Sabaya ni ushahidi wa Taifa lilikokuwa linaelekea

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
7,339
2,000
Tuhuma zinazomkabili aliyekuwa DC wa Hai kama zitathibitishwa mbele ya sheria itakuwa ushahidi usiokuwa na mashaka juu ya wapi taifa hili lilikuwa liekezwe siku za usoni. Sabaya aliyatenda haya yote bila kuwa na hofu ya kuchukuliwa hatua, alikuwa anapongezwa na kuonekana shujaa na hodari katika Kazi yake.

Inavyoonekana kuna baadhi ya wateule ambao walifanyakazi zao kama vile walikuwa na fununu kuwa awamu ya tano itakuwa ya milele. Hawakuwa na hofu ya mamlaka wala ya Mungu.

Kama ni kweli tuhuma hizi zinamhusu inashangaza kuona alifikaje hapa bila kuhojiwa wala kutenguliwa. Je, aliyoyafanya yalikuwa maagizo maalumu kwa kanda na wilaya ile kwa wakati ule?

Je, kama Mh. JPM angekuweko madarakani Sabaya angefikishwa hapo alipo sasa?

Je, akina Sabaya walikuwa wako wangapi kwenye awamu ya tano? Wako wapi? Nani awatolee malalamiko nao wachunguzwe?
 
kalonji

JF-Expert Member
Feb 17, 2021
6,203
2,000
Kuna mahakimu wapo waliokuwa bize kuhakikisha wapinzani awatoki jela Ili wao wapate teuzi,wapo mahakimu waliopata teuzi ya ujaji kama zawadi ya kumfurahisha mpita njia baada ya kuwafunga wapinzani na kuwanyima Dhamana za wazi,wapo mapolisi waliovunja Sheria waziwazi Ili kupata promotion kwa kuwaumiza wapinzani.
 
mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
57,195
2,000
Kuna viongozi waliyoteuliwa walitumia nafasi zao kuwapora watu mali na fedha zao,na vitisho juu cha ajabu mali fedha wanazozipora,wanazipeleka wanapojua wao

Ova
 
mliberali

JF-Expert Member
Jul 13, 2012
9,185
2,000
Tuhuma zinazomkabili aliyekuwa DC wa Hai kama zitathibitishwa mbele ya sheria itakuwa ushahidi usiokuwa na mashaka juu ya wapi taifa hili lilikuwa liekezwe siku za usoni. Sabaya aliyatenda haya yote bila kuwa na hofu ya kuchukuliwa hatua, alikuwa anapongezwa na kuonekana shujaa na hodari katika Kazi yake.

Inavyoonekana kuna baadhi ya wateule ambao walifanyakazi zao kama vile walikuwa na fununu kuwa awamu ya tano itakuwa ya milele. Hawakuwa na hofu ya mamlaka wala ya Mungu.

Kama ni kweli tuhuma hizi zinamhusu inashangaza kuona alifikaje hapa bila kuhojiwa wala kutenguliwa. Je, aliyoyafanya yalikuwa maagizo maalumu kwa kanda na wilaya ile kwa wakati ule?

Je, kama Mh. JPM angekuweko madarakani Sabaya angefikishwa hapo alipo sasa?

Je, akina Sabaya walikuwa wako wangapi kwenye awamu ya tano? Wako wapi? Nani awatolee malalamiko nao wachunguzwe?
Magufuli aliunda genge la wahuni, kutawala kibabe,
 
NiIipoona Trump kashindwa uchaguzi nikajua na genge la magufuli litaanguka tu
 
Imeloa

JF-Expert Member
Jan 28, 2013
7,993
2,000
Kwa muda mrefu sasa ktk nchi hii kigezo kikubwa cha kupatiwa uteuzi na rais kimekuwa ni namna unavyowachukulia wapinzani.

Kama unawatukana, kuwakejeli, kuwapiga, kuwateka, kuwajeruhi na hata kuwaua wapinzani basi hapo utakuwa unajitengenezea CV nzuri ya kukufanya uteuliwe kwa wadhifa wowote katika serikali inayoongozwa na ccm.

Akina Sabaya ni baadhi tu ya wale walioitumia hiyo sera ya ccm kwa mafanikio makubwa huku wakishangiliwa na mteule wao ambaye sasa ni marehemu.

Kadri tutakavyo endelea kuwa na hii katiba ya kiimla, watu kama akina Sabaya bado watazidi kuwepo tu kwenye nyadhifa mbalimbali katika nchi hii.
 
kalonji

JF-Expert Member
Feb 17, 2021
6,203
2,000
Wale askari walioshirikiana na Sabaya kutenda uhalifu wasiache waunganishwe nao
 
mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
8,645
2,000
Tuhuma zinazomkabili aliyekuwa DC wa Hai kama zitathibitishwa mbele ya sheria itakuwa ushahidi usiokuwa na mashaka juu ya wapi taifa hili lilikuwa liekezwe siku za usoni. Sabaya aliyatenda haya yote bila kuwa na hofu ya kuchukuliwa hatua, alikuwa anapongezwa na kuonekana shujaa na hodari katika Kazi yake.

Inavyoonekana kuna baadhi ya wateule ambao walifanyakazi zao kama vile walikuwa na fununu kuwa awamu ya tano itakuwa ya milele. Hawakuwa na hofu ya mamlaka wala ya Mungu.

Kama ni kweli tuhuma hizi zinamhusu inashangaza kuona alifikaje hapa bila kuhojiwa wala kutenguliwa. Je, aliyoyafanya yalikuwa maagizo maalumu kwa kanda na wilaya ile kwa wakati ule?

Je, kama Mh. JPM angekuweko madarakani Sabaya angefikishwa hapo alipo sasa?

Je, akina Sabaya walikuwa wako wangapi kwenye awamu ya tano? Wako wapi? Nani awatolee malalamiko nao wachunguzwe?
Sabaya aliufanya ubaya wote huo kwa nafsi yake mwenyewe!! Alitumia vibaya nafasi yake. Lakini pia jamii ilifanya makosa sana kudhani kuwa alikuwa analindwa na JPM. Kwa hiyo Sabaya alipofahamu kuwa jamii inadhani yeye ni kipenzi cha JPM alitumia dhana hiyo kufanya ubaya!! Hata kama JPM angekuwepo bado kama angepatikana mtu wa kumfikisha kwenye vyombo vya sheria angeshughulikiwa tu vilivyo tena na zaidi.
 
kalonji

JF-Expert Member
Feb 17, 2021
6,203
2,000
Kuliponya taifa inatakiwa wasiojulikana wote wawe jela walipe uovu wao,uzuri wanajulikana na Jamii japo ujihisi wamejificha
 
Chaliifrancisco

JF-Expert Member
Jan 17, 2015
16,583
2,000
Nipo mikononi mwa polisiii, afandeee
20210605_140638.png
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom