Kassim Majaliwa, hii ni kiki

MIGNON

JF-Expert Member
Nov 23, 2009
3,803
2,000
Umesimamisha wafanyakazi wa hazina kwa kujilipa mafao ambayo hayana maelezo.

Kwa mamalaka uliyo nayo naamini ulikuwa na fursa ya kuchunguza kabla ya kuwaita waandishi wa habari.Binafsi naamini maelezo hayawezi kukosekana ila hili suala limechukuliwa katika kutafuta political mileage!

Mkaguzi na mdhibiti mkuu wa sserikali alitaja mabilioni ambayo hayakuwa na maelezo na mengine yakiwataja wahusika bila kuficha kitu.

Ni hatua gani ulichukua!!!
 
Ntulunga

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
260
250
Wiki jana nimeingia benki moja Mikoa Fulani nikakuta watumishi wamejikusanya kwa majonzi. Baadhi yao niliwafahamu Na nilipowadodosa wakadai mikopo yao kukwamishwa na maafisa utumishi.

Walidai kupewa majibu hayo na maafisa wa benki. Kuwa maafisa utumishi wamegoma kuingiza makato kwenye mfumo wa mishahara ambapo ndiyo taratibu ili mikopo itolewe kwa walengwa.

Wengi walionekana kuhuzunishwa na Jambo hilo .\

Nikajiuliza, ni nini kimesababisha maafisa utumishi hao kutotoa majibu ya uhakika au wahusika kurekebisha mfumo ili wahitaji wa mikopo waweze kupata stahiki zao.

Ni majuzi tuu tuishuhudia mfumo wa Lulu au ulipaji umeme ukihujumiwa na kuzua keep kwa watumiaji umeme nchi nzima. Ambapo Baada ya Waziri Mkuu kuingilia kati, na massa machache baadae tatizo likaisha.

Je, hapa Nako kuna umuhimu wa Wa Waziri Mkuu kuingilia kati ili Watumishi hawa wapate stahiki zao?
 
Mnasihi

JF-Expert Member
Oct 9, 2013
6,974
2,000
Acha propaganda.
Wazijua propaganda wewe? Mleta hoja amemuelekeza waziri mkuu eneo lingine analotakiwa kuingilia Kati hapohapo hazina kwani mfumo wa Lawson umecorrupt na watumishi wanaotumia mishahara yao Kama dhamana ya kupata mkopo wameshindwa kuipata mikopo hiyo Hadi Sasa! Adha hii imesababisha watumishi kushindwa kuwalipia watoto wao ada mbalimbali kwani wengi wao hawakubahatika kupata mkopo wa hselb!
Ikimpendeza aelekeze macho yake Tena hapo hazina ili waiondoe hiyo changamoto ya Lawson na mabenki.
 
Ntulunga

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
260
250
Wiki jana nimeingia benki moja Mikoa Fulani nikakuta watumishi wamejikusanya kwa majonzi. Baadhi yao niliwafahamu Na nilipowadodosa wakadai mikopo yao kukwamishwa na maafisa utumishi.

Walidai kupewa majibu hayo na maafisa wa benki. Kuwa maafisa utumishi wamegoma kuingiza makato kwenye mfumo wa mishahara ambapo ndiyo taratibu ili mikopo itolewe kwa walengwa.

Wengi walionekana kuhuzunishwa na Jambo hilo .\

Nikajiuliza, ni nini kimesababisha maafisa utumishi hao kutotoa majibu ya uhakika au wahusika kurekebisha mfumo ili wahitaji wa mikopo waweze kupata stahiki zao.

Ni majuzi tuu tuishuhudia mfumo wa Lulu au ulipaji umeme ukihujumiwa na kuzua keep kwa watumiaji umeme nchi nzima. Ambapo Baada ya Waziri Mkuu kuingilia kati, na massa machache baadae tatizo likaisha.

Je, hapa Nako kuna umuhimu wa Wa Waziri Mkuu kuingilia kati ili Watumishi hawa wapate stahiki zao?
 
UmkhontoweSizwe

JF-Expert Member
Dec 19, 2008
5,183
2,000
Mleta mada acha kujifanya mjinga na kutaka kumfundisha PM jinsi ya kufanya kazi yake. Tulia tu mnyolewe. Mmezoea kutuibia majizi wakubwa nyie. Wananchi wenzenu huku vijijini hatuna shule, hospitali, maji, madawa, nk, nyie mnajilipa mabilioni ya posho ili kufanya kazi mlizoajiriwa kufanya? Damn, mnapaswa kwenda jela, kama siyo kunyongwa kabisa.
 
HesabuKali

JF-Expert Member
Jan 4, 2016
2,237
2,000
Kachukue akili zako ulikoziacha na waambie jamaa zako warudishe hela waliyojilipa siku ya jumapili.
 
MIGNON

JF-Expert Member
Nov 23, 2009
3,803
2,000
Mleta mada acha kujifanya mjinga na kutaka kumfundisha PM jinsi ya kufanya kazi yake. Tulia tu mnyolewe. Mmezoea kutuibia majizi wakubwa nyie. Wananchi wenzenu huku vijijini hatuna shule, hospitali, maji, madawa, nk, nyie mnajilipa mabilioni ya posho ili kufanya kazi mlizoajiriwa kufanya? Damn, mnapaswa kwenda jela, kama siyo kunyongwa kabisa.
Report ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa serikali kaigusa?
 
Kipangaspecial

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
12,788
2,000
Umesimamisha wafanyakazi wa hazina kwa kujilipa mafao ambayo hayana maelezo.Kwa mamalaka uliyo nayo naamini ulikuwa na fursa ya kuchunguza kabla ya kuwaita waandishi wa habari.Binafsi naamini maelezo hayawezi kukosekana ila hili suala limechukuliwa katika kutafuta political mileage!
Mkaguzi na mdhibiti mkuu wa sserikali alitaja mabilioni ambayo hayakuwa na maelezo na mengine yakiwataja wahusika bila kuficha kitu.Ni hatua gani ulichukua!!!
Kassim Majaliwa ni mchakazi sana kumzidi hata magufuli
 
ofisa

JF-Expert Member
May 15, 2011
2,979
2,000
Nahisi kuna jambo kubwa sana haiwezekani watu wapitishe malipo hivyo halafu mfumo wa malipo unasumbua. Wakija kuurekebisha tutaambiwa inabidi data za nyuma zimelazimika kufutwa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom