DC Ole Sabaya: Siku CCM Arusha wakinishangilia nitajua nimeshaanguka kisiasa, nina hukumu ofisini ya kulifunga shamba la Mbowe

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,936
141,908
Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mh Ole Sabaya amesema wanaccm wa Arusha wana kandarasi za majungu na ikitokea siku wakamshangilia au kumpongeza atajua anguko lake la kisiasa liko karibu.

Sabaya amesema Greenhouse za Mbowe kule Hai zilikuwa zinatiririsha maji yenye kemikali kwenye vyanzo vya maji vinavyotumiwa na wananchi ndio maana DC aliyekuwepo kabla yake alifyeka lile shamba.

Ole Sabaya anasema amepokea hati ya Mahakama ya kulifunga kabisa shamba hilo ili kuwaponya wananchi.

Maendeleo hayana vyama!
 
Am sure @Erthrocyte ,tindo ,bak wamelala mda huu kama hawajui kwamba wanadozi kutoka kwa mh sana Lengai Ole Sabaya a.k.a kiboko ya wapinga maendeleo😂😂😃
 
Am sure @Erthrocyte ,tindo ,bak wamelala mda huu kama hawajui kwamba wanadozi kutoka kwa mh sana Lengai Ole Sabaya a.k.a kiboko ya wapinga maendeleo
Wamefura hatari baada ya mtwita kuwaingiza kingi
 
Nakubaliana naye, CCM Arusha imejaa wanafiki na machawa na wachumia tumbo kibao, ni watu fulani wanafiki wababishaji na mamisheni town wasio na kazi za kufanya wanasubiria dili tu.

Ukiwa nao wanakupamba kweli, ukitoka kidogo wanakumaliza kama hawakujui.
 
Anakwambia waliofyeka kuna sehemu waliziachaacha, ana mpango wa kulimalizia, huyu jamaa koboko.
Kumbe aliyekuwa Mbunge wa Hai Mh. Freeman Mbowe alikuwa anawalisha waliomchagua sumu kwa kutiririsha Maji yenye sumu kutoka shambani kwake?

Kumbe angelipewa Urais enzi zile angeliangamiza Watanzania?

Alisikika mpita njia mmoja hivi miaka ya 2050.
 
Back
Top Bottom