Picha: Wafuatao ni wachache wanaofahamika miongoni mwa wengi waliopata matatizo kwenye awamu hii

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,169
217,115
FB_IMG_1581348559537.jpg


Ukiwauliza wengi wao hawajui hata walichoropoka vipi kwenye mdomo wa Mamba , wanaamini Mungu ndiye alipenda wawepo hai hadi leo

Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !
 
Nasikia Canada wametoa msaada wa bilioni 90 kwa serikali ya Tanzania.

#Habari:Nchi ya Canada imetoa msaada wa Bilioni 90 kusaidia serikali yaTanzania kuwajengea walimu uwezo wa kutumia teknolojia za kisasa kufundisha wanafunzi wa shule za msingi na sekondari

Source: CapitalradioTanzania
 
Back
Top Bottom