Magufuli anasalitiwa

kmbwembwe

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
7,803
2,000
Ni jambo la kusikitisha kuona mwendo wa kimapinduzi wa magufuli unasalitiwa na wanamapinduzi wanaangalia hawana cha kufanya. Ni hakika mrithi kikatiba wa magufuli sio mwanamapinduzi kwa hivyo tutegemee mwendo wa maendeleo wenye upendeleo kwa umma kusimama.
Makada waliyokua wanasimamia mapambano dhidi ya rushwa dhuluma kwa wanyonge ukwepaji wa kodi na maduhuri ya serikali sasa rais katoa taa kijani waburuzwe na kubambikiwa makosa kama wabakaji kusudi kuwaondoa kwenye nafasi zao.
Tumeona furaha ya mabwanyeye wa kimachame kote kutokana na jinsi sabaya alivyovunja mitandao yao ya uhalifu iliyokua na makao makuu hai. Kwa mfano wizi wa magari ili kuuzwa kama spear used. Utengenezaji fedha bandia ukwepaji kodi na kadhalika.
Hawajaishia hapo sasa wanadai kila kiongozi mwenye ujasiri aina ya sabaya aburuzwe kotini. Wanataja majina na tunaogopa hii serikali ya samia isiyo kua ya kimapinduzi ya chama cha mapinduzi huenda wakawa kwenye kazi ya kuvuruga mwendo wa kimapinduzi wa magufuli.
 
Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
42,905
2,000

Mr Dudumizi

JF-Expert Member
Sep 9, 2020
1,181
2,000
Ni jambo la kusikitisha kuona mwendo wa kimapinduzi wa magufuli unasalitiwa na wanamapinduzi wanaangalia hawana cha kufanya. Ni hakika mrithi kikatiba wa magufuli sio mwanamapinduzi kwa hivyo tutegemea mwendo wa maendeleo wenye upendeleo kwa umma kusimama.
Makada waliyokua wanasimamia mapambano dhidi ya rushwa dhuluma kwa wanyonge ukwepaji wa kodi na maduhuri ya serikali sasa rais katoa taa kijani waburuzwe na kubambikiwa makosa kama wabakaji kusudi kuwaondoa kwenye nafasi zao.
Tumeona furaha ya mabwanyeye wa kimachame kote kutokana na jinsi sabaya alivyovunja mitandao yao ya uhalifu iliyokua na makao makuu hai. Kwa mfano wizi wa magari ili kuuzwa kama spear used. Utengenezaji fedha bandia ukwepaji kodi na kadhalika.
Hawajaishia hapo sasa wanadai kila kiongozwi mwenye ujasiri aina ya sabaya aburuzwe kotini. Wanataja majina na tuna ogopa hii serikali isiyo kua ya kimapinduzi ya chama cha mapinduzi huenda wakawa kwenye kazi ya kuvuruga mwende wa kimapinduzi wa magufuli.
Ndugu yang kila nabii na kitabu chake. Mzee Mwinyi alipoingia madarakan aliwatema viongozi wengi waliokuwepo ktk serikali ya Nyerere, hakuna mtu aliesema Mwinyi kamhujumu Nyerere. Mkapa alipoingia hivyo hivyo aliwatema viongozi wengi waliokuwepo ktk serikali ya Mwinyi, hakuna aliemlaumu kwa hilo. Kikwete halikadhalika alifanya the same kama watangulizi wake na yeye akaja na watu wake kuongoza serikali yake japo wapo wachache wa Mzee Mwinyi na Mkapa waliokuwepo, hakuna aliempigia kelele au kumlaumu. Hayati Magufuli pia alipoingia alipanga safu yake aliyoona ndio bora na itakayomsaidia kuifikisha Tanzania ilipofika pia na yeye hakulaumiwa. Sasa ni zamu ya mama na yeye ana haki au uhuru wa kupanga au kuchagua anaowataka yeye ktk serikali yake kulingana na nguvu aliyopewa na katiba kwahiyo haina haja ya kumlaumu na kuona kwamba sio mzalendo au anamfanyia hujuma marehemu. Tumuombee dua mama atufikishe salama huko tunapoelekea maana yeye ndio dereva na sisi ni abiria wake.
 
Kinoamiguu

JF-Expert Member
Nov 29, 2018
4,772

Hujui hata maana ya neno mwanamapinduzi?
Magufuli hajawahi hata kufikiriwa kuwa mwanamapinduzi acha ujinga wako!
Yaani watu wa aina ya kina sabaya bado wapo miongoni mwetu wa kuwatetea kweli?
Mtu mweusi ana safari ndefu sana aisee!
Mbona hujabambikiwa wewe hayo makosa????
 
