Je, Mahabusu zetu zina vyumba maalum (VIP) kwa watu maarufu kwa usalama wao?

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
6,230
6,471
Kutokana na maisha kuwa na mapito mengi, hata watu maarufu katika jamii wanajikuta hatiani. Mfano wanasiasa, wafanyabiashara maarufu, wasanii, wachezaji, machifu nk.

Je, watu hawa wakiwa Mahabusu huku kesi zao zikiendelea, huchanganywa na wafungwa?

Je, wanakula chakula cha gerezani ilihali hawajahukumiwa?

Wanavaaje?

Akiugua je hutibiwa gerezani au huruhusiwa kwenda kupata matibabu mazuri atakapo?

NB: Rejea kwa Godbless Lema, Sabaya, Harbinda Sigh, Mramba, Yona, Rugemalila nk.
 
sidhani kama kuna VIP treatment mahabusu.
maana mpaka unafikishwa gerezani ni kwamba hauna zile nyadhifa tena. unaziacha nje.. huko ni muhalifu kama muhalifu mwingine
Ilikuwaje kwa kina Rugemalila, Singasinga Harbinda, Mramba, Yona, Liyumba, Wema Sepetu nk?
 
Ipo VIP treatment kwa magereza yote. VIP room unapewa godoro safi na blanket. Chakula unakula cha nyumbani na magazeti unaletewa.

Hizi ni kwwajili ya wapigiwa kura. Wapiga kura wote mnakaa third class.
Yule Singasinga Harbinda Sigh wa Escrow yupo class gani kwa muda wote huu?
 
Ipo VIP treatment kwa magereza yote. VIP room unapewa godoro safi na blanket. Chakula unakula cha nyumbani na magazeti unaletewa.

Hizi ni kwwajili ya wapigiwa kura. Wapiga kura wote mnakaa third class.
Yule Singasinga Harbinda Sigh wa Escrow yupo class gani kwa muda wote huu?
 
Kuna mtu kutoka ndani ya magereza aliniambia, kipindi kilichopita ambacho wafanya biashara wakubwa wengi waliwekwa mahabusu kwa uhujumu na ML kilikuwa kipindi cha neema kuu kwa wakuu wa magereza na maofisa.

Hivi ni ndugu yupi wa mfano Rugamalila Singh, au Manji anaweza kugoma wakikaa ndugu kusema mkuu wa gereza na maofisa wapewe milioni 100 ili ndugu yao apewe ulinzi na privilege mbalimbali gerezani? Hakuna!
 
Back
Top Bottom