Rais Samia, usipoteze dhumuni la kuifanya Dodoma kuwa jiji la mfano kimpangilio

Lord denning

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
7,321
2,000
Amani iwe nawe Mama yetu Mpendwa!

Leo naomba nikuandikie ushauri wangu juu ya suala la mipango miji hasa kwenye mikoa yetu / majiji yetu, ikiongozwa na Jiji la Mfano Dodoma!

Kusema kweli nilitembelea Dodoma kipindi Kunambi akiwa Mkurugenzi wa Jiji na wiki hii iliyopita nilikuwa tena Dodoma kwa shughuli zangu za kuchakarika kutafuta kipato!

Napenda nikiri kuwa nilipenda sana jinsi Kunambi alivyoshughulikia suala la mipango miji kwa Dodoma. Alipima makazi na viwanja vingi na akaweka Pia utaratibu wa namna ya kujenga mfano aina ya mabati yanayotakiwa kuezekwa kwa kila eneo.

Napenda nikiri pia kuwa Kunambi ni kielelezo cha vijana waliotakiwa kupewa madaraka kwenye nchi hii kutokana na jinsi alivyosimamia maendeleo chanya hasa kwenye eneo ambalo Tanzania tumefeli kwa miaka mingi , eneo la mipango miji. Alisimamia vyema, viwanja vingi vikapimwa, makazi yakapimwa kwa kushirikiana kati ya sekta binafsi na serikali.

Kusema kweli Mama Samia, hivi juzi nilivyoenda Dodoma nilishtuka kuona kama tangu Kunambi alivyoondoka kuwa Mkurugenzi wa Jiji, ni kama watu wameanza kujenga kama wanavyopenda kwa pale Dodoma. Nimeona hata yake maelekezo ya bati za kuweka kwa kila eneo yameanza kutofuatiliwa.

Naomba Mama yetu Samia mulika na hili eneo. Kama ofisi ya Mkurugenzi Dodoma imepwaya Naomba muondoe na tafuta mwingine Kama kunambi ili asimamie suala la mipango miji kwa Dodoma.

Sijajua kama utateua Wakurugenzi wengine kwenye maeneo mengine mama, ila Naomba kama hutateua basi hawa hawa waliopo wape maelekezo rasmi ya kuanza kupima na kupanga maeneo yao. Kama utateua wengine Naomba nao fanya kikao nao kwa kuwapa maelekezo ya kupima na kupanga maeneo ya Tanzania yetu. Washirikiane na sekta binafsi na hata kutumia wanafunzi wa vyuo vya ardhi walioko kwenye mafunzo kufanikisha haya.

Mwisho mama yetu napenda kukwambia kuwa , huu ni wakati sahihi kwa watanzania kuanza kuishi maisha mazuri yenye mpangilio sawa na watu wa sehemu zilizoendelea huko. Naomba simamia miji yetu ipangwe, makazi yetu yapangwe, watu waishi sehemu nzuri zilizo pangwa na zinazotunza heshima ya binadamu.

Nikutakie weekend njema Mama.
 
Nyendeke

JF-Expert Member
Jul 21, 2013
1,547
2,000
Ushauri wako ni Mzuri sana na ukizingatiwa utakuwa umerejesha heshima ya Dodoma.

Je, wewe unapendekeza nani ateuliwe ili aendane na hiyo kasi iliyokuwa ya Bwana Kunambi?
 
Watu wanaofanya vetting watajua nani anafaa! Ila hata CCM na Chadema Kuna vijana wengi makini wanaoweza fanya kama kunambi. Akiwataka huko najua atawapata wengi tu
 
Nyendeke

JF-Expert Member
Jul 21, 2013
1,547
2,000
Watu wanaofanya vetting watajua nani anafaa! Ila hata CCM na Chadema Kuna vijana wengi makini wanaoweza fanya kama kunambi. Akiwataka huko najua atawapata wengi tu
Ingizo lile la kina Kunambi kilichozingatiwa kwenye Uteuzi ni wale Watia nia, sasa je unamshauri Mama nae azingatie hilo ama?

Ndugu yangu kama umeamua kumsaidia Mama we Taja tu Chaguo sahihi unalodhani litatufikisha kwenye Nchi ya ahadi, wewe kwenye hiyo nafasi hufai?
 
luck

JF-Expert Member
Oct 3, 2009
1,168
2,000
Unajua athari za kulazimisha kila mtu kuweka hayo mabati unayoyashabikia au wew umelogwa na yale marangirangi tu.
 
Lord denning

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
7,321
2,000
Ingizo lile la kina Kunambi kilichozingatiwa kwenye Uteuzi ni wale Watia nia, sasa je unamshauri Mama nae azingatie hilo ama?

Ndugu yangu kama umeamua kumsaidia Mama we Taja tu Chaguo sahihi unalodhani litatufikisha kwenye Nchi ya ahadi, wewe kwenye hiyo nafasi hufai?
Hapana! Kwenye kutaja nitaonekana nampigia chapuo mtu! Mama atumie tu vetting system yake. Nina uhakika atapata mtu sahihi!
 
Nyanjilinji

Senior Member
Oct 23, 2016
119
250
Suala la Rangi za mapaa halipo practical.... kuna Rangi nyingine hazifai kuwekwa hapo Dodoma kutokana na climatic condition. Hopefully Mkurugenzi wa Jiji wa sasa ambaye ni Town Planner mzoefu analifanyia kazi hili.
 
Lord denning

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
7,321
2,000
Suala la Rangi za mapaa halipo practical.... kuna Rangi nyingine hazifai kuwekwa hapo Dodoma kutokana na climatic condition. Hopefully Mkurugenzi wa Jiji wa sasa ambaye ni Town Planner mzoefu analifanyia kazi hili.
Utafiti upi ulisema kuna rangi hazifai Dodoma kutokana na hali ya hewa?? Alifanya nani na lini?
 
UmkhontoweSizwe

JF-Expert Member
Dec 19, 2008
5,183
2,000
Huyo kunambi naye alizidi, anapangia watu mpaka na aina ya mabati ya kuezekea!? Akiachwa aendelee atatupangia na saizi ya matofali ya kujengea!
 
olele

JF-Expert Member
Dec 2, 2010
1,184
2,000
Amani iwe nawe Mama yetu Mpendwa!

Leo naomba nikuandikie ushauri wangu juu ya suala la mipango miji hasa kwenye mikoa yetu / majiji yetu, ikiongozwa na Jiji la Mfano Dodoma!

Kusema kweli nilitembelea Dodoma kipindi Kunambi akiwa Mkurugenzi wa Jiji na wiki hii iliyopita nilikuwa tena Dodoma kwa shughuli zangu za kuchakarika kutafuta kipato!

Napenda nikiri kuwa nilipenda sana jinsi Kunambi alivyoshughulikia suala la mipango miji kwa Dodoma. Alipima makazi na viwanja vingi na akaweka Pia utaratibu wa namna ya kujenga mfano aina ya mabati yanayotakiwa kuezekwa kwa kila eneo.

Napenda nikiri pia kuwa Kunambi ni kielelezo cha vijana waliotakiwa kupewa madaraka kwenye nchi hii kutokana na jinsi alivyosimamia maendeleo chanya hasa kwenye eneo ambalo Tanzania tumefeli kwa miaka mingi , eneo la mipango miji. Alisimamia vyema, viwanja vingi vikapimwa, makazi yakapimwa kwa kushirikiana kati ya sekta binafsi na serikali.

Kusema kweli Mama Samia, hivi juzi nilivyoenda Dodoma nilishtuka kuona kama tangu Kunambi alivyoondoka kuwa Mkurugenzi wa Jiji, ni kama watu wameanza kujenga kama wanavyopenda kwa pale Dodoma. Nimeona hata yake maelekezo ya bati za kuweka kwa kila eneo yameanza kutofuatiliwa.

Naomba Mama yetu Samia mulika na hili eneo. Kama ofisi ya Mkurugenzi Dodoma imepwaya Naomba muondoe na tafuta mwingine Kama kunambi ili asimamie suala la mipango miji kwa Dodoma.

Sijajua kama utateua Wakurugenzi wengine kwenye maeneo mengine mama, ila Naomba kama hutateua basi hawa hawa waliopo wape maelekezo rasmi ya kuanza kupima na kupanga maeneo yao. Kama utateua wengine Naomba nao fanya kikao nao kwa kuwapa maelekezo ya kupima na kupanga maeneo ya Tanzania yetu. Washirikiane na sekta binafsi na hata kutumia wanafunzi wa vyuo vya ardhi walioko kwenye mafunzo kufanikisha haya.

Mwisho mama yetu napenda kukwambia kuwa , huu ni wakati sahihi kwa watanzania kuanza kuishi maisha mazuri yenye mpangilio sawa na watu wa sehemu zilizoendelea huko. Naomba simamia miji yetu ipangwe, makazi yetu yapangwe, watu waishi sehemu nzuri zilizo pangwa na zinazotunza heshima ya binadamu.

Nikutakie weekend njema Mama.
Andiko lako limekaa kiuchonganishi zaidi, hujatoa mfano hata sehemu moja ambapo watu wanajenga bila kupimwa.

sana sana umeishia kutaja kuwa watu walikua wanajenga kwa kufuata rangi za mabati na sasa hivi watu hawafuati, sasa kuwalazimisha watu kupaka rangi fulani za mabati ndio kupangilia mji??
 
Nilipita mtumba ni kaona watu wanajenga bila mpangilio, hata njia ya kwenda singida na njia ya kwenda Kondoa kuna sehemu nimeona watu wameanza kujenga bila mpangilio
 
kalonji

JF-Expert Member
Feb 17, 2021
6,198
2,000
Dodoma ilishakufa we uoni mwendazake aliipotezea akakimbilia Chato iwe SAwa na dubai
 
Fundi Mchundo

JF-Expert Member
Nov 9, 2007
6,823
2,000
Amani iwe nawe Mama yetu Mpendwa!

Leo naomba nikuandikie ushauri wangu juu ya suala la mipango miji hasa kwenye mikoa yetu / majiji yetu, ikiongozwa na Jiji la Mfano Dodoma!

Kusema kweli nilitembelea Dodoma kipindi Kunambi akiwa Mkurugenzi wa Jiji na wiki hii iliyopita nilikuwa tena Dodoma kwa shughuli zangu za kuchakarika kutafuta kipato!

Napenda nikiri kuwa nilipenda sana jinsi Kunambi alivyoshughulikia suala la mipango miji kwa Dodoma. Alipima makazi na viwanja vingi na akaweka Pia utaratibu wa namna ya kujenga mfano aina ya mabati yanayotakiwa kuezekwa kwa kila eneo.

Napenda nikiri pia kuwa Kunambi ni kielelezo cha vijana waliotakiwa kupewa madaraka kwenye nchi hii kutokana na jinsi alivyosimamia maendeleo chanya hasa kwenye eneo ambalo Tanzania tumefeli kwa miaka mingi , eneo la mipango miji. Alisimamia vyema, viwanja vingi vikapimwa, makazi yakapimwa kwa kushirikiana kati ya sekta binafsi na serikali.

Kusema kweli Mama Samia, hivi juzi nilivyoenda Dodoma nilishtuka kuona kama tangu Kunambi alivyoondoka kuwa Mkurugenzi wa Jiji, ni kama watu wameanza kujenga kama wanavyopenda kwa pale Dodoma. Nimeona hata yake maelekezo ya bati za kuweka kwa kila eneo yameanza kutofuatiliwa.

Naomba Mama yetu Samia mulika na hili eneo. Kama ofisi ya Mkurugenzi Dodoma imepwaya Naomba muondoe na tafuta mwingine Kama kunambi ili asimamie suala la mipango miji kwa Dodoma.

Sijajua kama utateua Wakurugenzi wengine kwenye maeneo mengine mama, ila Naomba kama hutateua basi hawa hawa waliopo wape maelekezo rasmi ya kuanza kupima na kupanga maeneo yao. Kama utateua wengine Naomba nao fanya kikao nao kwa kuwapa maelekezo ya kupima na kupanga maeneo ya Tanzania yetu. Washirikiane na sekta binafsi na hata kutumia wanafunzi wa vyuo vya ardhi walioko kwenye mafunzo kufanikisha haya.

Mwisho mama yetu napenda kukwambia kuwa , huu ni wakati sahihi kwa watanzania kuanza kuishi maisha mazuri yenye mpangilio sawa na watu wa sehemu zilizoendelea huko. Naomba simamia miji yetu ipangwe, makazi yetu yapangwe, watu waishi sehemu nzuri zilizo pangwa na zinazotunza heshima ya binadamu.

Nikutakie weekend njema Mama.
Mipango miji ni taaluma sio siasa. Ikiwa tumefikia mahali wakina Kunambi ndio wanaopanga mji kama Dodoma uwaje matatizo hayako mbali. Kupanga aina ya mabati ya kuezeka sio kigezo cha ubora wa mipango miji. Na umenitisha zaidi uliposhauri watumike wanafunzi kwenye suala hili nyeti. Tukifuata ushauri wako ndio utakuwa mwisho wa Jiji la Dodoma lenye staha.

Amandla...
 
Stuxnet

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
5,132
2,000
Amani iwe nawe Mama yetu Mpendwa!

Leo naomba nikuandikie ushauri wangu juu ya suala la mipango miji hasa kwenye mikoa yetu / majiji yetu, ikiongozwa na Jiji la Mfano Dodoma!

Kusema kweli nilitembelea Dodoma kipindi Kunambi akiwa Mkurugenzi wa Jiji na wiki hii iliyopita nilikuwa tena Dodoma kwa shughuli zangu za kuchakarika kutafuta kipato!

Napenda nikiri kuwa nilipenda sana jinsi Kunambi alivyoshughulikia suala la mipango miji kwa Dodoma. Alipima makazi na viwanja vingi na akaweka Pia utaratibu wa namna ya kujenga mfano aina ya mabati yanayotakiwa kuezekwa kwa kila eneo.

Napenda nikiri pia kuwa Kunambi ni kielelezo cha vijana waliotakiwa kupewa madaraka kwenye nchi hii kutokana na jinsi alivyosimamia maendeleo chanya hasa kwenye eneo ambalo Tanzania tumefeli kwa miaka mingi , eneo la mipango miji. Alisimamia vyema, viwanja vingi vikapimwa, makazi yakapimwa kwa kushirikiana kati ya sekta binafsi na serikali.

Kusema kweli Mama Samia, hivi juzi nilivyoenda Dodoma nilishtuka kuona kama tangu Kunambi alivyoondoka kuwa Mkurugenzi wa Jiji, ni kama watu wameanza kujenga kama wanavyopenda kwa pale Dodoma. Nimeona hata yake maelekezo ya bati za kuweka kwa kila eneo yameanza kutofuatiliwa.

Naomba Mama yetu Samia mulika na hili eneo. Kama ofisi ya Mkurugenzi Dodoma imepwaya Naomba muondoe na tafuta mwingine Kama kunambi ili asimamie suala la mipango miji kwa Dodoma.

Sijajua kama utateua Wakurugenzi wengine kwenye maeneo mengine mama, ila Naomba kama hutateua basi hawa hawa waliopo wape maelekezo rasmi ya kuanza kupima na kupanga maeneo yao. Kama utateua wengine Naomba nao fanya kikao nao kwa kuwapa maelekezo ya kupima na kupanga maeneo ya Tanzania yetu. Washirikiane na sekta binafsi na hata kutumia wanafunzi wa vyuo vya ardhi walioko kwenye mafunzo kufanikisha haya.

Mwisho mama yetu napenda kukwambia kuwa , huu ni wakati sahihi kwa watanzania kuanza kuishi maisha mazuri yenye mpangilio sawa na watu wa sehemu zilizoendelea huko. Naomba simamia miji yetu ipangwe, makazi yetu yapangwe, watu waishi sehemu nzuri zilizo pangwa na zinazotunza heshima ya binadamu.

Nikutakie weekend njema Mama.
Kunambi unajipigia debe hapa. Anyway shukuru ulipewa ubunge na Mwendazake, kama demokrasia inhechujua nafasi usingetoboa mbele ya Susan Kiwanga.

Dodoma inatosha hivyo ilivyo, hakuna haja ya Serikali kuwekeza zaidi. Mwendazake alitumia fedha nyingi ambazo zingeleta impact
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom