Dr. Bashiru, Polepole, Biswalo na Ole Sabaya sasa tunawazungumza kama historia

Trondheim

Member
Dec 16, 2020
88
150
Hii ni kasi ya 5G kwa kweli.

Leo ukienda Lumumba mabisi ni Chongolo, Mndeme na Shaka ukiwaulizia akina Bashiru na Polepole unaambiwa hao Boss wao ni Spika Ndugai.

Ukienda Hai ndio hivyo tena ukimuulizia DC Ole sabaya unaambiwa kwa sasa Boss wetu ni DAS.

Eid Mubarak!
Unakwenda na wakati safi sana,you reminds me about Coling Power, alivogombea Obama alimuunga mkono na kukisaliti chama chake alipoulizwa akasema yeye yuko hivo
 
Mgibeon

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
10,163
2,000
Na leo Ukienda Chato eti Jiwe kafunikwa tu na matakataka kibao ya nyasi kavu chini ya Kibanda kibovu cha Mabati, zile kelele zake zote kwishaaa

Acheni Mungu aitwe Mungu...bado Faru Job
Hiii imenishangaza sana! Yaani kajengewa "fulu suti"... Mbandambanda flani hivi! Maskini wamekosa hata tofali miatano tu?

Kweli ukifa ndo umekufa!.. Hatimaye Jiwe ndani ya mabati na Nyasi kavu!
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
46,767
2,000
Hiii imenishangaza sana! Yaani kajengewa "fulu suti"... Mbandambanda flani hivi! Maskini wamekosa hata tofali miatano tu?

Kweli ukifa ndo umekufa!.. Hatimaye Jiwe ndani ya mabati na Nyasi kavu!
Ile ni temporary

Pale inajengwa Makumbusho ya JPM!
 
mzamifu

JF-Expert Member
Mar 10, 2010
5,581
2,000
Hii ni kasi ya 5G kwa kweli.

Leo ukienda Lumumba mabosi ni Chongolo, Mndeme na Shaka ukiwaulizia akina Bashiru na Polepole unaambiwa hao Boss wao ni Spika Ndugai.

Ukienda Hai ndio hivyo tena ukimuulizia DC Ole sabaya unaambiwa kwa sasa Boss wetu ni DAS.

Eid Mubarak!
Ingezidi hapo maana storage na memory ni kubwa sana kuliko output. Kompyuta haijatumika kwa uwezo wake maana ingekuwa hatari kwa masalia, tuseme waimba pambio...
 
fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
8,616
2,000
Hii ni kasi ya 5G kwa kweli.

Leo ukienda Lumumba mabosi ni Chongolo, Mndeme na Shaka ukiwaulizia akina Bashiru na Polepole unaambiwa hao Boss wao ni Spika Ndugai.

Ukienda Hai ndio hivyo tena ukimuulizia DC Ole sabaya unaambiwa kwa sasa Boss wetu ni DAS.

Eid Mubarak!
Ni kwa neema za Mungu tumeondokana na washenzi hawa.
 
LGF

JF-Expert Member
Dec 6, 2020
448
250
The foot is on the other boot. Chadema wanachekachejka wakikumbuka enzi za Umangi wanahisi unarudi.....
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom