Maendeleo yanakosekanaje Tena wakati nchi nzima Ni CCM

onjwayo

JF-Expert Member
Apr 8, 2020
1,100
2,000
Kipindi Cha uchaguzi kuanzia serikali za mitaa Hadi uchaguzi wa madiwani, wabunge na rais kauli mbiu ya CCM ilikuwa Ni kuichagua kuanzia ngazi zote ili maendeleo yapelekwe kwa wananchi. Bahati nzuri walipora ushindi na Sasa nchi nzima Ni CCM kwa zaidi ya 90%.
Cha ajabu Barabara zile zilizokuwa na nafuu bado hazijafanyiwa ukarabati na mbaya zaidi nyingine hazipitiki. Hospitalini upungufu mkubwa wa dawa na madaktari na wauguzi, shule zimekosa miundombinu rafiki na vifaa vya kufundishia achilia mrundikano wa wanafunzi chumba kimoja. Kwingineko kote vilio kila asubuhi na jioni. Ajira bado tabu eti Hadi mtu ujitolee ndipo ufikiriwe. Jamani tuchukue mathalani mtu alihitimu 2015 na leo 2021 sijui kwa kujitolea alikuwa anaishije Kama siyo danganya Toto .
Kwa kuwa viongozi wote Ni CCM kuanzia mabalozi wa nyumba 10, wenyeviti wa vijiji/ mitaa, madiwani, wabunge, wakurugenzi, mapolisi, wabunge na wakuu wa mikoa bila kuwasahau mawaziri na rais Sasa tuelezeni tatizo. Sera na ilani yenu mliyoipigania na kulazimisha watanzania waipokee ifanye kazi la sivyo jiuzuluni.
 
Gellangi

JF-Expert Member
Apr 11, 2016
2,087

Lengo lao lilikuwa kuwaondoa wafichua madhaifu ya ccm. Hiyo
ndiyo imeendelea kuwa salama yao kwa sasa.
CCM walishashindwa kuongoza muda mrefu mno.
 
kichomiz

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
17,717
2,000
Hakika kwa sasa hali ni mbaya sana hasa ya Barabara ,nyingi hazipitiki hata zile muhimu ziendazo kwenye hospital na zahanati ni kama machimbo ya madini,yaani mashimo ni mengi halafu makubwa kama ya choo, na hao wanaojigamba kwamba wao ndio waleta maendeleo wako kimya tu,hakika huko tuendako tutaelewana tu
 
kizaizai

JF-Expert Member
Mar 31, 2010
4,166
2,000
Tushukuru kuwa Wenye uniform za mabakamabaka ni Idara ya CCM na wanaheshimiana, keki ya Taifa wanaifaidi bila kutoa jasho.
 
Mwanamageuko

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
8,376
2,000
Kipindi Cha uchaguzi kuanzia serikali za mitaa Hadi uchaguzi wa madiwani, wabunge na rais kauli mbiu ya CCM ilikuwa Ni kuichagua kuanzia ngazi zote ili maendeleo yapelekwe kwa wananchi. Bahati nzuri walipora ushindi na Sasa nchi nzima Ni CCM kwa zaidi ya 90%.
Cha ajabu Barabara zile zilizokuwa na nafuu bado hazijafanyiwa ukarabati na mbaya zaidi nyingine hazipitiki. Hospitalini upungufu mkubwa wa dawa na madaktari na wauguzi, shule zimekosa miundombinu rafiki na vifaa vya kufundishia achilia mrundikano wa wanafunzi chumba kimoja. Kwingineko kote vilio kila asubuhi na jioni. Ajira bado tabu eti Hadi mtu ujitolee ndipo ufikiriwe. Jamani tuchukue mathalani mtu alihitimu 2015 na leo 2021 sijui kwa kujitolea alikuwa anaishije Kama siyo danganya Toto .
Kwa kuwa viongozi wote Ni CCM kuanzia mabalozi wa nyumba 10, wenyeviti wa vijiji/ mitaa, madiwani, wabunge, wakurugenzi, mapolisi, wabunge na wakuu wa mikoa bila kuwasahau mawaziri na rais Sasa tuelezeni tatizo. Sera na ilani yenu mliyoipigania na kulazimisha watanzania waipokee ifanye kazi la sivyo jiuzuluni.
Majizi hayakutaka yashikwe mikono wakati yanapora.... yangecheleweshwa na wapinzani kwa kuhojiwahojiwa!!
 
Gellangi

JF-Expert Member
Apr 11, 2016
2,087
2,000
Majizi hayakutaka yashikwe mikono wakati yanapora.... yangecheleweshwa na wapinzani kwa kuhojiwahojiwa!!
Kauli mbiu ya JPM RIP"Wapinzani wametulewesha mno.Nasema uongo?"Wamecheleweshwa kutuibia?
Mwizi Siku zote hudhani watu wote ni wezi kama alivyo yeye!Watanzania bado mnamtafuta bikra wodi ya CCM?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom