Hawa akina Ole Sabaya na Kakoko ndio wanachafua Legacy ya hayati Magufuli

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,557
141,364
Kiukweli Ole Sabaya wa Hai na Kakoko wa TPA walipendwa sana na hayati Magufuli lakini ndio wamekuwa watendaji wa mwanzo kabisa kuichafua Serikali ya Awamu ya 5 kwamba na yenyewe ilikuwa na makandokando kibao.

Kwa namna alivyoijenga CCM wilayani Hai DC Ole Sabaya aliaminika kama kijana mzalendo na mchapakazi kumbe ni kama mbwa mwitu aliyejivika ngozi ya kondoo.

Kwa namna hayati Magufuli alivyokuwa mfuatiliaji hadi kwenye mawasiliano mfano Nape na Makamba, sikutegemea dogo Ole Sabaya apete bila kushtukiwa hadi Magufuli amekufa.

Jumaa kareem!

cc: Aloyce Nyanda aka Mtozi
 
Kiukweli Ole sabaya wa Hai na Kakoko wa TPA walipendwa sana na hayati Magufuli lakini ndio wamekuwa watendaji wa mwanzo kabisa kuichafua serikali ya awamu ya 5 kwamba na yenyewe ilikuwa na makandokando kibao.

Kwa namna alivyoijenga CCM wilayani Hai DC Ole sabaya aliaminika kama kijana mzalendo na mchapakazi kumbe ni kama mbwa mwitu aliyejivika ngozi ya kondoo.

Kwa namna hayati Magufuli alivyokuwa mfuatiliaji hadi kwenye mawasiliano mfano Nape na Makamba, sikutegemea dogo Ole sabaya apete bila kushtukiwa hadi Magufuli amekufa.

Jumaa kareem!

cc: Aloyce Nyanda aka Mtozi
Unajichanganya kwa maksudi ukidhani utawachanganya na wengine wenye akili na uelewa mkubwa kuliko ulivyo wewe.

Ubaya wa Magufuli ulijionyesha waziwazi kwa hawa watu aliokuwa akiwatafuta kwa maksudi wamfanyie kazi chafu zake.
 
Kiukweli Ole sabaya wa Hai na Kakoko wa TPA walipendwa sana na hayati Magufuli lakini ndio wamekuwa watendaji wa mwanzo kabisa kuichafua serikali ya awamu ya 5 kwamba na yenyewe ilikuwa na makandokando kibao.

Kwa namna alivyoijenga CCM wilayani Hai DC Ole sabaya aliaminika kama kijana mzalendo na mchapakazi kumbe ni kama mbwa mwitu aliyejivika ngozi ya kondoo.

Kwa namna hayati Magufuli alivyokuwa mfuatiliaji hadi kwenye mawasiliano mfano Nape na Makamba, sikutegemea dogo Ole sabaya apete bila kushtukiwa hadi Magufuli amekufa.

Jumaa kareem!

cc: Aloyce Nyanda aka Mtozi
Siyo kwamba wanachafua legacy bali wao ndiyo kielelezo cha tabia ya Mwendazake. Ongeza na Makonda hapo
 
Kiukweli Ole sabaya wa Hai na Kakoko wa TPA walipendwa sana na hayati Magufuli lakini ndio wamekuwa watendaji wa mwanzo kabisa kuichafua serikali ya awamu ya 5 kwamba na yenyewe ilikuwa na makandokando kibao.

Kwa namna alivyoijenga CCM wilayani Hai DC Ole sabaya aliaminika kama kijana mzalendo na mchapakazi kumbe ni kama mbwa mwitu aliyejivika ngozi ya kondoo.

Kwa namna hayati Magufuli alivyokuwa mfuatiliaji hadi kwenye mawasiliano mfano Nape na Makamba, sikutegemea dogo Ole sabaya apete bila kushtukiwa hadi Magufuli amekufa.

Jumaa kareem!

cc: Aloyce Nyanda aka Mtozi
Legacy ipi unayosema wewe?
 
Katili tupu hawa vijana
 
🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾👍🏽
Mwendazake hakuipenda Tanzania kwa vile yeye ni Mrundi. Alitaka aiharibu iwe nchi ya chuki kama Burundi. Mwendazake alikuwa kichaa, mwongo, mwizi, muuaji, mwenye chuki, malaya na mchawi
 
Back
Top Bottom