Shukrani Balozi Dr. Possi kwa kuchukua ushauri wangu naomba Dr. Migiro naye amjibu huyu Tundu Lissu pale BBC

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
45,153
2,000
Nilishauri hapa Jamii Forums kwamba Bunge na Serikali vimjibu mbunge wa Singida mashariki mh Tundu Antipas Lisu kwa kutumia media zilezile za kimataifa ambazo yeye anazitumia kuishambulia serikali.

Namshukuru Balozi Dr Possi wa Ujerumani kwa kunielewa na namuomba Dr Migiro balozi wetu pale UK atimbe BBC kusafisha hali ya hewa.

Kumjibu Tundu Antipas Lisu kupitia TBC ni kumuongezea tu umaarufu asioustahili anatakiwa apandiwe huko huko juu aliko.

Usiku mwema
Maendeleo hayana vyama!
 
adolay

JF-Expert Member
Dec 8, 2011
11,970
2,000
Tunaona
1. Ndege zinapodondoka huko ulaya uchunguzi unafanyika japo wamekufa wote
Je serikali inasubiri nini? Chukulia wangeuwawa wote? Mfano ile ya Scotland locab ambayo walikufa wote USA walipambana mpaka rout cause ilibainika

2. Tunaambiwa kulikuwepo camera nani aliitoa kwanini na IPO wapi?

3. Je huwa kuna walinzi maeneo hayo? Nini kliitokea na wamehojiwa, ilikuwaje

Haya maswali ndio rahisi zaidi ambayo mtakutana Nayo

Sasa Yale magumu wanayo mwenyewe

Jaribu muende London, au CNN ama Aljazila muone moto wake

Sina imani na DW kama wako fiti sawa.
 
Bekabundime

JF-Expert Member
Aug 6, 2014
2,007
2,000
Nilishauri hapa Jamii Forums kwamba Bunge na Serikali vimjibu mbunge wa Singida mashariki mh Tundu Antipas Lisu kwa kutumia media zilezile za kimataifa ambazo yeye anazitumia kuishambulia serikali.

Namshukuru Balozi Dr Possi wa Ujerumani kwa kunielewa na namuomba Dr Migiro balozi wetu pale UK atimbe BBC kusafisha hali ya hewa.

Kumjibu Tundu Antipas Lisu kupitia TBC ni kumuongezea tu umaarufu asioustahili anatakiwa apandiwe huko huko juu aliko.

Usiku mwema
Maendeleo hayana vyama!
Hakujibu alichoongea Lissu Bali ametoa maelezo ya uwongo,na hata asie jua ameona ni kutapatapa,hivi wapi Mkuu alilaani tukio LA Lissu au Nani alitumwa na mkuu kwenda kumpa pole hospital, makamu alikwenda kwenye sherehe Kenya Kisha kwa utu wake akaona ngoja nikamcheki huyu binadamu, kama angekuwa alilaani angeshindwa kuidhinisha kibali au kutoa kauli kuwa mlipieni gharama za matibabu Lissu,acheni unafiki alioufanya Possy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
LESIRIAMU

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
6,960
2,000
Nilishauri hapa Jamii Forums kwamba Bunge na Serikali vimjibu mbunge wa Singida mashariki mh Tundu Antipas Lisu kwa kutumia media zilezile za kimataifa ambazo yeye anazitumia kuishambulia serikali.

Namshukuru Balozi Dr Possi wa Ujerumani kwa kunielewa na namuomba Dr Migiro balozi wetu pale UK atimbe BBC kusafisha hali ya hewa.

Kumjibu Tundu Antipas Lisu kupitia TBC ni kumuongezea tu umaarufu asioustahili anatakiwa apandiwe huko huko juu aliko.

Usiku mwema
Maendeleo hayana vyama!
Sasa kuna jibu gani kwenye hekaya Zach Poss?? Hakuna jibu pale. Je amesema kama Lissu kasema uongo kwamba serikali ilimlipia matibabu? Je amesema kama uhuru wa mikutano upo kisheria? He kasema ni uongo viongozi wa upinzani hawana kesi mahakamani?
Acheni cheap answers.. Hii inaiaibisha serikali. Jibuni hoja za Lissu sio tumempa 250m wakati ni za kwake.. Shame?????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom