Freeman Mbowe atua Mkoani Morogoro, ni katika Mkakati wa Operesheni Haki

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,343
217,371
Operesheni Haki ambayo imeingia Kanda ya Kati, kwa kuanzia na Mkoa wa Dodoma, sasa leo ni zamu ya Morogoro ambapo Mwamba Mwenyewe Freeman Mbowe atahutubia baraza la Mashauriano la Mkoa huo.

chadematz_on_Instagram:_“Mwenyekiti_wa_Chama_Taifa_Mhe.Freeman_Mbowe_akiwasili_katika_ukumbi_w...jpg

%22_(1).jpg

Kwa taarifa tu ni kwamba Tayari moto wa operesheni haki na Chadema digital ushaingia mitaani ambapo vituo vya Usajili vilishaanza kuota kama Uyoga wa Ileje

Twaha__Mwaipaya_on_Instagram:_“Kumekucha_Chadema”%22_.jpg
 
Mwendazake kahangaikaa na CDM weee, kaondoka katuachia CDM yetu huku ikizidi inang'aa na kupendwa zaidi na watanzania - Asante Mungu wa Mbinguni, kweli tumeuona mkono wako.

Makamanda, kanyaga twende!! anayechoka anatupisha !! kitaelewaka tu.
 
😂 😂 bavicha bana! lini mshawahi kupendwa, wabunge wa lowasa ndo wanawafanya mue na kiburi
 
- 300M kila mwezi kwa miaka 5 ( 2010-2015)

- 450M kila mwezi kwa miaka 5 ( 2015-2020)

Unfortunately, chama hakina ofisi wala asset yoyote. Muda wote ni michango tu.

Kweli mwamba ni mwamba.
 
- 300M kila mwezi kwa miaka 5 ( 2010-2015)

- 450M kila mwezi kwa miaka 5 ( 2015-2020)

Unfortunately, chama hakina ofisi wala asset yoyote. Muda wote ni michango tu.

Kweli mwamba ni mwamba.
Nyumbu wamelishwa limbwata na mangi.Nyumbu poleni Sana,by the time mangi anang'atuka fuko la hela halitakuwa hata na sh. 1
 
Operesheni Haki ambayo imeingia Kanda ya Kati , kwa kuanzia na Mkoa wa Dodoma , sasa leo ni zamu ya Morogoro ambapo Mwamba Mwenyewe Freeman Mbowe atahutubia baraza la Mashauriano la Mkoa huo.

View attachment 1813243

View attachment 1813242

Kwa taarifa tu ni kwamba Tayari moto wa operesheni haki na Chadema digital ushaingia mitaani ambapo vituo vya Usajili vilishaanza kuota kama Uyoga wa Ileje

View attachment 1813245
Mungu hatakagi ujinga,muuaji wa CHADEMA akidhani atafanikiwa lengo lake,kafa na kuiacha CHADEMA ikiwa imara kuliko wakati wowote

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
- 300M kila mwezi kwa miaka 5 ( 2010-2015)

- 450M kila mwezi kwa miaka 5 ( 2015-2020)

Unfortunately, chama hakina ofisi wala asset yoyote. Muda wote ni michango tu.

Kweli mwamba ni mwamba.
una akili ndogo sana !
 
Back
Top Bottom