Tofauti na hao marais wengine mama samia kaingia kwa kura za magufuli. Watu walimpigia magufuli kura kwa asilimia 84.6. Hii ni awamu ya magufuli sema mungu kampenda. Huyu mama kutuletea mambo za fikra zao za laisez faire upwani za kipigaji hakika tunaumia sana roho.
 
Dr. Wansegamila

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
2,598

Maisha ni kwa walio hai.
Maiti anasalitiwa vipi?
Maisha lazima yaendelee, ukiondoka hapa duniani maana yake imekwisha kwa upande wako, waliobaki wanaendelea kuishi.
Usitake watu waishi kwa kivuli cha marehemu.
 
Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
1,314
2,000
Ni jambo la kusikitisha kuona mwendo wa kimapinduzi wa magufuli unasalitiwa na wanamapinduzi wanaangalia hawana cha kufanya. Ni hakika mrithi kikatiba wa magufuli sio mwanamapinduzi kwa hivyo tutegemea mwendo wa maendeleo wenye upendeleo kwa umma kusimama.
Makada waliyokua wanasimamia mapambano dhidi ya rushwa dhuluma kwa wanyonge ukwepaji wa kodi na maduhuri ya serikali sasa rais katoa taa kijani waburuzwe na kubambikiwa makosa kama wabakaji kusudi kuwaondoa kwenye nafasi zao.
Tumeona furaha ya mabwanyeye wa kimachame kote kutokana na jinsi sabaya alivyovunja mitandao yao ya uhalifu iliyokua na makao makuu hai. Kwa mfano wizi wa magari ili kuuzwa kama spear used. Utengenezaji fedha bandia ukwepaji kodi na kadhalika.
Hawajaishia hapo sasa wanadai kila kiongozwi mwenye ujasiri aina ya sabaya aburuzwe kotini. Wanataja majina na tuna ogopa hii serikali isiyo kua ya kimapinduzi ya chama cha mapinduzi huenda wakawa kwenye kazi ya kuvuruga mwende wa kimapinduzi wa magufuli.
Chama kimerudi kwa Wenye Chama kumbuka yeye alikaribishwa tu hakuwa na ushawishi wowote kwenye chama
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
169,940
2,000
Ni jambo la kusikitisha kuona mwendo wa kimapinduzi wa magufuli unasalitiwa na wanamapinduzi wanaangalia hawana cha kufanya. Ni hakika mrithi kikatiba wa magufuli sio mwanamapinduzi kwa hivyo tutegemea mwendo wa maendeleo wenye upendeleo kwa umma kusimama.
Makada waliyokua wanasimamia mapambano dhidi ya rushwa dhuluma kwa wanyonge ukwepaji wa kodi na maduhuri ya serikali sasa rais katoa taa kijani waburuzwe na kubambikiwa makosa kama wabakaji kusudi kuwaondoa kwenye nafasi zao.
Tumeona furaha ya mabwanyeye wa kimachame kote kutokana na jinsi sabaya alivyovunja mitandao yao ya uhalifu iliyokua na makao makuu hai. Kwa mfano wizi wa magari ili kuuzwa kama spear used. Utengenezaji fedha bandia ukwepaji kodi na kadhalika.
Hawajaishia hapo sasa wanadai kila kiongozwi mwenye ujasiri aina ya sabaya aburuzwe kotini. Wanataja majina na tuna ogopa hii serikali isiyo kua ya kimapinduzi ya chama cha mapinduzi huenda wakawa kwenye kazi ya kuvuruga mwende wa kimapinduzi wa magufuli.
IMG-20210605-WA0148.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kmbwembwe

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
7,803
2,000
U
Hujui hata maana ya neno mwanamapinduzi?
Magufuli hajawahi hata kufikiriwa kuwa mwanamapinduzi acha ujinga wako!
Yaani watu wa aina ya kina sabaya bado wapo miongoni mwetu wa kuwatetea kweli?
Mtu mweusi ana safari ndefu sana aisee!
Mbona hujabambikiwa wewe hayo makosa????
Eti mtu mweusi ana safari refu kwani wewe mzungu? Pambafu wala huwezi tofautisha mwanamapinduzi na mpinga maendeleo.
 
Kinoamiguu

JF-Expert Member
Nov 29, 2018
4,772
2,000
Tofauti na hao marais wengine mama samia kaingia kwa kura za magufuli. Watu walimpigia magufuli kura kwa asilimia 84.6. Hii ni awamu ya magufuli sema mungu kampenda. Huyu mama kutuletea mambo za fikra zao za laisez faire upwani za kipigaji hakika tunaumia sana roho.
Acha kuweweseka wewe! Walipigiwa Kura wote taahira wewe!
Yaani kina sabaya wauwe watu, kupora, kubaka na kutesa watu Afu una advocate waachwe KISA mwanamapinduzi?
Unaakili tamiami kweli wewe?
 
Kapumpuli

JF-Expert Member
Aug 11, 2018
1,103
2,000
Ndugu yang kila nabii na kitabu chake. Mzee Mwinyi alipoingia madarakan aliwatema viongozi wengi waliokuwepo ktk serikali ya Nyerere, hakuna mtu aliesema Mwinyi kamhujumu Nyerere. Mkapa alipoingia hivyo hivyo aliwatema viongozi wengi waliokuwepo ktk serikali ya Mwinyi, hakuna aliemlaumu kwa hilo. Kikwete halikadhalika alifanya the same kama watangulizi wake na yeye akaja na watu wake kuongoza serikali yake japo wapo wachache wa Mzee Mwinyi na Mkapa waliokuwepo, hakuna aliempigia kelele au kumlaumu. Hayati Magufuli pia alipoingia alipanga safu yake aliyoona ndio bora na itakayomsaidia kuifikisha Tanzania ilipofika pia na yeye hakulaumiwa. Sasa ni zamu ya mama na yeye ana haki au uhuru wa kupanga au kuchagua anaowataka yeye ktk serikali yake kulingana na nguvu aliyopewa na katiba kwahiyo haina haja ya kumlaumu na kuona kwamba sio mzalendo au anamfanyia hujuma marehemu. Tumuombee dua mama atufikishe salama huko tunapoelekea maana yeye ndio dereva na sisi ni abiria wake.
Na hii staili ndiyo inayotuchelewesha kwa sababu ya kukosa dira kama taifa....

Hatupaswi kulishangilia sana jambo hili kwa kila kiongozi akija anakuja na staili yake na watu wake.... Kwa kipindi kifupi cha miaka 10....
 
Edward Sambai

JF-Expert Member
Nov 16, 2013
2,698
2,000
Acheni haki itamalaki, kipindi cha kudanganyana kimekwisha.
Mama kaamua kuleta haki Tanzania, na palipo na haki Uongo na dhuluma lazima vikimbie.
 
Kinoamiguu

JF-Expert Member
Nov 29, 2018
4,772
2,000
U

Eti mtu mweusi ana safari refu kwani wewe mzungu? Pambafu wala huwezi tofautisha mwanamapinduzi na mpinga maendeleo.
Wewe au mm ndo huwezi tofautisha.
Mm najua ndomana nkakwambia yule mpuuzi JPM hayupo kwenye kundi la mwanamapinduzi.
Yaani watu wa kina sabaya unaanza wapi kusema wanabambikiwa cases!
Unajua machungu na maumivu waliyopitia kina lisu, gwanda na Sanane wewe KISA hawa wapumbavu wachache?
Au wale siyo watanzania?
Juha wewe
 
Omusolopogasi

JF-Expert Member
Aug 31, 2017
5,520
2,000
Haraka haraka... Anasalitiwa na nani? Mama Janeth? Kama ni mama Janeth, ruhusa hata kuolewa kwa sasa.
Ni jambo la kusikitisha kuona mwendo wa kimapinduzi wa magufuli unasalitiwa na wanamapinduzi wanaangalia hawana cha kufanya. Ni hakika mrithi kikatiba wa magufuli sio mwanamapinduzi kwa hivyo tutegemea mwendo wa maendeleo wenye upendeleo kwa umma kusimama.
Makada waliyokua wanasimamia mapambano dhidi ya rushwa dhuluma kwa wanyonge ukwepaji wa kodi na maduhuri ya serikali sasa rais katoa taa kijani waburuzwe na kubambikiwa makosa kama wabakaji kusudi kuwaondoa kwenye nafasi zao.
Tumeona furaha ya mabwanyeye wa kimachame kote kutokana na jinsi sabaya alivyovunja mitandao yao ya uhalifu iliyokua na makao makuu hai. Kwa mfano wizi wa magari ili kuuzwa kama spear used. Utengenezaji fedha bandia ukwepaji kodi na kadhalika.
Hawajaishia hapo sasa wanadai kila kiongozwi mwenye ujasiri aina ya sabaya aburuzwe kotini. Wanataja majina na tuna ogopa hii serikali isiyo kua ya kimapinduzi ya chama cha mapinduzi huenda wakawa kwenye kazi ya kuvuruga mwende wa kimapinduzi wa magufuli.
 
kmbwembwe

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
7,803
2,000
Acha kuweweseka wewe! Walipigiwa Kura wote taahira wewe!
Yaani kina sabaya wauwe watu, kupora, kubaka na kutesa watu Afu una advocate waachwe KISA mwanamapinduzi?
Unaakili tamiami kweli wewe?
Magufuli ndio alipigiwa kua rais sio huyo mashavu. Kama sio uzanzibari wake asingekua rais. Isitoshe hakua chaguo la magufuli ila la jk
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom