake na ndio uhai wake. Kuna mtumishi namba moja aliyepita alipata kusema "Asiyefanya kazi na asile na maana yake...
13 Reactions
63 Replies
50K Views
Meya wa manispaa ya Moshi Mh.Juma Raibu ameagiza uongozi wa manispaa hiyo kurejesha Fedha kiasi cha Tsh.3.2 milioni zilizotengwa kwaajili ya kununua Bastola ya Mkurugenzi wa manispaa. =======...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Wafanyabiashara Wilayani Kasulu Mkoani Kigoma leo May 29, 2021, wameanza mgomo wakiwatuhumu baadhi ya Maafisa wa TRA kwa kuwabambikia kodi Wafanyabiashara wasiotoa rushwa kwao. Kwenye mgomo huu...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani Enzi hizo Mzee ali Hassan Mwinyi aliwahi kujiuzulu ili apishe uchunguzi kutokana na askari kuua watu huko mikoa ya Kanda ya Ziwa kwa tuhuma za ushirikina. Ila...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Ni kasi na mwitikio wa ajabu! Kusini hadi Kaskazini,Mashariki hadi Magharibi jamaa wanajenga kwa kujitolea kabisa tena ofisi zenyewe ni za kisasa kabisa. Jambo hilo si tu linashtusha bali pia ni...
8 Reactions
19 Replies
3K Views
Naomba makada wa Chadema tupeni mwanga juu ya habari ya mzee Halimoja ambaye ni kada wa Chadema. ======= Na Mzee Yusuf Halimoja - Gazeti la Mtanzania KAMA tujuavyo, baada ya Tanzania kuingia...
0 Reactions
268 Replies
28K Views
MSIMAMO WANGU JOSEPH #YONA KWENYE SERIKALI YA RAIS WETU MPENDWA MAMA #SAMIA SULUHU HASSAN Kwa Kuwa Baba alitutoka ghafla, na kwa kuwa ndani ya masaa machache mama #Samia akakabidhiwa nchi na kuwa...
0 Reactions
40 Replies
3K Views
Na. CM 1774858. 1. Jana trh 28|05|2021|1:26Pm nikiwa Ofisi za CCM Lumumba nikimsubiri Katibu wa Itikadi na Uenezi Comred Shaka Hamdu Shaka walifika Wasanii kadhaa akiwemo Diamond Plt, wote kwa...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Ndiyo! Kwani marais waliotoka maeneo hayo Wana tofauti gani na yule aliyekuwa anatokea Chato? Tuache uzwazwa tuokoe fedha za walipa kodi.
0 Reactions
2 Replies
494 Views
Ndiyo! Namaanisha mkoa mpya wa Butiama. Hivi hakuna Wazalendo wa kuomba kuanzishwa huu mkoa kama kielelezo cha kumuenzi Baba wa Taifa hili? Twajua hakuwa Mbinafsi, na hakutaka kujipendelea licha...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Takukuru Mkoa wa Songwe inamshikilia Mjumbe wa Baraza la UWT Taifa toka Mkoani Songwe Neema Ndabila kwa kukutwa akigawa Rushwa kwa wajumbe wa UWT wa Wilaya ya Songwe kwa lengo la kumuunga mkono...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Ni moja ya swali huwa linanijia kichwani kila siku. Tanzania ni moja ya nchi ambazo zimebahatika kuwa na hawa watu pamoja na nchi ya Kenya. Jamii ya wahindi wa Tanzania na Kenya, wana historia...
19 Reactions
182 Replies
14K Views
Hili Tatizo la kukosa uzalendo katika nchi hii bado linatafuna Taifa siyo kwa watumishi wa umma tuu hata wa sekta binafsi. Nampongeza PM kwakuingilia kati issue ya Wizara ya Fedha .Nafkiri Elimu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
RC MAKALLA AWAPA WAKUU WA WILAYA VIPAOMBELE 8. Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla leo amefanya kikao na Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi na Makatibu tawala na kuwapatia maagizo nane ya...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Tusiwe na double standards. Halima et al wanalipwa mabilioni bila kuwa wabunge kama sheria inavyotaka na Mamlaka Kuu za Serikali zimebariki including the Executive, basi waacheni na wa Wizara ya...
2 Reactions
0 Replies
677 Views
Jana WAZIRI MKUI kawasimamisha VIGOGO wa WIZARA ya FEDHA kwa WIZI wa Sh.1.6 Bil. Ndani ya Miezi 2 lakini WAZIRI MKUU huyo huyo Yuko BUNGENI na WABUNGE 19 Waliofukuzwa na CHADEMA hivyo Kupoteza...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari wapendwa! Mimi si mwandishi mzuri na huwa ni mzito kuandika jumbe ndefu. Habari ni kwamba viongozi wa kisiasa chini ya serikali ya CCM hawawezi kushitakiwa kwa makosa yao waliyotenda...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari wakuu, Ni hivi: Ingekuwa ni jambo la hatari sana kama kila mtu angejitoa akili (angejisahaulisha) kuhusu mapungufu ya Marehemu Magufuli na utawala wake na kisha wote tungeungana katika...
10 Reactions
29 Replies
3K Views
Mwanahalisi imeamua kupotosha kwa makusudi kauli ya Mbunge wa Viti Maalum Tanga Mwanaisha Mlenge. Mwanaisha ameshauri Serikali iwe na Ofisi moja tu ya Tathmini na Ufuatiliaji (Monitoring and...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Iko siku hao tunaowaita machinga watakuja kulikataa hilo jina Na kudai wapewe jina lingine Na wanasiasa. Sasa hivi neno wamachinga linatumika fuko kuukuu kubwa la kuwafichia vijana wasiokuwa Na...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom